Anna Simon Chinyoyo
@chinyoyoanna
Hard work, God, simplicity and growth
ID: 735072055960477696
24-05-2016 11:36:49
1,1K Tweet
1,1K Followers
292 Following
Anna Simon Chinyoyo Naitwa Frank Mahamila natokea Rafiki Mwema Inititives, tunashughulika na kutoa elimu juu ya afya ya akili, mimi niwapongeze kwa mada nzuri ambayo pia elimu ya fedha na kujitegemea kiuchumi ni moja ya njia ya kuepuka msongo wa mawazo ambao unasababisha changamoto ya afya ya akili