Nathan Mpangala (@nathanmpangala) 's Twitter Profile
Nathan Mpangala

@nathanmpangala

🇹🇿 Expert in Editorial Cartoons I Illustrations I Grassroots Comics 🇹🇿 [email protected]

ID: 383114921

calendar_today01-10-2011 09:00:57

3,3K Tweet

9,9K Followers

1,1K Following

Nathan Mpangala (@nathanmpangala) 's Twitter Profile Photo

Napata shida kutamka Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Songea! Ikiitwa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Ruvuma au Hospitali ya Rufaa Songea ugumu uko wapi?

Nathan Mpangala (@nathanmpangala) 's Twitter Profile Photo

Elimu kwa umma kupitia katuni! Big up Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA), Kanda ya Kusini Mashariki, kwa kuwafikishia ujumbe wananchi kwa njia hii. Namtumbo, Tunduru na Liwale, see you soon! #komikijamii #grassrootscomics #katuni #campaigncartoons

Elimu kwa umma kupitia katuni! Big up Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA), Kanda ya Kusini Mashariki, kwa kuwafikishia ujumbe wananchi kwa  njia hii. Namtumbo, Tunduru na Liwale, see you soon!
#komikijamii #grassrootscomics #katuni #campaigncartoons
Nathan Mpangala (@nathanmpangala) 's Twitter Profile Photo

Waamuzi wa soka si malaika, na wao hufanya makosa ya kibinadamu. Ila makosa yakijirudiarudia yanakuwa sio makosa ya kibinadamu tena, bali makosa ya kimakusudi. Waamuzi wameinyima magoli hii mechi! #ngaoyajamii #simbavsyanga #waamuzi Picha: Mtandao

Waamuzi wa soka si malaika, na wao hufanya makosa ya kibinadamu. Ila makosa yakijirudiarudia yanakuwa sio makosa ya kibinadamu tena, bali makosa ya kimakusudi. 
Waamuzi wameinyima magoli hii mechi!
#ngaoyajamii 
#simbavsyanga 
#waamuzi 
Picha: Mtandao
Nathan Mpangala (@nathanmpangala) 's Twitter Profile Photo

Ama hakika Dunia inakwenda kasi! Sasa timu za Afrika Kaskazini zenye asili ya kiarabu zinalia na marefa dhidi ya timu za Afrika Mashariki!!!