KHERI YA LEO๐Ÿ•Š (@mbadiim2) 's Twitter Profile
KHERI YA LEO๐Ÿ•Š

@mbadiim2

๐Ÿ’ฅ@Yangasc1935๐Ÿ‘ˆ๐Ÿ‘‰@mtanzania .๐Ÿ’š๐Ÿ’›
๐Ÿ’ฅ๐Ÿ’ฅ@@liverpool H. A๐Ÿ“๐Ÿ“

โš˜๐ŸŒน๐Ÿ”ซ๐Ÿ“Œ@mayombo...#fikiriasanongea @kidog .๐Ÿ’ฏ๐ŸŒน๐Ÿ‘ˆ๐Ÿ—

ID: 1461385304665903109

linkhttp://instagrammwangwina.com calendar_today18-11-2021 17:27:02

885 Tweet

775 Followers

4,4K Following

#NIPENI_MAUA_YANGU๐Ÿ’ (@roma_mkatoliki) 's Twitter Profile Photo

Nakumbuka Siku Moja Zamani Tulikuwa Safarini Na Wana Kibao, Nikawa Nime-Connect Bluetooth Ya Ndinga Na Simu Yangu Nikawa Nagonga Miwa, Basi Bwana Kwakuwa Tulikuwa Tunakaribia Kufika Nikawa Naikatisha Ile Miwa Nachapa Verse Mbili Mbili Tu, Nikagonga #Mtazamo Ilivyoisha Verse Ya

Rastafarian culture (@ireneigora) 's Twitter Profile Photo

Huyu alipokea simu kwenye daladala sijui kaambiwa bwana ake ameoa Yan alivyopokea zile habari Tena Kwa sauti kubwa akasema "Unasemaje ??? Ameoaaa? nadhan ni mtu wake kanyongonyea sana ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ’” I think kapigwa tukio

#NIPENI_MAUA_YANGU๐Ÿ’ (@roma_mkatoliki) 's Twitter Profile Photo

Wakati Tunaishi Nao Kuna Vitu Wanatufanyiaga Vinatuumiza Sana Ila Tunavumilia Ndani Kwa Ndani Hatuwaonyeshiโ€ฆ..!! Siku Tukijipata Sasa Automatically Uvumilivu Wa Ndani Kwa Ndani Unapotea Tunaanza Kuwaonyesha Kuwa Hatupendi Wanavyotufanyia Na Wakati Mwingine Tunawakataa

Alexander (@alesandrojr) 's Twitter Profile Photo

Baba Yetu uliye mbinguni. Jina lako litukuzwe. Ufalme wako ufike. Utakalo lifanyikeย duniani kama mbinguni. Utupe leo mkate wetu wa kila siku. Utusamehe makosa yetu. Kama nasi tunavyowasamehe na sisi waliotukosea. Usitutie katika kishawishi. Lakini utuopoe maovuni, Amina๐Ÿ™

Clouds Media (@cloudsmedialive) 's Twitter Profile Photo

Kila Mkataba una ukomo: Hakuna mkataba wa Miaka 100! kijahyunus umeilea na kuikuza #Clouds360 kwa Miaka mingi! Hilo halina Ubishi! Kwa maamuzi magumu yaliyofanywa na Taasisi, Mkataba wako Umeisha hapa #cloudsTv #MkatabaUmeisha #7bisha2023

Kila Mkataba una ukomo: Hakuna mkataba wa Miaka 100! <a href="/KijahYunus/">kijahyunus</a> umeilea na kuikuza #Clouds360 kwa Miaka mingi! Hilo halina Ubishi!

Kwa maamuzi magumu yaliyofanywa na Taasisi, Mkataba wako Umeisha hapa #cloudsTv

#MkatabaUmeisha 
#7bisha2023
Daktari Wa Manesi ๐Ÿ’‰๐Ÿ’Š (@mcinikawalamar) 's Twitter Profile Photo

Ukiomba msaada kwa mtu akashindwa kukusaidia usimgeuze kuwa adui yako, Kuna wengine wanatamani kusaidia ila unapohitaji msaada wao wanakuwa katika changamoto nzito usizozijua.

