Benjamini Mwasile (@benjaminim83480) 's Twitter Profile
Benjamini Mwasile

@benjaminim83480

am an expert, scientist, researcher, Horticulturist, Agronomist, preacher, diplomat, politician and activist.

ID: 1964398180772040704

calendar_today06-09-2025 18:42:31

14 Tweet

18 Followers

335 Following

Benjamini Mwasile (@benjaminim83480) 's Twitter Profile Photo

Daktari namba 1 na wa uhakika katika maisha yako ni wewe mwenyewe, Waweza kuzitibu changamoto zako za maisha kabla ya wengine kuja kukutibu

Benjamini Mwasile (@benjaminim83480) 's Twitter Profile Photo

Kuna muda Watu Wanyonge tusiowatarajia hutupatia misaada mikubwa Isiyotarajiwa au kutegemewa ambayo hatuwezi kuipata kwa Wale tuwadhaniao kuwa Wana nguvu, zaidi hii inamaana kuwa Msaada hutokana na Moyo wa mtu na si uwingi wa vitu

Benjamini Mwasile (@benjaminim83480) 's Twitter Profile Photo

Mpangilio, na Ufuatiliaji wa ratiba zako tu mfano kutandika kitanda, Kuswaki, kuoga, kuswali au kusali kula kuwasili kwa Muda kuna Define Your General Overview of Your Displine na Hata mafanikio huanzia hivii

Benjamini Mwasile (@benjaminim83480) 's Twitter Profile Photo

Mr. Peter Mtharika continues to lead the polls so far in Malawi ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ผ he is close to winning the presidential seat in Marawi. It should be noted that he is over 80 years old.

Mr. Peter Mtharika continues to lead the polls so far in Malawi ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ผ he is close to winning the presidential seat in Marawi. It should be noted that he is over 80 years old.