Wabiisabi (@mhidinisemba) 's Twitter Profile
Wabiisabi

@mhidinisemba

ID: 1156163278470635520

calendar_today30-07-2019 11:23:00

364 Tweet

25 Followers

76 Following

Wabiisabi (@mhidinisemba) 's Twitter Profile Photo

Unzuri wa kuwa mtu wa mshahara ni kwamba, huwezi kufirisika, hata kama boss akifirisika Ubaya ni kwamba, huwezi kutajirika, hata kama boss atatajirika

Wabiisabi (@mhidinisemba) 's Twitter Profile Photo

Hivi ndugu zangu kwa mwezi huwa mnapata mshahara kiasi gani? Naandaa kadi za michango ya harusi yangu, sitaki niwahenyeshe sana

Mtanzania|Meta Ads Beast (@jorammtanzania) 's Twitter Profile Photo

Ukiwa na Hii Ebook Ndani ya Dakika 10 Unakuwa umepata Post 99+ Za Viral ili uzidi kuwa active Mtandaoni Kumbuka Unavyokuwa unapost sana ndivyo unaongeza Visibility (Uonekanaji) kwa Akaunti nyingine! Hii Ebook Ni FREE 100% Repost & Like Comment "HOOK" Nikutumie (Must follow)

Ukiwa na Hii Ebook Ndani ya Dakika 10 Unakuwa umepata Post 99+ Za  Viral ili uzidi kuwa active Mtandaoni 

Kumbuka Unavyokuwa unapost sana ndivyo unaongeza Visibility  (Uonekanaji) kwa Akaunti nyingine!

Hii Ebook Ni FREE 100%

Repost & Like
Comment "HOOK" Nikutumie
(Must follow)
Wabiisabi (@mhidinisemba) 's Twitter Profile Photo

Hello #TOTTechs naombeni msaada Nataka ku_reset password ya Gmail account yangu, niliibiwa device. Google wananitumia verification code kwenye namba yangu, nikishazijaza, wananitumia "recovery email" kwenye account hiyo hiyo ninayo_recover Msaada wa maelekezo nitalipia 30K

Wabiisabi (@mhidinisemba) 's Twitter Profile Photo

Hello TeamYouTube please help me recover my YouTube channel. I lost my device and when I try recovering my Gmail account, Gmail keeps sending recovery emails to the same lost Gmail which I don't have access with.