Bey Macho🇹🇿 (@kingmo41162897) 's Twitter Profile
Bey Macho🇹🇿

@kingmo41162897

*no more expectations from anyone
*Enviromentalist
*Good music
*Film

ID: 1416127365831397377

calendar_today16-07-2021 20:07:47

2,2K Tweet

2,2K Followers

2,2K Following

Bwanashamba wa taifa 🇹🇿 (@msakufarm) 's Twitter Profile Photo

Usidanganyike kuwa 50kg(mfuko) za mbolea zinatosha ekari Moja. Pp=4046m³ /spacing (75×30cm) Wastani kwa ekari tutakua na miche 17,982 👉kama Ukitumia kifuniko cha maji poa kijae vizuri piabkizidi mfuto wastani ni gram 5 l,JUMLA utatumia kilo 90 kwa ekari Retweet twende sawa👇

Usidanganyike kuwa 50kg(mfuko) za mbolea  zinatosha ekari Moja.
Pp=4046m³ /spacing (75×30cm)
Wastani kwa ekari tutakua na miche 17,982
👉kama Ukitumia kifuniko cha maji poa kijae vizuri piabkizidi mfuto wastani ni gram 5 l,JUMLA utatumia kilo 90 kwa ekari

Retweet twende sawa👇
Michael Louzado (@wisdomjaykwa) 's Twitter Profile Photo

Ni lazima uwe upande fulani wa media ndipo mambo yako yatakwenda otherwise utapotezwa kama file kwa neno delete. Ni lazima uwe upande fulani wa media otherwise "unaondoka, unaondolewa, wanakuondoa" Stay safe kwa group mambo ni mengi sana

Bey Macho🇹🇿 (@kingmo41162897) 's Twitter Profile Photo

Wanawake wengi huonekana wamenyanyaswa physically kwakile anachokiamua mwanaume lakini wanaume wengi wanachukua hatua kwakuwa wamekuwa wakinyanyaswa sana mentally/psychologically lakin Sheria hazilion hili .

Bey Macho🇹🇿 (@kingmo41162897) 's Twitter Profile Photo

ukiona macho yako yanauwezo mkubwa wakuona kuliko uwezo wa ubongo wako kuona basi jua wewe ni kipofu kabisa. #push agenda @ macho