Eric Ongara (@ericongara) 's Twitter Profile
Eric Ongara

@ericongara

ID: 383932950

calendar_today02-10-2011 19:31:32

8,8K Tweet

4,4K Followers

358 Following

Azam TV (@azamtvtz) 's Twitter Profile Photo

#BreakingNews Yanga Bingwa wa Ligi Kuu ya NBC msimu wa 2022/23. Huu ni ubingwa wake wa 29 tangu kuanzishwa kwake na ni baada ya ushindi wa leo 4-2 dhidi ya Dodoma Jiji na kufikisha pointi 74 ambazo haziwezi kufikiwa na timu yoyote. FT: Yanga 4-2 Dodoma Jiji. Neno moja kwa

#BreakingNews Yanga Bingwa wa Ligi Kuu ya NBC msimu wa 2022/23.

Huu ni ubingwa wake wa 29 tangu kuanzishwa kwake na ni baada ya ushindi wa leo 4-2 dhidi ya Dodoma Jiji na kufikisha pointi 74 ambazo haziwezi kufikiwa na timu yoyote.

FT:  Yanga 4-2 Dodoma Jiji.

Neno moja kwa
Eric Ongara (@ericongara) 's Twitter Profile Photo

"Yanga and Manchester City are on the path to a treble, dominating their domestic leagues and pursuing continental glory. An intercontinental community shield between these titans of football would be a spectacle for the ages! #Yanga #ManCity #Football"

Eric Ongara (@ericongara) 's Twitter Profile Photo

"Yanga, with a logo featuring a torch and Africa map, you were made to inspire hope and joy across the continent. Today, you will do just that in the CAF Confederation Cup final. Go Yanga! Go Africa! #Yanga #CAFCCFinal #InspireHope #Joy"

Azam TV (@azamtvtz) 's Twitter Profile Photo

FAINALI ASFC: Hili hapa goli la kutangulia la Yanga likiwekwa nyavuni na Kennedy Musonda Azam 0-1 Yanga Tuko LIVE #AzamSports1HD #ASFC #ASFCCup #ASFCFinal #MitoNiMaishaYetu #10DaimaDamdam #Tanga2023 #WajeWajirambe #ASFCTanga #YangaSC #AzamFC#AzamVsYanga

The Source Initiative (@thesourcetz) 's Twitter Profile Photo

wamegawana na mchezaji wa Simba ambao walifungana magoli. Club ya Yanga imekuwa na msimu mzuri msimu huu baada kuweza kunyakua mataji matatu na kuingia final ya kombe la shirikisho Africa.

Togolani Mavura (@tonytogolani) 's Twitter Profile Photo

Leo ni miaka mitatu tangu kufariki kwa Mheshimiwa Benjamin William Mkapa, Rais wa Awamu ya Tatu. Leo nimemkumbuka kwa nukuu yake hii: "Ndoto si pato" - Hayati Rais Mstaafu Benjamin William Mkapa.

Azam TV (@azamtvtz) 's Twitter Profile Photo

#NgaoYaJamii2023: Clement Mzize akaweka ‘chuma’ ya pili FT: Yanga sc 2-0 Azam FC #NgaoYaJamii2023 #NgaoYaJamii #CommunityShield #CommunityShield2023 #Tanga2023 #MitoNiMaishaYetu #10DaimaDamdam #AzamFC #YangaSC #YangaAzam #YangaVsAzam

Azam TV (@azamtvtz) 's Twitter Profile Photo

#NBCPL Pacome Zouzoua akafunga hesabu kwa kutupia la la tano na la mwisho kwa leo akiwapima kimo beki na golikipa wa KMC. FT: Yanga 5-0 KMC. #AzamSports1HD #NBCPremierLeague #NBCPL #NBCPLUpdates #LigiKuuYaNBC #LigiKuuTanzaniaBara #SokaLetuDamdam #10DaimaDamdam #YangaSC #KMCFC

Eric Ongara (@ericongara) 's Twitter Profile Photo

Yanga mercilessly crushes Simba, 5-1, outclassing a weak opponent today. The resounding triumph echoes Yanga's unrivaled supremacy, solidifying their reign as football royalty in Africa! 👑 #Mkono #KipigoKikali 👋

Young Africans SC (@youngafricanssc) 's Twitter Profile Photo

Shukrani kwa Wanachama na Mashabiki wa Young Africans SC kwa kujitokeza kwa wingi na kushangilia muda wote kwenye mchezo wetu wa jana dhidi ya mtani🖐🏼 Hakika mmepata burudani #TheClubAboveAll🔰 #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko

Shukrani kwa Wanachama na Mashabiki wa Young Africans SC kwa kujitokeza kwa wingi na kushangilia muda wote kwenye mchezo wetu wa jana dhidi ya mtani🖐🏼

Hakika mmepata burudani #TheClubAboveAll🔰 

#TimuYaWananchi 
#DaimaMbeleNyumaMwiko