Omar Kashera (@mjengaomar) 's Twitter Profile
Omar Kashera

@mjengaomar

Diplomat, National Defence College Graduate and Awardee of the Most Prestigous “ndc” Symbol on Security and Strategic Studies, UN International Staff, CEO-CIP.

ID: 513628124

linkhttp://www.cipafrica.org calendar_today03-03-2012 21:34:52

10,10K Tweet

5,5K Followers

3,3K Following

Omar Kashera (@mjengaomar) 's Twitter Profile Photo

Nasaha za Omar "Kila mtu ana sehemu ya maisha yake yaliyojaa furaha na sehemu iliyojaa giza. Iliyojaa giza huenda ilitengenezwa na wanadamu wenzio. Tambua kuwa ipo siku yaja, wote walio kufitini, kukuzulia uongo na kukufanyia husda, watajutia kwa nini walikufanyia vile"✍️✍️✍️

Nasaha za Omar
"Kila mtu ana sehemu ya maisha yake yaliyojaa furaha na sehemu iliyojaa giza. Iliyojaa giza huenda ilitengenezwa na wanadamu wenzio. Tambua kuwa ipo siku yaja, wote walio kufitini, kukuzulia uongo na kukufanyia husda, watajutia kwa nini walikufanyia vile"✍️✍️✍️