Jhpiego Tanzania (@jhpiegotanzania) 's Twitter Profile
Jhpiego Tanzania

@jhpiegotanzania

Saving Lives, Improving health, Transforming futures in Tanzania

ID: 1511707992206499851

linkhttps://www.jhpiego.org calendar_today06-04-2022 14:11:06

420 Tweet

1,1K Followers

91 Following

Jhpiego Tanzania (@jhpiegotanzania) 's Twitter Profile Photo

Tukiwa tunaadhimisha #WikiYaUnyonyeshaji Je wajua! Asil­imia 22 ya vifo vya watoto wachanga inaweza kuzuilika endapo mtoto atanyonya kwa wakati ndani ya lisaa limoja baada ya mama kujifungua. Unyonyeshaji ni njia bora ya kuimarisha afya ya mtoto. #USAIDAfyaYanguMamanaMtoto

Tukiwa tunaadhimisha #WikiYaUnyonyeshaji
Je wajua! Asil­imia 22 ya vifo vya watoto wachanga inaweza kuzuilika endapo mtoto atanyonya kwa wakati ndani ya lisaa limoja baada ya mama kujifungua.  Unyonyeshaji ni njia bora ya kuimarisha afya ya mtoto.

#USAIDAfyaYanguMamanaMtoto
USAIDTanzania (@usaidtanzania) 's Twitter Profile Photo

Breastfeeding boosts child dev't & cuts health costs, benefiting families and the economy! USAID Afya Yangu mama na mtoto Project' “Ten Steps to Successful Breastfeeding” campaign reached 819,526 newborns in the past year across 10 regions + Zanzibar. #WBW2024 Jhpiego Tanzania

Breastfeeding boosts child dev't & cuts health costs, benefiting families and the economy! USAID Afya Yangu mama na mtoto Project' “Ten Steps to Successful Breastfeeding” campaign reached 819,526 newborns in the past year across 10 regions + Zanzibar. #WBW2024
Jhpiego Tanzania
Jhpiego Tanzania (@jhpiegotanzania) 's Twitter Profile Photo

Timu ya mradi wa #USAIDAfyaYanguMamanaMtoto inakutana jijini Mwanza kufanya tathimini na kupanga mikakati ya utekelezaji wa mradi. Wawakilishi kutoka Wizara ya Afya na Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) ni miongoni mwa watu wanaohudhuria kikao hicho.

TADEPA (@generaltadepa) 's Twitter Profile Photo

Mradi wa #USAIDAfyaYangu-Mama na Mtoto kwa ushrikiano na ofisi ya Mganga mkuu wa halmashauri ya Wilaya ya Mbogwe,jana umewafikia wakazi 530 wa kata ya Ngemo na elimu na huduma ya afya ikiwemo maandalizi ya lishe bora,afya ya uzazi na kuwahi kliniki,kansa ya mlango wa kizazi n.k.

Maryrose Giattas (@mgiattas) 's Twitter Profile Photo

Tanzania Jhpiego in partnership with USAID and Ministry of Health Zanzibar through MCGL Project,we subgranted CPHK /LDF as local actor to facilitate assessment of barriers in routine immunization services and design interventions to improve uptake of RI

Tanzania Jhpiego in partnership with USAID and Ministry of Health Zanzibar through  MCGL Project,we subgranted CPHK /LDF as local actor  to facilitate assessment of barriers  in routine immunization  services and design interventions to improve uptake of RI
Jhpiego Tanzania (@jhpiegotanzania) 's Twitter Profile Photo

#InternationalYouthDay2024 Tunapoadhimisha siku ya vijana duniani, elimu ya afya ya uzazi kwa vijana ipewe kipaumbele ili kuleta ustawi wa vijana kwenye jamii.

Jhpiego Tanzania (@jhpiegotanzania) 's Twitter Profile Photo

Mradi wa #USAIDAfyaYanguMamanaMtoto umetoa huduma za afya kupitia gulio la afya lililofanyika wilaya ya Wete, Pemba. Huduma zilizotolewa zinajumuisha elimu ya uzazi wa mpango, lishe na chanjo. Mradi pia uliendesha zoezi la kuchangia damu ili kuokoa kina mama wakati wa kujifungua.

Mradi wa #PfizerBreastCancer unaoratibiwa na Jhpiego Tanzania umejikita kuongeza uelewa kuhusu saratani ya matiti nchini. Mradi unawajengea wauguzi uwezo wa kuchunguza, kutambua, kuendesha kliniki na kutoa huduma kwa wateja wenye dalili za saratani hiyo.

Jhpiego (@jhpiego) 's Twitter Profile Photo

Today, we honor the courage of those who #ActForHumanity. Jhpiego’s commitment to delivering health care in the toughest environments is unwavering. Let’s protect those who protect others. #WorldHumanitarianDay #HealthForAll

Jhpiego Tanzania (@jhpiegotanzania) 's Twitter Profile Photo

Kupitia mafunzo yanayotolewa chini ya mradi wa #USAIDAfyaYanguMamanaMtoto, kituo cha afya cha Mirerani mkoani manyara kimefunga mapazia kwenye wodi ya wajawazito ili kuimarisha utoaji wa huduma unaozingatia utu, heshima na staha kwa wajawazito wanaohudumiwa kituoni hapo.

