Jalilu Zaid (@jaliluzaid) 's Twitter Profile
Jalilu Zaid

@jaliluzaid

Ibada, Uadilifu, Usiri na Uchapakazi. 📸

ID: 1329696138

calendar_today05-04-2013 17:33:46

270,270K Tweet

144,144K Followers

907 Following

Jalilu Zaid (@jaliluzaid) 's Twitter Profile Photo

Kuna mtu mmoja kanipa tafakuri moja anasema “Ukiona unampigia mtu simu hapokei halafu baadae hakurudishii simu hadi umpigie wewe tena na pengine asipokee mara mbili mara tatu, bado thamani yako ni ndogo sana, unatakiwa kupambana kujiongezea thamani manake heshima huja palipo na

Jalilu Zaid (@jaliluzaid) 's Twitter Profile Photo

Kifo humfika mtu yeyote na wakati wowote. Basi ishi maisha yako kama leo ndio mwisho wa uhai wako, hiyo itakusaidia kuishi na watu kwa wema na uadilifu. Dunia ni pambo tu lenye kupoteza halafu la muda mfupi. Basi yasikufanye yale yanayoihusu Dunia ukapoteza utu wako.

Jalilu Zaid (@jaliluzaid) 's Twitter Profile Photo

Inna Lillahi wa inna ilayhi raji'un Mshindi wa Mashindano makubwa ya Qur'an Tukufu ya Al-Hikma mwaka huu IBRAHIM SOW amefariki.💔

Jalilu Zaid (@jaliluzaid) 's Twitter Profile Photo

Miongoni mwa vitu Watanzania tunatakiwa kujifunza ni ustaarabu na utunzaji wa mali au miradi ya umma sambamba na mazingira yetu. Ukiharibu miundombinu yoyote ambayo ilikuwa na lengo la kuisaidia jamii tambua unatumbua kodi ambayo imetokana na pesa yako mwenyewe. Vinatengenezwa

Jalilu Zaid (@jaliluzaid) 's Twitter Profile Photo

Ukikosa chako kwa muda unaoutaka wewe vumilia kwanza. Usichague chochote ili uonekane na wewe umepata kwa sababu itakugharimu.

Jalilu Zaid (@jaliluzaid) 's Twitter Profile Photo

Don’t feel less of a man just because you don’t live a luxurious life like your fellows. If they told you truthfully what they’re doing to accumulate their wealth, you probably wouldn’t have been able to keep up.

Jalilu Zaid (@jaliluzaid) 's Twitter Profile Photo

Maisha ya ulimwengu ni ya muda mfupi na ni starehe ambayo haidumu kwa yeyote bila kujali wewe ni nani au unamjua nani au una nini. Aliye salimika kwa Mwenyezi Mungu ni yule ambaye watu wanasalimika kutokana na ulimi wake na matendo yake. “Na maisha ya dunia si chochte ila ni

Maisha ya ulimwengu ni ya muda mfupi na ni starehe ambayo haidumu kwa yeyote bila kujali wewe ni nani au unamjua nani au una nini. 

Aliye salimika kwa Mwenyezi Mungu ni yule ambaye watu wanasalimika kutokana na ulimi wake na matendo yake. 

“Na maisha ya dunia si chochte ila ni
Jalilu Zaid (@jaliluzaid) 's Twitter Profile Photo

Fundi wako ni nani wa nguo za kiume? Ambaye unamuaminia ni mkali akitoa Shati linakuwa kali sana? Namba yake ya simu na Location alipo tafadhali.

Jalilu Zaid (@jaliluzaid) 's Twitter Profile Photo

Kuomba kunadhalilisha. Jinsi ambavyo ndugu zetu wanaowania nafasi mbalimbali za uongozi wanavyokubali kujishusha kwa watu wa hali ya chini kabisa ili mradi waweze kuwachagua inatoa tafsiri ya kuwa hata uwe nani bado ni ngumu kuweza kufanikisha mambo yako bila kumtegemea mtu

Jalilu Zaid (@jaliluzaid) 's Twitter Profile Photo

Kuwa na roho nzuri ni utajiri wa thamani isiyo na kipimo. Jifungue kwa ajili ya kuwasaidia wengine, kwani riziki ya mtu mara nyingi hupitia kwa mtu mwingine. Kama wewe usingependa kukataliwa au kuachwa wakati wa uhitaji wako, basi nawe usimfanyie mwingine hivyo.