Mr.CHITTOPE♡. (@harunijames) 's Twitter Profile
Mr.CHITTOPE♡.

@harunijames

DrivingBus☆ | PHD ya Maisha magumu◇| Mapumziko mbinguni● | Famer ♤| Naretweet kila nachokiona mbele yangu♡| Fanya kuni FOLLOW, nitag retweet faster ♧

ID: 1679601892689575937

calendar_today13-07-2023 21:21:39

949 Tweet

22 Followers

124 Following

Bixen (@heisbixen) 's Twitter Profile Photo

RAPPERS AMBAO WALIWAHI KUFANYA UHALIFU NA KUHUKUMIWA KIFUNGO KWA HILO. 1. Wiz Khalifa. Wiz Khalifa alikamatwa mwaka 2010 kwa tuhuma za ulanguzi wa dawa za kulevya.

RAPPERS AMBAO WALIWAHI KUFANYA UHALIFU NA KUHUKUMIWA KIFUNGO KWA HILO.

1. Wiz Khalifa.
Wiz Khalifa alikamatwa mwaka 2010 kwa tuhuma za ulanguzi wa dawa za kulevya.
SOYA (@captainpilo7) 's Twitter Profile Photo

Mhuni ni nani ? Mhuni anafocus ya Maisha Mhuni ni smart kichwani Mhuni ni smart wa mavazi Mhuni cycle ni kupeana madili sio kushinda vijiweni Mhuni Anajipenda Mhuni anajituma atakama hapati anaamini Ipo Siku Mhuni ashavuka stage ya kuteswa na Mapenzi Kipi kingine ?

Level (@level1410795) 's Twitter Profile Photo

kuna watu x sijui ni ushamba wa kutumia x sijui ni nini ety mtu ana account ndogo namfollow anakataa kuni follow back mwingine anaengage na mimi fresh nikimfollow ani follow back jaman natangazi sitaki watu wafu kwenye account yangu😎😳

EastAfricaTV (@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

Tuzo ya Heshima “Hall of Fame” King Majuto,Tuzo imepokelewa na Familia yake katika usiku wa ugawaji tuzo wa #TanzaniaComedyAwards #HainaKuchoka #EastAfricaTv

Tuzo ya Heshima “Hall of Fame” King Majuto,Tuzo imepokelewa na Familia yake katika usiku wa ugawaji tuzo wa #TanzaniaComedyAwards

#HainaKuchoka #EastAfricaTv
Mr Health💊💉 (@mkunga_og) 's Twitter Profile Photo

JE...! Nikikuambia— Kula Sukari Nyingi Sio Sababu ya Ugonjwa wa Kisukari, Utanielewa..? Leo tunachambua kwa kina moja ya imani potofu kubwa kuhusu Diabetes Mellitus (Kisukari). Watu wengi huamini kuwa kula sukari nyingi ndiyo chanzo cha kisukari. Je, hii ni kweli? Subiri—

JE...! Nikikuambia— Kula Sukari Nyingi Sio Sababu ya Ugonjwa wa Kisukari, Utanielewa..?

Leo tunachambua kwa kina moja ya imani potofu kubwa kuhusu Diabetes Mellitus (Kisukari). Watu wengi huamini kuwa kula sukari nyingi ndiyo chanzo cha kisukari. 

Je, hii ni kweli? Subiri—