@_mgeni01
ID: 1923041525220638720
calendar_today15-05-2025 15:43:46
175 Tweet
36 Followers
116 Following
16 hours ago
Sasa pia public holiday ni kitu ya kunyima wana inchi
Neva show a friendly face to anyone on the streets.๐
15 hours ago
Lazima nitatumia hiyo line ya kuja nikufunze trading mtu akijipost huko WhatsApp ๐๐.
Unaibiwa simu town ukiangalia matako
Kama hujawahi kuwa caretaker wa mgonjwa kwa general wards, then i think huwezi elewa what's life...
Wah huyu ameniambia hana hizo qualities, wacha nitafute kichele
Si kila saa kuhate... Just show loveโค๏ธ be one and be in someone ๐๐ฅ
Stima inapotea mkiwa malocals na bado system inaendelea kuimba ๐๐ญ๐๐
watu wanakua mamillionaire at 25, kwani sisi ndio hatujui kujituma ama ni ninj iyo hatufanyi
Bois to Bois - Dem akianza kukutext na love emojis...muombe pesa kwanza kabla akuombe
usiwahi ingia dm ya tweep ukidhani mtavibe
Hii tl unaezajieka kufwatilia moves za watu kumbe wamescript ugomvi๐๐
Nilikua nime quit Twitter lakini nimejua huku ndio msee anaweza tolea stress buana๐
you can't cook a cooker๐
Layman ataezadhani horsepower ni nguvu ya farasi๐๐
Don't ever think it can't happen to you.
Uyuu anataka nimchore kwa shingo
Kuna pastor amekam ku hubiria waras, imebidi yeye ndio atoe sadaka
Start fixing your life guys, it's the right time.
A woman will test you more than life ever will. Pass both.