Karim Abdallah (@abdallah98539_k) 's Twitter Profile
Karim Abdallah

@abdallah98539_k

ID: 2010809686355021824

calendar_today12-01-2026 20:26:53

8 Tweet

1 Followers

10 Following

Mamwavi_Nkabasia (@joeselasini) 's Twitter Profile Photo

Tangazo lililosababisha mauwaji ya tarehe 29.10 2025. IGP asingeweza kulitoa bila idhini na amri ya Amiri Jeshi Mkuu. Hata wakichakachua taarifa kiasi gani hapa hawatoki. Kususia uchaguzi au kunadi "NO REFORM NO ELECTION" hakuwezi kuuwa mtu Kwa risasi. "MTAKUNYWA AU KUMEZA."

SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

Akaunti ya X (Twitter) ya Chadema iliyokuwa ikijulikana kama ChademaTz. Akaunti hii, ambayo kwa muda mrefu imekuwa chombo muhimu cha mawasiliano na taarifa za Chama, imechukuliwa na kuuzwa kinyume na taratibu na maadili ya Chama. Taarifa zilizopo zinaonyesha kuwa aliyekuwa

Akaunti ya X (Twitter) ya Chadema iliyokuwa ikijulikana kama ChademaTz. Akaunti hii, ambayo kwa muda mrefu imekuwa chombo muhimu cha mawasiliano na taarifa za Chama, imechukuliwa na kuuzwa kinyume na taratibu na maadili ya Chama. 

Taarifa zilizopo zinaonyesha kuwa aliyekuwa
SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

Ndiomaana wakatoliki wanaongoza kwa kutoa SADAKA ZA KUJIMALIZA. Cheki FATHER KITIMA Alivyonyooka na KIBAKA wa ikulu mamaee, yani Father anapiga misumali mpaka unatamani jumapili ukatoe sadaka MILIONI 10. ASANTE SANA FATHER NA HILI NDIO KANISA LA KWELI LA MUNGU.