IDYDC (@idydc_tz) 's Twitter Profile
IDYDC

@idydc_tz

IDYDC is an NGO in Tanzania that wants to see a community free from disease, poverty and illiteracy through sports and other society engaging activities.

ID: 842306973882281984

linkhttp://www.idydc.or.tz/ calendar_today16-03-2017 09:30:06

285 Tweet

125 Followers

110 Following

IDYDC (@idydc_tz) 's Twitter Profile Photo

📢 53% ya watoto wa miaka 2-5 hawako kwenye mwelekeo sahihi wa ukuaji! 🚨 Watoto wanahitaji lishe bora, malezi chanya, na mazingira salama ili kukua vyema. Tuchukue hatua sasa! Wekeza katika malezi na makuzi ya awali kwa ustawi wa kizazi kijacho. 👉 Chanzo: NBS, TDHS-MIS 2022

📢 53% ya watoto wa miaka 2-5 hawako kwenye mwelekeo sahihi wa ukuaji! 🚨

Watoto wanahitaji lishe bora, malezi chanya, na mazingira salama ili kukua vyema. Tuchukue hatua sasa! Wekeza katika malezi na makuzi ya awali kwa ustawi wa kizazi kijacho.

👉 Chanzo: NBS, TDHS-MIS 2022