Dr Rita Noronha (@ritanoronha10) 's Twitter Profile Photo

Earlier today, #USAIDAfyaYanguMamanaMtoto met with local organizations to review the progress of community interventions and plan for the coming year. Thanks for your support in empowering communities and strengthening linkages between the health system and communities.

Earlier today, #USAIDAfyaYanguMamanaMtoto met with local organizations to review the progress of community interventions and plan for the coming year. Thanks for your support in empowering communities and strengthening linkages between the health system and communities.
Jhpiego Tanzania (@jhpiegotanzania) 's Twitter Profile Photo

Kupitia mradi wa #RISE, wavulana na wanaume watu wazima 74,133 wametumia huduma za hiari za tohara kwa wanaume katika kipindi cha mwaka mmoja uliopita. Mafanikio hayo yamelenga kupunguza maambukizi ya virusi vya ukimwi kwenye mikoa unakotekelewa mradi huo

Hivi karibuni mradi wa #USAIDAfyaYanguMamanaMtoto uliratibu Gulio la Afya katika kijiji Nyehunge, Buchosa ambapo ulitoa elimu kuhusu lishe bora ya watoto na kutoa chanjo kwa watoto chini ya miaka mitano. Mradi pia ulitoa elimu kuhusu matumizi sahihi ya njia za uzazi wa mpango.

Dodoma, We hosted a delegation consisting representatives from USAIDTanzania and Washington respectively. The team was in the capital for rapid assessments on the mission investment in the PHC, and held discussion with key officials from the Ministry of Health and PO -RALG.

Dodoma,
We hosted a delegation consisting representatives from USAIDTanzania  and Washington respectively. The team was in the capital for rapid assessments on the mission investment in the PHC, and held discussion with key officials from the Ministry of Health and PO -RALG.
Muhimbili National Hospital (@muhimbilitaifa) 's Twitter Profile Photo

Chuo cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUCOHAS) kimepokea msaada wenye thamani ya TZS 31 Mil kutoka mradi wa USAID Afya Yangu Mama na Mtoto ambao unasimamiwa na Shirika lisilo la Kiserikali la Jhpiego. Msaada huo ni vifaa vya kujifunzia kwa vitendo.

Chuo cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUCOHAS) kimepokea msaada wenye thamani ya TZS 31 Mil kutoka mradi wa USAID Afya Yangu Mama na Mtoto ambao unasimamiwa na Shirika lisilo la Kiserikali la Jhpiego. Msaada huo ni vifaa vya kujifunzia kwa vitendo.
Jhpiego Tanzania (@jhpiegotanzania) 's Twitter Profile Photo

We would like to take this opportunity to congratulate Dr. Faustine Ndugulile for being elected as WHO Regional Director - Africa. A great and passionate leader, we are proud of having a chance to work with you. We wish you success in your new role.

We would like to take this opportunity to congratulate Dr. Faustine Ndugulile for being elected as WHO Regional Director - Africa. A great and passionate leader, we are proud of having a chance to work with you. We wish you success in your new role.
USAIDTanzania (@usaidtanzania) 's Twitter Profile Photo

Muhimbili College of Health Sciences received skills lab equipment from USAID Afya Yangu Mama na Mtoto project; 9 other colleges are set to receive the same. An estimated TSH 313.8 m/- has been used to improve medical skills in health colleges.🇺🇸🤝🇹🇿 Jhpiego Tanzania USAID Global Health

Muhimbili College of Health Sciences received skills lab equipment from USAID Afya Yangu Mama na Mtoto project; 9 other colleges are set to receive the same. An estimated TSH 313.8 m/- has been used to improve medical skills in health colleges.🇺🇸🤝🇹🇿
Jhpiego Tanzania USAID Global Health
Jhpiego Tanzania (@jhpiegotanzania) 's Twitter Profile Photo

Mradi wa #USAIDAfyaYanguMamanMtoto kwa kushirikiana na ofisi ya mganga mkuu mkoa wa Dar es salaam umetoa elimu ya afya kwa kina mama wenye watoto wa chini ya miezi sita kwa lengo la kudumisha tabia chanya zitakazowasaidia kulinda afya zao na ustawi wa watoto wao.

As part of the #PfizerBreastCancerProject,we’re focusing on building competency of health care providers in doing clinical breast examination through simulation and hands on practice in the field and also build their skills in counseling to enhance patient care.

As part of the #PfizerBreastCancerProject,we’re focusing on building competency of health care providers in doing clinical breast examination through simulation and hands on practice in the field and also build their skills in counseling to enhance patient care.
USAIDTanzania (@usaidtanzania) 's Twitter Profile Photo

50 women from Temeke, Kinondoni, Ilala, and Ubungo districts in Dar es Salaam are now equipped with vital parenting skills. Thanks to the DSM Chief Medical Officer & USAID #AfyaYangu Mama na Mtoto Project for equipping them to reduce maternal & child mortality. Jhpiego Tanzania

50 women from Temeke, Kinondoni, Ilala, and Ubungo districts in Dar es Salaam are now equipped with vital parenting skills. Thanks to the DSM Chief Medical Officer & USAID #AfyaYangu Mama na Mtoto Project for equipping them to reduce maternal & child mortality.
Jhpiego Tanzania