Mathew Edwin Komba (@edwinkomba) 's Twitter Profile
Mathew Edwin Komba

@edwinkomba

ID: 1417148714632859654

linkhttp://www.hygneTechnology.com calendar_today19-07-2021 15:46:25

146 Tweet

15 Followers

95 Following

Rose Mayemba (@rose_mayemba) 's Twitter Profile Photo

Hana hatia... Amezoea kuandika story za Mapenzi. Nani asiyejua mapenzi huendeshwa na moyo sio Ubongo?. Bungeni wanatakiwa watu wanaotumia ubongo kufikiri,mwenzetu Ubunge alipewa kama zawadi na hakuna anayejua zawadi hii alipewa kwa sababu zipi.

Hana hatia...
Amezoea kuandika story za Mapenzi. Nani asiyejua mapenzi huendeshwa na moyo sio Ubongo?.
Bungeni wanatakiwa watu wanaotumia ubongo kufikiri,mwenzetu Ubunge alipewa kama  zawadi na hakuna anayejua zawadi hii alipewa kwa sababu zipi.
Mathew Edwin Komba (@edwinkomba) 's Twitter Profile Photo

Nilishangazwa na utitiri wa wabunge matajiri bungeni nilijua nchi hii itapoteza mtu makini kutokana na matajiri hao ni watu wabaya sana cjui waliwezaje kupenya#

EastAfricaTV (@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

"Nakupongeza Mhe. Rais kwa jinsi umeipaisha Diplomasia yetu kwa kipindi kifupi sana, mipango yako na kukubalika kwako duniani kumefanya kazi yetu sisi wasaidizi wako kuwa nyepesi" - Balozi Liberata Mulamula, Waziri wa Wizara ya Mambo ya Nje #UapishoWaViongozi

"Nakupongeza Mhe. Rais kwa jinsi umeipaisha Diplomasia yetu kwa kipindi kifupi sana, mipango yako na kukubalika kwako duniani kumefanya kazi yetu sisi wasaidizi wako kuwa nyepesi" - Balozi Liberata Mulamula, Waziri wa Wizara ya Mambo ya Nje
#UapishoWaViongozi
Mamwavi_Nkabasia (@joeselasini) 's Twitter Profile Photo

Huyu IGP amechoka. Hana niidhamu. Angalia ameamua kumjibu Rais na amiri jeshi mkuu hadharani. Tumemwambia Rais siku nyingi. Wanakudharau na kukuhujumu. Ulipoanza kila raia alikupenda hawa wamekuchafua mitaani wananchi wamekuchoka. Waondoe vinginevyo hali itakuwa mbaya zaidi.

Mama yuko Kazini (@mamayukokazini) 's Twitter Profile Photo

Kwa kuzingatia maoni ya wananchi, Serikali imepunguza viwango vya tozo za miamala ya simu kwa 30% na watoa huduma za simu wamepunguza 10%. Tija: Watanzania watachangia maendeleo ya nchi kwa pamoja, miradi itatekelezwa kwa haraka na huduma za kijamii zitaboreshwa. #mamayukokazini

Kwa kuzingatia maoni ya wananchi, Serikali imepunguza viwango vya tozo za miamala ya simu kwa 30% na watoa huduma za simu wamepunguza 10%.

Tija: Watanzania watachangia maendeleo ya nchi kwa pamoja, miradi itatekelezwa kwa haraka na huduma za kijamii zitaboreshwa.
#mamayukokazini
#ChangeTanzania (@changetanzania) 's Twitter Profile Photo

Ikiwa wananchi watahitimisha kuwa njia pekee inayofaa ya kupata haki ni kupitia mapambano ya vurugu itazalisha zaidi ukosefu wa haki. #MboweSioGaidi #ChangeTanzania

Ikiwa wananchi  watahitimisha kuwa njia pekee inayofaa ya kupata haki ni kupitia mapambano ya vurugu itazalisha zaidi ukosefu wa haki. #MboweSioGaidi #ChangeTanzania
WatuNiStory (@watunistory) 's Twitter Profile Photo

"Nilimpa mimba binti mmoja hivi ambaye nilikuwa nae kwenye mahusiano. Ila kuna namna moyo wangu ulikuwa unasita kukubali kuwa ile mimba ni yangu. Sijui kwanini ila zile wiki za mwanzo nilikuwa nawaza kama kweli ni mimba yangu ingawa nilikuwa nahudumia.

"Nilimpa mimba binti mmoja hivi ambaye nilikuwa nae kwenye mahusiano. Ila kuna namna moyo wangu ulikuwa unasita kukubali kuwa ile mimba ni yangu.  

Sijui kwanini ila zile wiki za mwanzo nilikuwa nawaza kama kweli ni mimba yangu ingawa nilikuwa nahudumia.
mkonongo (@mchujoj) 's Twitter Profile Photo

RECUR Ama nakufahamisha tu kuwa Sasa hivi waziri wa habari ni nape..Sasa uchague kimoja ..uachane na hayo mambo yako ya online tv..ama kampigie magoti akufungulie..uzuri wake nape mzunguu..atakuelewa tu