ktnleo (@ktnleo) 's Twitter Profile
ktnleo

@ktnleo

Tunakuletea taarifa tendeti, za kuaminika na zisizoegemea upande wowote

ID: 1516418658

linkhttp://www.ktnkenya.tv calendar_today14-06-2013 13:25:29

38,38K Tweet

31,31K Followers

430 Following

KTN News (@ktnnewske) 's Twitter Profile Photo

Tundu Lissu: Kuna mabadiliko, yule ambaye aliitesa nchi kwa miaka mitano amefariki, tuna rais mpya na katika miezi mitatu ya utawala wake, watu wameanza kupumua. Tundu Antiphas Lissu @ PaulNabiswa

KTN News (@ktnnewske) 's Twitter Profile Photo

Tundu Lissu: Miezi imekwenda lakini bado tunasubiri kuzungumza na rais Samia Suluhu, hajasema chochote kuhusu sisi tuliokimbia nchi kwa sababu ya usalama wetu, hajasema chochote juu ya kesi za uongo. Tundu Antiphas Lissu Paul Nabiswa

KTN News (@ktnnewske) 's Twitter Profile Photo

Tundu Lissu: Uchaguzi wa mwaka jana tulikuwa na nguvu zaidi kuliko wakati mwingine wowote tangu tulipoanzisha chama mwaka 1992, lakini wagombea wetu walienguliwa siku ya uteuzi. Tundu Antiphas Lissu Paul Nabiswa

KTN News (@ktnnewske) 's Twitter Profile Photo

Tundu Lissu: Kuna vuguvugu kubwa Tanzania sasa la kudai katiba mpya, msimamo rasmi wa rais Samia ni kwamba wanaotaka katiba mpya watasubiri sana. Tundu Antiphas Lissu Paul Nabiswa

KTN News (@ktnnewske) 's Twitter Profile Photo

Tundu Lissu: Upinzani una nguvu sana sasa hivi zaidi ya wakati uliopita, upinzani sio bungeni tu. Tuna chama kikuu cha siasa Tanzania, CCM bila polisi si kitu. Tundu Antiphas Lissu Paul Nabiswa

KTN News (@ktnnewske) 's Twitter Profile Photo

Tundu Lissu: Tulipoanza kupata shida za Magufuli, ndipo tukamuunga mkono Uhuru Kenyatta wa Jubilee maana Raila Odinga alikuwa rafikiye Magufuli. Tundu Antiphas Lissu Paul Nabiswa

KTN News (@ktnnewske) 's Twitter Profile Photo

Majaji wa mahakama ya rufaa sasa wametangaza kuwa watatoa uamuzi wao kuhusu kesi ya rufaa ya BBI tarehe 20 mwezi wa Agosti mwaka huu, baada ya kumaliza vikao vyao vya kusikiliza kesi ya BBI. #DiraYaWiki

KTN News (@ktnnewske) 's Twitter Profile Photo

Watu watano wametoweka katika kaunti ya Nyeri katika siku tano zilizopita baada ya kutekwa nyara na watu wasiojulikana. Watatu ni jamaa wa familia moja, huku mmoja akiwa mfanyakazi wa familia hiyo huku wa tano akiwa mfanyabishara mjini nyeri. #DiraYaWiki

The Standard Digital (@standardkenya) 's Twitter Profile Photo

Ni #WawekezajiCorner Ali Kauleni Hassan amerudi na ubashiri mwingine. Leo wanasema hakuna GG. Michuano ni hii… Juventus V Atalanta Villarreal V Barcelona Chelsea V Man United Real Madrid V Sevilla Wamegonga ndipo?

The Standard Digital (@standardkenya) 's Twitter Profile Photo

Kazungu amebaguliwa si tu na jamii bali pia kwenye maeneo ya kazi. Asema ulemavu umesababisha kampuni nyingi kutilia shaka uwezo wake wa kutekeleza majukumu. Amefanikiwa vipi na hata kupiga hatua maishani licha ya changamoto hizo? Sikiliza masimulizi yake standardmedia.co.ke/podcast/podcas…