Big_moneyπŸ’° (@mahela_mengi) 's Twitter Profile
Big_moneyπŸ’°

@mahela_mengi

♍

ID: 1392702131749232642

linkhttp://lambert.com calendar_today13-05-2021 04:44:31

21,21K Tweet

1,1K Followers

1,1K Following

Idris (@idrissultan) 's Twitter Profile Photo

I know how many times I have made you go through tough times, I have made many sad, many mad and many cry all because they loved me too much. I can not promise to be different but I can promise to be bigger and better. I LOVE YOU and thank you for the great strength you give me.

Latto 𝕏 (@rydx_017) 's Twitter Profile Photo

Movie mpya iliyo toka December 2024, Imeigiziwa, Tanzania katika mbuga za Seremgeti.. Movie hiyo inaelezea historia ya Baba mwenye kisasi anayemjenga mwanae kuja kuwa muwindaji mkubwa na anaeogopwa.. Angalia baadhi ya parts zilizo chezwa Tanzania... Video kwa Comments πŸ‘‡

Movie mpya iliyo toka December 2024,

Imeigiziwa, Tanzania katika mbuga za Seremgeti..

Movie hiyo inaelezea historia ya Baba  mwenye kisasi anayemjenga mwanae kuja kuwa muwindaji mkubwa na anaeogopwa..

Angalia baadhi ya parts zilizo chezwa Tanzania...

Video kwa Comments πŸ‘‡
Ray β€πŸ’β€ (@raycruzy) 's Twitter Profile Photo

Cargo shirts 25000 tuu delivery βœ…πŸšš mpaka mikoani WhatsApp 0753103048 usipange kukosaπŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ’―

Cargo shirts 25000 tuu delivery βœ…πŸšš mpaka mikoani WhatsApp 0753103048 usipange kukosaπŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ’―
CoCoπŸ«πŸ’¦ (@yourfrenchfry) 's Twitter Profile Photo

Nilisahau nipo kwenye tuzo jamani πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ wenzangu watakua wameniacha mbali sana Naombeni kura nicatch up 🀲🏾

Nilisahau nipo kwenye tuzo jamani πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ wenzangu watakua wameniacha mbali sana 

Naombeni kura nicatch up 🀲🏾
ΠœΞ±Ρ…ΞΉΠΌΞΉlΞΉΞ±nLBβ›ͺπŸ‡ΉπŸ‡ΏΒ°An Apologist Of Sacred MoralityΒ° (@maximilianlb) 's Twitter Profile Photo

Sijawahi kabisa kusafiri kwa treni ya SGR, but I do hope mahali hapo kutakuwa kuna tunnel. Mara nyingi treni inapopita kwa kasi katika tunnel, mgandamizo wa hewa hubadirika ghafla jambo ambalo linaweza yaletea shida masikio yako na hata wakati mwingine kukunyima kabisa confort ya

π‹πšπ›πžπ₯π₯𝐚 𝐌𝐚𝐟𝐒𝐚 (@labella_mafia95) 's Twitter Profile Photo

He's Hurt... Nimemsikiliza Mh. Mbowe kwa umakini na baadae nikagundua mambo kadha. Amefanya mengi sana kwa Lissu as the brother, na alitegemea kwamba hata katika haya, hata katika tofauti hizi basi Lissu angemfichia Mbowe madhaifu yake. 🧡Thread: ⬇️

He's Hurt...

Nimemsikiliza Mh. Mbowe kwa umakini na baadae nikagundua mambo kadha.

Amefanya mengi sana kwa Lissu as the brother, na alitegemea kwamba hata katika haya, hata katika tofauti hizi basi Lissu angemfichia Mbowe madhaifu yake.

🧡Thread: ⬇️
π‹πšπ›πžπ₯π₯𝐚 𝐌𝐚𝐟𝐒𝐚 (@labella_mafia95) 's Twitter Profile Photo

Mwamba Huyu Hapa! Jina lake alilopewa na wazazi wake ni Constant mwana wa Mutamba Waziri wa Sheria wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya watu wa Kongo. Alipoingia madarakani alipitisha sheria ya hukumu ya kifo kwa yeyote atakayepatikana na hatia ya kuua kwa kukusudia. Thread:⬇️

Mwamba Huyu Hapa!

Jina lake alilopewa na wazazi wake ni Constant mwana wa Mutamba Waziri  wa Sheria wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya watu wa Kongo.

Alipoingia madarakani alipitisha sheria ya hukumu ya kifo kwa yeyote atakayepatikana na hatia ya kuua kwa kukusudia.

Thread:⬇️
C H A M P (@mpambazi) 's Twitter Profile Photo

Ushuhuda wa kweli. (Pepo la ngono) Miaka takribani 15 iliopita nimekuwa naendeshwa sana na hisia za kingono huku mataminio yangu ya kulala na kila mwanamke niliemtamani yakiwa makubwa sana..

Ushuhuda wa kweli. (Pepo la ngono)

Miaka takribani 15 iliopita nimekuwa naendeshwa sana na hisia za kingono huku mataminio yangu ya kulala na kila mwanamke niliemtamani yakiwa makubwa sana..
Omalicha πŸ’• (@itsmonaleesah) 's Twitter Profile Photo

Luis: I think she made it clear that she’s with you Diamond: She’s with me? Aah we are just bed buddies I love how Diamond Platnumz effortlessly reveals the true colors of Tanzanian men 🀣😭

𝗣 𝗔 𝗕 π—Ÿ 𝗒 🦁 (@kingpablotz) 's Twitter Profile Photo

Watu waliopewa challange inasema "Mtumie text mpenzi wako mwambie "it's Over" alafu screenshot tuone majibu".. Hizi ndio replies zenye vihoja πŸ˜‚ Check the thread πŸ‘‡πŸΎπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘ŠπŸΏ

Watu waliopewa challange inasema "Mtumie text mpenzi wako mwambie "it's Over" alafu screenshot tuone majibu".. Hizi ndio replies zenye vihoja πŸ˜‚

Check the thread πŸ‘‡πŸΎπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘ŠπŸΏ
Fortunatus Buyobe (@fbuyobe) 's Twitter Profile Photo

Mkutano wa Dodoma uliweka toroli mbele ya farasi kwenye azimio la mgombea 2025 Kuna mengi ya katiba ya chama yamekiukwa Hii ilikuwa ni kwa ajili ya kuisuprize kambi fulani iliyokamia hatua hiyo ambayo ilikuwa na nguvu na imejipanga. Makamu kajiuzuru Chess limeanzishwa

Mkutano wa Dodoma uliweka toroli mbele ya farasi kwenye azimio la mgombea 2025

Kuna mengi ya katiba ya chama yamekiukwa

Hii ilikuwa ni kwa ajili ya kuisuprize kambi fulani iliyokamia hatua hiyo ambayo ilikuwa na nguvu na imejipanga.

Makamu kajiuzuru

Chess limeanzishwa