DCB Commercial Bank plc (@dcbbanktz) 's Twitter Profile
DCB Commercial Bank plc

@dcbbanktz

DCB PESA: Simu Yako, Tawi Letu. Tupigie bure kupitia namba 0659077000.

ID: 487362817

linkhttp://www.dcb.co.tz calendar_today09-02-2012 08:50:36

743 Tweet

719 Takipçi

29 Takip Edilen

DCB Commercial Bank plc (@dcbbanktz) 's Twitter Profile Photo

Mvua zisikukwamishe🌧 Chagua njia rahisi ya kufanya malipo iwe kwa kadi au kupitia App ya DCB PESA PLUS. Furahia urahisi, usalama, na uhuru wa kifedha popote ulipo. Furahia wikendi yako kwa amani. #dcbbanktzplc #weekendimebamba #dcbpesaplus #dcbvisacard

Mvua zisikukwamishe🌧 Chagua njia rahisi ya kufanya malipo iwe kwa kadi au kupitia App ya DCB PESA PLUS. Furahia urahisi, usalama, na uhuru wa kifedha popote ulipo. Furahia wikendi yako kwa amani.

#dcbbanktzplc
#weekendimebamba
#dcbpesaplus
#dcbvisacard
DCB Commercial Bank plc (@dcbbanktz) 's Twitter Profile Photo

Bodi ya Wakurugenzi, Menejimenti na Wafanyakazi wote wa DCB Benki tunawatakia wanafunzi wa Kidato cha Sita kila la heri katika Mitihani yao ya Taifa. Tunawatakia mafanikio mema na maisha yenye mafanikio mbele yenu. #dcbbanktzplc #MitihaniFormVI #KilaLaKheri

Bodi ya Wakurugenzi, Menejimenti na Wafanyakazi wote wa DCB Benki tunawatakia wanafunzi wa Kidato cha Sita kila la heri katika Mitihani yao ya Taifa. Tunawatakia mafanikio mema na maisha yenye mafanikio mbele yenu.

#dcbbanktzplc
#MitihaniFormVI 
#KilaLaKheri
DCB Commercial Bank plc (@dcbbanktz) 's Twitter Profile Photo

Kuna muda hesabu inakubali inakataa flan hivi, lakini hesabu ni rahisi sana na DCB Benki. Wekeza na DCB Lamba Mkwanja na upate faida kubwa ya hadi 13.5%. Fungua akaunti leo na uanze kunufaika #dcbbanktzplc #DCBLambaMkwanja #RibaNono

Kuna muda hesabu inakubali inakataa  flan hivi, lakini hesabu ni rahisi sana na DCB Benki.

Wekeza na DCB Lamba Mkwanja na upate faida kubwa ya hadi 13.5%. Fungua akaunti leo na uanze kunufaika

#dcbbanktzplc
#DCBLambaMkwanja
#RibaNono
DCB Commercial Bank plc (@dcbbanktz) 's Twitter Profile Photo

Lamba Mkwanja na DCB Jiunge na kampeni ya kipekee ya Lamba Mkwanja na anza safari yako ya kifedha kwa njia sahihi. Hii ni nafasi ya kipekee ya kujenga utajiri wako kupitia uwekaji wa akiba na huduma bora kutoka DCB Benki. Tembelea tawi lolote la DCB lililopo karibu nawewe leo.

Lamba Mkwanja na DCB

Jiunge na kampeni ya kipekee ya Lamba Mkwanja na anza safari yako ya kifedha kwa njia sahihi. Hii ni nafasi ya kipekee ya kujenga utajiri wako kupitia uwekaji wa akiba na huduma bora kutoka DCB Benki.

Tembelea tawi lolote la DCB lililopo karibu nawewe leo.
DCB Commercial Bank plc (@dcbbanktz) 's Twitter Profile Photo

Ndoto kubwa hazitimii kwa bahati tu, zinahitaji mipango imara na maamuzi sahihi ya kifedha. Kupitia Lamba Mkwanja kutoka DCB Bank, una nafasi ya kuwekeza kwa faida kubwa hadi 13.5% kwa mwaka. Tembelea tawi la DCB lililo karibu nawe au wasiliana nasi leo kwa namba 0659077000.

Ndoto kubwa hazitimii kwa bahati tu, zinahitaji mipango imara na maamuzi sahihi ya kifedha. 

Kupitia Lamba Mkwanja kutoka DCB  Bank, una nafasi ya kuwekeza kwa faida kubwa hadi 13.5% kwa mwaka. 

