Homby ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@hombyjr1) 's Twitter Profile
Homby ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

@hombyjr1

Blogger/Adventurer/#Manchester united fan/ WE FOLLOW YOU BACK

//Kuna ndoto inandoto ya kuishi ndani yako.

ID: 1170012813407989761

linkhttps://hombyjr.blogspot.com/?m=1 calendar_today06-09-2019 16:36:32

43,43K Tweet

31,31K Followers

2,2K Following

Homby ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@hombyjr1) 's Twitter Profile Photo

Hakuna tunachoogopa kukikosa wala kukipoteza zaidi ya uhai, haijalishi umepoteza nini ila kama upo hai ni fursa kubwa. Kuishi ni ushindi.๐Ÿค

Homby ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@hombyjr1) 's Twitter Profile Photo

Mtu awaye yote asiudharau ujana wako, bali uwe kielelezo kwao waaminio, katika usemi na mwenendo, na katika upendo na imani na usafi. Tim 4: 12

Homby ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@hombyjr1) 's Twitter Profile Photo

Unaenda kufanya upekuzi kwenye mjengo ambao hata ukilundika mshahara wako wa miaka 10 hujengi,, kazi zingine ngumu sana.๐Ÿคฃ

Homby ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@hombyjr1) 's Twitter Profile Photo

WAKILI KIBATALA: Kama Boniface alisema maisha yake yapo hatarini, je Polisi mlichukua hatua gani kumlinda? Kwanini mnaomba Mahakama imuweke mahabusu kwa usalama wake, wakati ulinzi wa raia na mali zao ni kazi ya Polisi na sio Mahakama? ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ

Bongo ukisimaimia haki unaonekana, moja mpinzani pili,Chadema, ila sio ACT au CUF. Kuna wale ambao hawana vyama wanasimamia haki, utaifa, na uzalendo.๐Ÿค