Franklin Tissa (@franklin_tissa) 's Twitter Profile
Franklin Tissa

@franklin_tissa

Political Animal|Social Runner|
Arsenalholic|Simbaholic
#TOTRunners #JustFit

ID: 355799840

calendar_today15-08-2011 22:26:00

310,310K Tweet

74,74K Followers

5,5K Following

Lubasha Jr (@marekamalili) 's Twitter Profile Photo

Hivi serikali ni nini? - Serikali ni watu - Serikali ni mifumo - Serikali ni watu na mifumo #WikiYaAzaki2024 #CSOWeek2024 #ChangeNiSisi

KAPETO🇹🇿 (@kapeto98) 's Twitter Profile Photo

Chuo cha Ms Training Centre for Development Cooperation (MS TCDC Arusha) Arusha kinatoa Master ya Uongozi na Utawala (Leadership and Governance) iliyosajiliwa na NACTVET na kutambuliwa na TCU pamoja na Bodi ya Mikopo Bara na Visiwani. -Programu hii inachukua miaka miwili, mwaka wa

Chuo cha Ms Training Centre for Development Cooperation (MS TCDC Arusha) Arusha kinatoa Master ya Uongozi na Utawala (Leadership and Governance) iliyosajiliwa na NACTVET na kutambuliwa na TCU pamoja na Bodi ya Mikopo Bara na Visiwani.

-Programu hii inachukua miaka miwili, mwaka wa
Moyo wa TAIFA ™️ (@bajabiri) 's Twitter Profile Photo

Serikali ni wanasiasa...wanaotumia vyombo vya dola kuwagandamiza wapiga kura...wanaotumia kodi za wananchi kujinufaisha kupitia bajeti inayopitishwa kihalali na Bunge la nchi husika. #Accountability

Lubasha Jr (@marekamalili) 's Twitter Profile Photo

Wakati wa Magu tulijitoa kwenye Open Gov Action Plan, Mwaka jana kama sikosei niliona mahali tutajiunga tena, ila kimya mpaka sasa, au masuala ya uwazi na uwajibikaji hayatuvutii na zile 4Rs zetu?

Franklin Tissa (@franklin_tissa) 's Twitter Profile Photo

Ukishamuua mtu then unabaki na furaha kabisa? Unakula na unashiba na unaendelea na maisha aisee? Kuna watu wana roho ngumu bwana.

 𝐊𝐢𝐝𝐮𝐝𝐮 𝐌𝐭𝐮 𝐉𝐑™ (@anuskills3) 's Twitter Profile Photo

Swahiba,Kata tiketi yako na Qatar Airways ✈️ upate 12% punguzo, kisha CRDB Bank tukurudishie 10% kwa malipo ya TemboCard VISA 💳! Hivi ndivyo wasafiri smart wanavyofanya 😉 #TishaNaTemboCard #SwahibaLanguLako.

Swahiba,Kata tiketi yako na Qatar Airways ✈️ upate 12% punguzo, kisha CRDB Bank tukurudishie 10% kwa malipo ya TemboCard VISA 💳! Hivi ndivyo wasafiri smart wanavyofanya 😉

#TishaNaTemboCard
#SwahibaLanguLako.
Gift Kimaro (@giftkimaro7) 's Twitter Profile Photo

99% ya bidhaa za kilimo zinazosafirishwa nje ya nchini zinapata msamaha wa kodi chini ya mpango wa biashara ya nchi zinazoendelea (DCTS) Bidhaa zinazouzwa uingereza zaidi ni Kahawa, Chai, Kokoa, Mbogamboga, Mbao, Matunda. #MamaYukoKazini

99% ya bidhaa za kilimo zinazosafirishwa nje ya nchini zinapata msamaha wa kodi chini ya mpango wa biashara ya nchi zinazoendelea (DCTS)

Bidhaa zinazouzwa uingereza zaidi ni Kahawa, Chai, Kokoa, Mbogamboga, Mbao, Matunda.

#MamaYukoKazini
winharder_ (@winharder_) 's Twitter Profile Photo

Ndugu mjasiriamali Soft Finance wapo bega kwa bega nawe kuhakikisha unatimiza ndoto zako za kuifanya biashara yako iwe kubwa sana. Wanatoa mkopo wenye riba ndogo masharti naafuu ili kukurahisishia maisha. Wacheki Leo #SoftFinance ufurahie #MpangoPesa ndani ya dk 45 tu.

Ndugu mjasiriamali  Soft Finance  wapo bega kwa bega nawe kuhakikisha unatimiza ndoto zako za kuifanya biashara yako iwe kubwa sana.
Wanatoa mkopo wenye riba ndogo masharti naafuu ili kukurahisishia maisha.
Wacheki Leo #SoftFinance ufurahie #MpangoPesa ndani ya dk 45 tu.
winharder_ (@winharder_) 's Twitter Profile Photo

Jambo letu ni kesho pale Sayansi Kijitonyama kwa sh20,000 utapata ▪︎ Maarifa ya ujuzi ▪︎ Kukuza chapa yako ▪︎ Kutanua wigo bidhaa yako kujulikana na kutambulika ▪︎ Kufaham jinsi ya kupata vibali vya uzalishaji bidhaa 📞 0694 490 578 Hakikisha hukosi #Nikonekt 🔥🔥🔥🔥

Jambo letu ni kesho pale Sayansi Kijitonyama kwa sh20,000 utapata
▪︎ Maarifa ya ujuzi
▪︎ Kukuza chapa yako
▪︎ Kutanua wigo bidhaa yako kujulikana na kutambulika
▪︎ Kufaham jinsi ya kupata vibali vya uzalishaji bidhaa
📞 0694 490 578

Hakikisha hukosi #Nikonekt 🔥🔥🔥🔥
DOCHA  (@alugandu) 's Twitter Profile Photo

💫Cheza GOAL RUSH Leo..‼️⚽️ 🤔Ni Simple Tu Kucheza Mchezo Huu Chagua Ni Timu ipi Itaanza Kufunga Goli La Kwanza Na Dakika Ya Ngapi Katika Mechi Tatu Tu..!! 👉🏿GUSA LINK bit.ly/SportPesa-BT-X2 Jisajili Na SportPesa Tanzania Kisha Bashiri. #MamilioniNaGoalRush | #SportPesaUshindi

💫Cheza GOAL RUSH Leo..‼️⚽️

🤔Ni Simple Tu Kucheza Mchezo Huu Chagua Ni Timu ipi Itaanza Kufunga Goli La Kwanza Na Dakika Ya Ngapi Katika Mechi Tatu Tu..!!

👉🏿GUSA LINK bit.ly/SportPesa-BT-X2 Jisajili Na SportPesa Tanzania Kisha Bashiri.

#MamilioniNaGoalRush | #SportPesaUshindi
HakiElimu (@hakielimu) 's Twitter Profile Photo

It is high time to embrace Virtual Reality and other technological solutions in our education system to foster creativity and critical thinking and address other skills gaps in our country - Introductory remarks from the Head of Programs at HakiElimu during the launching

I have also learnt that Virtual Reality is not just a tool for entertainment; it has the potential to make complex subjects more understandable, bring abstract concepts to life, and improve student engagement- Bony Godfrey, Head of Programs at HakiElimu during the launching

We are committed to ensuring digital innovations are accessible to all and positively impact the learners - Sanna-Liisa Taivalmaa from the Embassy of Finland in Tanzania giving remarks during the launching Pilot Project for VR-based teacher training HakiElimu premises.