Ibua Tanzania
@ibuatz
Unlocking Youth Potential
ID: 1163455368707616768
http://bit.ly/story-kijiweni-4 19-08-2019 14:19:21
191 Tweet
620 Followers
20 Following
Tazama tamthilia ya IBUA! Msimu wa 2, sehemu ya 1. Baada ya misukosuko ya malipo kwa ajili ya matibabu alipopata ajali ya bodaboda, Mpinga amejiandaa vipi sasa? tinyurl.com/drama-series-s2 Femina Hip Clouds Media Fern (T) Company Ltd Studio 19😎 Msichana Initiative Youth of UN Tanzania TYVAVijana
Tazama tamthilia ya IBUA! Msimu wa 2, sehemu ya 2. Je, Nuru atajiunga na vikundi vya kifedha kupata mkopo wa kukuza mtaji wa biashara yake? youtu.be/cjDEHQlaS3A Silabu (powered by smartclasstz) Femina Hip Clouds Media Fern (T) Company Ltd Studio 19😎 Msichana Initiative Youth of UN Tanzania TYVAVijana
Tazama tamthilia ya IBUA! Msimu wa 2, sehemu ya 3. Je, Kibonzo atamuacha Kidole salama kweli baada ya kumuharibia dili? youtube.com/watch?v=rEpBmG… Femina Hip Clouds Media Msichana Initiative Fern (T) Company Ltd Studio 19😎 Youth of UN Tanzania TYVAVijana FSDT Smart Me Silabu (powered by smartclasstz)
Tazama tamthilia ya IBUA! Msimu wa 2, sehemu ya 4. Hatimaye Nuru amefanikiwa kupata mkopo kuongeza mtaji. Lakini, hii hela itafika salama kweli kwa supplier wake? youtu.be/_LYO41WHjKA Silabu (powered by smartclasstz) Smart Me Studio 19😎 Fern (T) Company Ltd Femina Hip Msichana Initiative TYVAVijana
Tazama tamthilia ya IBUA! Msimu wa 2, sehemu ya 5. Moza amekuwa akipewa ushauri mzuri sana na mama Malengo kuhusu namna ya kutunza daftari la mahesabu ya biashara yake. Lakini, daftari limekaa sawa kweli? youtu.be/YBTV4Bpo3Pc TYVAVijana Femina Hip Msichana Initiative Youth of UN Tanzania
Tazama tamthilia ya IBUA! Msimu wa 2, sehemu ya 6. Familia ya Mpinga itaponea wapi? youtube.com/watch?v=SQbR7o… Femina Hip Msichana Initiative Youth of UN Tanzania TYVAVijana Smart Me Silabu (powered by smartclasstz) Clouds Media Fern (T) Company Ltd Studio 19😎 FSDT