Feza (@fezakessy) 's Twitter Profile
Feza

@fezakessy

Artiste || Patamu (Official Music Video) 👇🏾

ID: 377359051

linkhttps://youtu.be/bn7_0UGQk14?si=GJTepIW7bTLLkJAR calendar_today21-09-2011 13:09:34

8,8K Tweet

155,155K Followers

170 Following

Feza (@fezakessy) 's Twitter Profile Photo

Brand New Banger! 🔥💥 🚀@fezakessy - Siwezi #OutNow bitly.ws/zX8x boomplay.com/songs/11660448… Produced by @gachib Written by Brand New Banger! 🔥💥 🚀@fezakessy - Siwezi #OutNow bitly.ws/zX8x boomplay.com/songs/11660448…

EastAfricaTV (@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

Kwenye Mahakama Kuu ya Burudani #FridayNightLive Msanii Feza amenyoosha maelezo baada ya kusemekana kuwa ameongeza shepu yake nchini Uturuki. Show kamili ipo youtube ya #EastAfricaTV Cc Dullah Planet #Conniebeily #FNL Konyagi Tanzania #WashaCheche #FezaKessy

Feza (@fezakessy) 's Twitter Profile Photo

Ulikua wakati mzuri na familia yangu mpya ya @gwalabet hapo Jana.Kama una account ya Gwala 👊🏾 kama hujajiunga basi Jiunge alafu piga namba hii:0747005007 waambie FEZA amesema mnipe mchongo wa #JipigietuMwanangu.

Peter Madeleka (@pmadeleka) 's Twitter Profile Photo

Martin Maranja Masese ameshatimiza WAJIBU wake hapo 👇. Kilichobaki, ni kila mmoja wetu, kwa nafasi yake, ATIMIZE WAJIBU WAKE PIA. Mimi nitakwenda KUZUNGUMZA na Mkuu wa Majeshi (CDF) ili kuhakikisha JWTZ linabaki na HESHIMA yake, NDANI na NJE ya mipaka yetu.

Jamii Forums (@jamiiforums) 's Twitter Profile Photo

DODOMA: Akizungumza na Waandishi wa Habari Oktoba 7, 2024, Wakili Peter Madeleka amezungumza kuhusu kesi iliyofunguliwa na Paul Kisabo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Dodoma dhidi ya Afande Fatma Kigondo baada ya kuahirishwa mnamo Septemba 2024 kutokana na uhamisho wa Hakimu