Hussein Issa (@husseinissa795) 's Twitter Profile
Hussein Issa

@husseinissa795

ID: 1642988548465860610

calendar_today03-04-2023 20:33:20

412 Tweet

35 Followers

175 Following

Watu Mikeka (@watu_mikeka) 's Twitter Profile Photo

Hiyo Tshs 320,000/= ni give away kwa watu 320 wa kwanza ku-retweet hapa. Kampuni ni Sportybet Code 👉DCC477 Bet at your own risk & what you earn 📢 Link ya WhatsApp ipo kwenye BIO (Profile) hapo juu.

Hiyo Tshs 320,000/= ni give away kwa watu 320 wa kwanza ku-retweet hapa.

Kampuni ni Sportybet 

Code 👉DCC477

Bet at your own risk & what you earn 

📢
Link ya WhatsApp ipo kwenye BIO (Profile) hapo juu.
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿 (@esireid) 's Twitter Profile Photo

99 Names of Allah with meanings👇🏽🫶🏾 Ukiwa na tatizo kubwa kiasi gani ukisoma haya Majina yote 99 kwa wakati mmoja linatatuliwa! Ukweli kabisaa huu mm imeshanitokea mara kibao… Ni vizuri pia Uki ya kariri kichwani! Hakuna mwanafunzi utakua Na haya majina kichwani alafu

99 Names of Allah with meanings👇🏽🫶🏾

Ukiwa na tatizo kubwa kiasi gani ukisoma haya Majina yote 99 kwa wakati mmoja linatatuliwa!

Ukweli kabisaa huu mm imeshanitokea mara kibao…

Ni vizuri pia Uki ya kariri kichwani! Hakuna mwanafunzi utakua Na haya majina kichwani alafu
Swed Junior (@kingvannytz_) 's Twitter Profile Photo

Hizi hapa SMS 05 za uhakika za kumtongozea mwanamke yoyote akukubalie. 😊 01. "Niseme nini ujue nakupenda ? Nifanye nini ujue nakupenda? Nikuite jina gani ujue ni wewe peke yako upo moyoni mwangu ? Hakika hakuna ila moyo wangu ndio unaosema kuwa nakupenda, niamini mpenzi" 😍

Hizi hapa SMS 05 za uhakika za kumtongozea mwanamke yoyote akukubalie. 😊

01. "Niseme nini ujue nakupenda ? Nifanye nini ujue nakupenda? 
Nikuite jina gani ujue ni wewe peke yako upo moyoni 
mwangu ? Hakika hakuna ila moyo wangu ndio unaosema kuwa 
nakupenda, niamini mpenzi" 😍
Masanja (@mkandamizaji) 's Twitter Profile Photo

Mwezi huu muombe Mungu akupe uwezo wa kuona dhambi zako mwenyewe, unafiki wako, uzembe wako na wakati mwingine upofu wako kwenye baadhi ya mambo. Uwezo wa kuona mapungufu yako, kujinyooshea kidole ma kujikanya. Usingiie tu kila wakati kwenye kunyooshea vidole watu wengine

Kabigwa_Afya💊 (@kabigwa_78) 's Twitter Profile Photo

NGUVU YA MIXER YA VITUNGUU SWAUMU NA KARAFUU!! Ulikuwa Unafahamu Mchanganyiko Huu Unaweza Kukufanya Zaidi ya Bingwa? Kila Kitu Nimekiweka Wazi Humu 🧵👇

NGUVU YA MIXER YA VITUNGUU SWAUMU NA KARAFUU!!

Ulikuwa Unafahamu Mchanganyiko Huu Unaweza Kukufanya Zaidi ya Bingwa?

Kila Kitu Nimekiweka Wazi Humu 🧵👇
Kabigwa_Afya💊 (@kabigwa_78) 's Twitter Profile Photo

NJIA YA ASILI YA KURUDISHA NGUVU ZAKO ZA KIUME KWA MCHANGANYIKO (CODE) HII MAALUM. Mahitaji yake, Namna ya Kuandaa na Jinsi ya Kutumia..! 🧵👇🏾

NJIA YA ASILI YA KURUDISHA NGUVU ZAKO ZA KIUME KWA MCHANGANYIKO (CODE) HII MAALUM.

Mahitaji yake, Namna ya Kuandaa na Jinsi ya Kutumia..!

🧵👇🏾
KIRIKUU✏️ (@kirikuu20) 's Twitter Profile Photo

Mimi mwenyewe na ugumu wangu niliwahi kupenda mno . Nilipenda hadi huyo binti kila nilipofumba macho sikuona giza lakini niliona uso wake. Nilipenda sana hadi nikawa naomba siku nikiondoka Duniani nimshike mkono na niweke kiapo cha kumtafuta baada ya kifo. Siku moja pekee

Mimi mwenyewe na ugumu wangu niliwahi kupenda mno .

Nilipenda hadi huyo binti kila nilipofumba macho sikuona giza lakini niliona uso wake.

Nilipenda sana hadi nikawa naomba siku nikiondoka Duniani nimshike mkono na niweke kiapo cha kumtafuta baada ya kifo.

Siku moja pekee