Tanzania Editors Forum (TEF) (@editorsforums) 's Twitter Profile
Tanzania Editors Forum (TEF)

@editorsforums

We defend freedom of expression and promote editorial excellence as keystone to realization of mature democracy in Tanzania.

ID: 1106545504333283328

linkhttp://tanzaniaeditorsforum.com calendar_today15-03-2019 13:19:41

3,3K Tweet

3,3K Followers

674 Following

Tanzania Editors Forum (TEF) (@editorsforums) 's Twitter Profile Photo

Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Deodatus Balile akizungumza wakati wa Tuzo za Samia Kalamu - Samia Kalamu Award - tarehe 5 Mei 2025.

Tanzania Editors Forum (TEF) (@editorsforums) 's Twitter Profile Photo

Wadau wa habari wakiwa katika picha ya pamoja na Waziri wa Habari Utamaduni, Sanaa na Michezo, Prof. Paramagamba Kabudi (mwemye tai nyekundu) muda mfupi baada ya uwasilishwaji bajeti ya wizara hiyo jijini Dodoma leo tarehe 7 Mei 2025.

TEF imepokea kwa masikitiko makubwa taarifa za kifo cha mmoja wa viongozi wakongwe, Cleopa David Msuya, aliyewahi kuwa Waziri Mkuu na Makamu wa Rais wa Tanzania. Mzee Msuya alifariki dunia Mei 7, 2025katika Hospitali ya Mzena jijini Dar es Salaam, alipokuwa akipatiwa matibabu.

Charles Hilary, aliyekuwa Mkurugenzi wa Idara ya Mawasiliamo Ikulu visiwani Zanzibar na Msemaji Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, anatarajiwa kuzikwa visiwani huko Jumatano wiki hii. Hilary alifariki dunia jana jijiji Dar es Salaam.

Kifo cha Charles Hilary ni pigo kubwa kwa familia yake, wanahabari wa Zanzibar na Tanzania kwa ujumla - Deodatus Balile, Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) katika tamko la tanzia la jukwaa hilo.

Jaji Mstaafu Sivangilwa Mwangesi amesema vyombo vya habari vina wajibu mkubwa kusaidia wananchi kuchagua viongozi waadilifu kwa kuandika kwa uadilifu, ili kukuza maadili ya viongozi wa umma na kuimarisha imani ya wananchi kwa serikali, kwa mujibu wa Katiba na Sheria.

Waziri wa Fedha Dk. Mwigulu Nchemba ametangaza kuwa serikali imefuta kodi ya VAT kwenye matangazo ya magazeti ya ndani. TEF yapongeza: “Kodi hii ilikuwa chanzo cha kifo cha magazeti… Tunadaiwa VAT hata kabla ya kupokea malipo.” #Bajeti2025

Mkurugenzi mkuu wa Shirika la Nyumba Hamad Abdallah, ameongoza ziara ya wahariri kutembelea miradi ya makazi ilioendelezwa upya Dar es salaam ikiwemo GPR , Samia residence na Moroco square kufatia mkopo ulioridhiwa na Rais Samia suluhu Katika ujenzi wa taifa kwa uwazi na weledi.

Serikali tunathamini uwepo wa media tena iliyo imara, serikali tunapotaka kujipima na kujitazama tunajiangalia kupitia media.’ – Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji Prof. Kitila Mkumbo akizungumza na wahariri kuhusu Dira ya Maendeleo 2050 jijini Dar es Salaam.

Lindeni tasnia ya habari kwa wivu mkubwa, uwepo wa taarifa zisizo sahihi husababisha taharuki katika jamii hivyo ni wakati wa kuonesha utofauti kwa kuzingatia maadili ya taaluma hii - Dk. Dotto Biteko, Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango amesema wakati umefika kwa wanahabari wa Kiafrika kuonesha taswira nzuri ya Bara la Afrika kwa kuandika habari chanya zenye nguvu na za kutia moyo kuhusu Bara hili.

UZINDUZI DIRA YA MAENDELEO YA TAIFA 2025 - 2050: Rais Samia Suluhu Hassan amesema, taifa lenye umoja, mshikamano na utulivu wa amani ndio msingi wa mafanikio ya maendeleo ya kweli.

Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) linampongeza ndugu Ernest Sungura, Katibu Mtendaji wa Baraza la Habari Tanzania (MCT) kwa kuchaguliwa kuwa Katibu Mkuu wa Mabaraza ya Habari Duniani (WAPC) na Makamu Mwenyekiti wa Mabaraza ya Habari Afrika Mashariki (EAPC).

Mwenyekiti wa TEF, Deodatus Balile leo ametaja orodha ya majina ya wanachama wapya wa jukwaa hilo ambao ni Innocent Mungy, Rodney Mbuya, Angetila Ossiah, Penzi Nyamungumi, Edda Sanga, Dk. Cosmas Mwaisombwa, Tutus Kaguo na David Rwenyagira.

Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Viongozi Wanawake (WPL), Neema Lugangira akikabidhi nakala za Mwongozo wa Uchaguzi Afrika wa Digital na Mitandao ya Kijamii kwa Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri - TEF, Deodatus Balile, katikati ni Makamu M/kiti wa TEF Dk. Bakari Machumu.

Mwanachama wa TEF ambaye pia ni Mkurugenzi wa Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania Media Women , Dk. Rose Reuben akizungumza wakati wa mada ya 'Tunawezaje kubadili dhana na mtazamo juu ya nishati safi ya kupikia?' kwenye Kongamano la Pika Kijanja 2025, jijini Dar es Salam.

Mwanachama wa TEF ambaye pia ni Mkurugenzi wa Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake <a href="/TAMWA_/">Tanzania Media Women</a> , Dk. Rose Reuben akizungumza wakati wa mada ya 'Tunawezaje kubadili dhana na mtazamo juu ya nishati safi ya kupikia?' kwenye Kongamano la Pika Kijanja 2025, jijini Dar es Salam.