CZAR ๐Ÿ‘‘ โ‚ฟ (@defi_czar) 's Twitter Profile Photo

Asante Mungu Baba kwa kunipa kibali cha kuamka tena kwa rehema zako. Unanifanya nione kuwa bado nina neema ya kuishi. Hata kama nina changamoto nazipitia kwa sasa ninalo tumaini maadamu nina wewe Mungu wangu, nipiganie sawa sawa na mapenzi yako๐Ÿ™๐Ÿ™

Azam TV (@azamtvtz) 's Twitter Profile Photo

NGAO YA JAMII: Kocha wa Yanga, Miguel Gamondi baada ya mazoezi ya leo anasema hawezi kuweka wazi mbinu atakazoingianazo kesho dhidi ya Azam FC lakini kikosi chake kiko tayari kusaka ushindi. Mechi ni kesho saa 1:00 Usiku LIVE #AzamSports1HD #MitoNiMaishaYetu #10DaimaDamdam

NGAO YA JAMII: Kocha wa Yanga, Miguel Gamondi baada ya mazoezi ya leo anasema hawezi kuweka wazi mbinu atakazoingianazo kesho dhidi ya Azam FC lakini kikosi chake kiko tayari kusaka ushindi. 

Mechi ni kesho saa 1:00 Usiku LIVE #AzamSports1HD 

#MitoNiMaishaYetu #10DaimaDamdam
KHERI YA LEO๐Ÿ•Š (@mbadiim2) 's Twitter Profile Photo

Joti Mpango - paul Clement Ukae nami- Henrick mruma Nifinyange - Bella komba El- Olam - Patrick kubuya Amen - mathias walichupa Anarejesh - Bella komba ft zoravo Uongezeka - boaz danken Bora nikushukur -Obby alpha Nina siri - Israel mbonyi Alikuta ibada - Ambwene mwasongwe

KHERI YA LEO๐Ÿ•Š (@mbadiim2) 's Twitter Profile Photo

๐Ÿ‘‰:Neema yako -๐Ÿ•Š patrick tity ๐Ÿ‘‰:Niko tayati- ๐Ÿ•Š @zoravo ๐Ÿ‘‰:Ameniona yesu-๐Ÿ•Šg komba %Zoravo ๐Ÿ‘‰:Amejibu maombi-๐Ÿ•ŠRehema Smith simfukwe ๐Ÿ‘‰:Niseme nini -๐Ÿ•Š๐Ÿ•Š๐Ÿ•Š Dr. Ip Yan ๐Ÿ‘‰:majina yote mazuri-๐Ÿ•ŠHYMNOS ๐Ÿ‘‰: Haufananishwi-๐Ÿ•Š๐Ÿ•Š Boaz danken ๐Ÿ‘‰Washangaze -๐Ÿ•Š๐Ÿ•Š้ฌฑ ใ—ใ’ใ‚‹ Alpha

Daktari Wa Manesi ๐Ÿ’‰๐Ÿ’Š (@mcinikawalamar) 's Twitter Profile Photo

Maisha ni kama kitabu, kuna kurasa nyingine ni za kusikitisha, nyingine za kufurahisha na nyingine kusisimua. Lakini usipofungua hizo kurasa kamwe hutaweza kujua ni nini kipo kwenye hizo kurasa zifuatazo.

KIPEPE ๐Ÿ’Š (@kipepe123) 's Twitter Profile Photo

Nyimbo za Bahati Bukuku Ni Ndefu Aloo...๐Ÿ™๐Ÿป Unasambaza CV kwenda Bunju unamaliza unarudi Ukifika Ubungo Ndio Unasikia... "Mfalme Akasimama akamtazama Malkia"

Farhan Kihamu Jr (@fkihamu) 's Twitter Profile Photo

Kwa jina la HARAKATI na nguvu ya MWENYEZI MUNGU tunaianza sala yetu ya MKATE wa siku huku imani yetu thabiti kama Musa na Wanaisrael, tukiamini Mungu wa Bakhresa na GSM ndio Mungu wetu sisi, Mungu wa MO na Rostam Aziz ndio Mungu wa Mahustler wote Kinondoni Moscow mpaka Ifakara,

Kwa jina la HARAKATI na nguvu ya MWENYEZI MUNGU tunaianza sala yetu ya MKATE wa siku huku imani yetu thabiti kama Musa na Wanaisrael, tukiamini Mungu wa Bakhresa na GSM ndio Mungu wetu sisi, Mungu wa MO na Rostam Aziz ndio Mungu wa Mahustler wote Kinondoni Moscow mpaka Ifakara,