Mkogoty (@mkogoty) 's Twitter Profile
Mkogoty

@mkogoty

Presenter, Editor
CEO: Mkogoty clothing label

ID: 1249692861370642434

calendar_today13-04-2020 13:36:38

13 Tweet

89 Followers

460 Following

shneida_infos (@shneida_infos) 's Twitter Profile Photo

Nani miyayusho na alizingua zaidi katika nyimbo hizi 👇 Zubeda wa Prof Jay (Nikusaidieje) Mac Muga Mtoto Iddi - Juma Nature Amekoma (Side Mnyamwezi) Ritha - Marlaw Leah - Dully Sykes Zuwena Sele Kafia Gheto - Hussein Ahmada - Offside Trick Dunga Mawe Lover Boy Yahaya

Mkogoty (@mkogoty) 's Twitter Profile Photo

Kwenye Hustle Zetu Hizi Za Kila Siku Wakuu Kuna Watu Wa Aina 3 1: 50%- Ni Watu Wanaokuangalia Tu( Wanaosubiri Waone Utaishia Wapi) 2: 40%- Ni Watu Ambao Ni Haters Upatie Ukosee Wao Wameamua Kuwa Haters 3: 10%- Hawa Ni Watu Wanaokusapoti Iwe Kwa Wewe Kujua Au Bila Wewe Kujua.