Eng. Honester Kasilo (@honester_kasilo) 's Twitter Profile
Eng. Honester Kasilo

@honester_kasilo

A Mother | Civil Engineer (GE) | Tanzanian🇹🇿 | OHS Officer | Board Member - @TasmiTanzania| #WahandisiWanawake| #UjenziTips

ID: 1194638795355959298

calendar_today13-11-2019 15:31:24

61,61K Tweet

21,21K Followers

1,1K Following

Toni Oppa (@itzjacton) 's Twitter Profile Photo

Una mdogo wako, mpwa au binamu yako anayesoma English Medium School na unajiuliza atafaulu vipi Science na kuipenda? Nakuletea kitabu hiki ambacho ni suluhisho la ufahamu wa mtoto huyu katika hili somo. Nakuuzia nakala moja kwa mtonyo wa Tsh. 15k tu za kitanzania. #SokoLetu

Una mdogo wako, mpwa au binamu yako anayesoma English Medium School na unajiuliza atafaulu vipi Science na kuipenda? 

Nakuletea kitabu hiki ambacho ni suluhisho la ufahamu wa mtoto huyu katika hili somo. 

Nakuuzia nakala moja kwa mtonyo wa Tsh. 15k tu za kitanzania. 
#SokoLetu
winharder_ (@winharder_) 's Twitter Profile Photo

Usikubali biashara yako kukwama sababu ya kukosa fedha, fanya maamuzi sasa ya kuwacheki Soft Finance ujipatie mkopo wa fasta ukuze biashara yako. Haina haja ya kusubiri wakati ni sasa #MpangoPesa #SoftFinance

#ElimikaWikiendi (@elimikawikiendi) 's Twitter Profile Photo

Mambo ya muhimu kuzingatia unapotengeneza maudhui ya kibiashara mtandaoni. ✍ Chagua eneo unalolimudu lifanye kwa ubora ✍ Tengeneneza maudhui mengi kadri iwezekanavyo ✍ Kuwa na muendelezo kwenye jambo moja, ongeza ubunifu Dexline Chigu akitoa maoni kwenye warsha ya #NIKONEKT

Mambo ya muhimu kuzingatia unapotengeneza maudhui ya kibiashara mtandaoni.

✍ Chagua eneo unalolimudu lifanye kwa ubora
✍ Tengeneneza maudhui mengi kadri iwezekanavyo
✍ Kuwa na muendelezo kwenye jambo moja, ongeza ubunifu

<a href="/store_dex/">Dexline Chigu</a> akitoa maoni kwenye warsha ya #NIKONEKT
Toni Oppa (@itzjacton) 's Twitter Profile Photo

Haya hapa maelekezo jinsi ya kujiunga na WiBET , kujisajili na kuweka pesa zako na ukaanza kucheza. Link ya kupakua app yetu: mobile.wibet.co.tz/apps/m/a/Wibet… #IshiNaSisi #MkwanjaKilaKiwanja #OddszaUjazo

Haya hapa maelekezo jinsi ya kujiunga na <a href="/WiBETTanzania/">WiBET</a> , kujisajili na kuweka pesa zako na ukaanza kucheza. 

Link ya kupakua app yetu: mobile.wibet.co.tz/apps/m/a/Wibet…

#IshiNaSisi #MkwanjaKilaKiwanja #OddszaUjazo
Mbundi John (@johnmbundi) 's Twitter Profile Photo

Wamiliki wa vyombo vya habari, wana wajibu wa kuhakikisha wanakua mstari wa mbele katika ku-support sera ya usawa wa kijisinsia ndani ya vyumba vya habari. Tanzania Media Women #WomenInMediaTz

Wamiliki wa vyombo vya habari, wana wajibu wa kuhakikisha wanakua mstari wa mbele katika ku-support sera ya usawa wa kijisinsia ndani ya vyumba vya habari.

<a href="/TAMWA_/">Tanzania Media Women</a> 
#WomenInMediaTz
Andrew Julian Mahiga (@drudysseus) 's Twitter Profile Photo

Just because you struggled growing up doesn’t mean your children and loved ones deserve the bare minimum - as long as it is better than what you had. Work to give them the best that this world has to offer.

Mwemezi Rwiza, PhD (@swahilibible) 's Twitter Profile Photo

In a marriage, you will always see in your spouse what you want to see. It is amazing how a tiny change in your perspective can bring health or damage in a relationship. Good night. I love you.

SikilizaTogolani (@sikilizatogolan) 's Twitter Profile Photo

"Ubaya una mashabiki kuliko wema, ujinga una umati kuliko uerevu, uongo una mapokeo kuliko ukweli na chuki inasambaa kuliko upendo." ~Togolani Mavura.

"Ubaya una mashabiki kuliko wema, ujinga una umati kuliko uerevu, uongo una mapokeo kuliko ukweli na chuki inasambaa kuliko upendo." ~Togolani Mavura.
winharder_ (@winharder_) 's Twitter Profile Photo

Pesa ya vitendea kazi ofisini kwako imepelea na hujui cha kufanya? Ondoa hofu, wasiliana na Soft Finance watakupa mkopo wa haraka ndani ya dk 45 tu na utatue changamoto yako. Usijipe stress kwani #SoftFinance wapo kwa ajili yako. #MpangoPesa