Fred Ma (@fredmaofficial) 's Twitter Profile
Fred Ma

@fredmaofficial

Pharmacist ๐ŸŽ“/Founder & CEO;Talanta Pharmaceuticals ๐Ÿ’Š /Content Writerโœ๏ธ

ID: 1620376739758374912

calendar_today31-01-2023 11:01:54

165 Tweet

20 Followers

69 Following

Fred Ma (@fredmaofficial) 's Twitter Profile Photo

#MerryChristmas2024 "Jesus Christ was not born on Christmas Day,but Christmas Day was born on Jesus Christ. Jesus Christ is the Focus of Our Hearts and Minds." ~Fred Maโœ๏ธ

Fred Ma (@fredmaofficial) 's Twitter Profile Photo

#SiasaZaHoja "Demokrasia ni Udikteta wa Wengi dhidi ya Wachache." Katika Demokrasia maamuzi ya wengi yanapita bila kujali maamuzi ya wachache. Wachache wanakandamizwa. Ubaya zaidi ni pale ambapo Wengi hao ni Wajinga na Wapumbavu.

Fred Ma (@fredmaofficial) 's Twitter Profile Photo

#SiasaZaHoja "Udikteta ni Demokrasia ya Wachache dhidi ya Wengi. Wengi hawasikilizwi katika udikteta. Ubaya ni pale ambapo kikundi cha utawala wa kidikteta kinapojawa na watu Wajinga na Wapumbavu."

Fred Ma (@fredmaofficial) 's Twitter Profile Photo

โ€œKwa kujua tumetoka wapi,tunapata nguvu ya kujua tunaelekea wapi. Na kwa kujua tunaelekea wapi,tunapata nguvu ya kuelekea tunakotakiwa kufika na nini cha kufanya hapa tulipo ili tufuzu kufika.โ€ ๐Ÿ“š~Wanafikara wa Kiroho

Fred Ma (@fredmaofficial) 's Twitter Profile Photo

#๐Ÿต.๐—ก๐—˜๐—ก๐—ข ๐—Ÿ๐—” ๐—ž๐—จ๐—™๐—”๐—”๐Ÿ“š "Mwenye macho (mawili) haambiwi tazama. Kwa sababu hawezi kukiona kile kinachoonwa na jicho la tatu.๐Ÿ‘๏ธ Ni jicho la tatu ndilo huweza kutazama. Haya macho mawili ni kwa ajili ya kuona tu." ~Fred Maโœ๏ธ

Fred Ma (@fredmaofficial) 's Twitter Profile Photo

#๐Ÿญ๐Ÿฌ.๐—ก๐—˜๐—ก๐—ข ๐—Ÿ๐—” ๐—ž๐—จ๐—™๐—”๐—”๐Ÿ“š "Watu wengi wanaangamia kwa sababu ya Ujinga. Na Watu wengi wanang'ang'ania Ujinga ili wasiangamie'." ~Fred Maโœ๏ธ

Fred Ma (@fredmaofficial) 's Twitter Profile Photo

#๐Ÿญ๐Ÿญ.๐—ก๐—˜๐—ก๐—ข ๐—Ÿ๐—” ๐—ž๐—จ๐—™๐—”๐—” ๐Ÿ“š "Shoka likifika Msituni na Kuanza kukata Miti,.... Miti yote husema,.."Ule Mpini ni Mwenzetu kabisa!"๐Ÿ˜ญ

Fred Ma (@fredmaofficial) 's Twitter Profile Photo

#๐Ÿญ๐Ÿฎ.๐—ก๐—˜๐—ก๐—ข ๐—Ÿ๐—” ๐—ž๐—จ๐—™๐—”๐—” ๐Ÿ“š "Ukiomba muujiza usihofie ajali ya Basi ulilopanda. Haki na Wajibu ni Ulimi na Mate."

Fred Ma (@fredmaofficial) 's Twitter Profile Photo

#๐Ÿญ๐Ÿฏ.๐—ก๐—˜๐—ก๐—ข ๐—Ÿ๐—” ๐—ž๐—จ๐—™๐—”๐—” "Njia na nia ya kutafuta kitu,vinaweza kuwa sababu ya kujibiwa au kutojibiwa kwa maombi yetu kwa Mungu wetu."

Fred Ma (@fredmaofficial) 's Twitter Profile Photo

Ni Aidha Utajiunga na Programu ya ๐—”๐—œ ๐— ๐—”๐—ฆ๐—ง๐—˜๐—ฅ๐—ฌ ๐—ฃ๐—ฅ๐—ข au utaketi chini ukijilaumu kwa nini hukujiunga.