Tembelea tawi la DCB lililo karibu nawe au wasiliana nasi leo kwa namba 0659077000.
DCB Commercial Bank plc (@dcbbanktz) 's Twitter Profile Photo

Bodi ya Wakurugenzi, Menejimenti na wafanyakazi DCB Benki, tumepokea Kwa masikitiko taarifa za kifo cha aliyekuwa makamu wa kwanza wa Rais na Waziri mkuu mstaafu wa Tanzania Mhe. Cleopa David Msuya. Tunatoa pole zetu za dhati kwa familia, ndugu na Taifa kwa ujumla. #restinpeace

Bodi ya Wakurugenzi, Menejimenti na wafanyakazi DCB Benki, tumepokea Kwa masikitiko taarifa za kifo cha aliyekuwa makamu wa kwanza wa Rais na Waziri mkuu mstaafu wa Tanzania Mhe. Cleopa David Msuya.

Tunatoa pole zetu za dhati kwa familia, ndugu na Taifa kwa ujumla.

#restinpeace
DCB Commercial Bank plc (@dcbbanktz) 's Twitter Profile Photo

Waviswaswadu hamjasahaulika. Huduma zetu sasa ni karibu yako zaidi kwa kutumia simu yako ya mkononi. Piga *150*85# kufanya miamala ya haraka, salama, rahisi, muda wowote, mahali popote. Usihangaike na foleni au safari ndefu; DCB Benki tunakuletea huduma zako palipo na urahisi.

Waviswaswadu hamjasahaulika.

Huduma zetu sasa ni karibu yako zaidi kwa kutumia simu yako ya mkononi.

Piga *150*85# kufanya miamala ya haraka, salama, rahisi, muda wowote, mahali popote.
Usihangaike na foleni au safari ndefu; DCB Benki tunakuletea huduma zako palipo na urahisi.
DCB Commercial Bank plc (@dcbbanktz) 's Twitter Profile Photo

Watumishi wa Umma Fursa ya Mkopo Kidijitali. Sasa unaweza kuomba mkopo hadi Tsh milioni 50 moja kwa moja mtandaoni kupitia mfumo wa ESS. Ni rahisi, salama, na haraka popote ulipo, muda wowote. Usihangaike na foleni au makaratasi sasa mkopo unapatikana mikononi mwako.

Watumishi wa Umma  Fursa ya Mkopo Kidijitali.

Sasa unaweza kuomba mkopo hadi Tsh milioni 50 moja kwa moja mtandaoni kupitia mfumo wa ESS.

Ni rahisi, salama, na haraka popote ulipo, muda wowote.
Usihangaike na foleni au makaratasi  sasa mkopo unapatikana mikononi mwako.
DCB Commercial Bank plc (@dcbbanktz) 's Twitter Profile Photo

Kupitia Lamba Mkwanja kutoka DCB Bank, una nafasi ya kuwekeza kwa faida kubwa hadi 13.5% kwa mwaka. Tembelea tawi la DCB lililo karibu nawe au wasiliana nasi leo kwa namba 0659077000 uanze safari yako ya mafanikio. #ribanono13.5%

Kupitia Lamba Mkwanja kutoka DCB  Bank, una nafasi ya kuwekeza kwa faida kubwa hadi 13.5% kwa mwaka. 

Tembelea tawi la DCB lililo karibu nawe au wasiliana nasi leo kwa namba 0659077000 uanze safari yako ya mafanikio.
#ribanono13.5%
DCB Commercial Bank plc (@dcbbanktz) 's Twitter Profile Photo

Ni muda wako, mtumishi wa umma Ikiwa wewe ni Mtumishi wa Umma sasa unaweza kupata mkopo kwa masharti nafuu ili kufanikisha mipango yako ya kifedha iwe ni kujenga, kuendeleza elimu, au kugharamia mahitaji ya familia. Tembelea ess.utumishi.go.tz, chagua DCB Bank.

Ni muda wako, mtumishi wa umma

Ikiwa wewe ni Mtumishi wa Umma sasa unaweza kupata mkopo kwa masharti nafuu ili kufanikisha mipango yako ya kifedha iwe ni kujenga, kuendeleza elimu, au kugharamia mahitaji ya familia.

Tembelea ess.utumishi.go.tz, chagua DCB Bank.
DCB Commercial Bank plc (@dcbbanktz) 's Twitter Profile Photo

Kwa wateja wetu wanaotumia simu za kawaida au wasiokuwa na intaneti, DCB Pesa imekuwa suluhisho rahisi na salama Kupitia menyu ya USSD *150*85# unaweza kufanya miamala ya msingi kama kuangalia salio, kutuma na kupokea fedha, kulipa bili, au kuhamisha pesa kwenda mtandao mingine.

Kwa wateja wetu wanaotumia simu za kawaida au wasiokuwa na intaneti, DCB Pesa imekuwa suluhisho rahisi na salama

Kupitia menyu ya USSD *150*85# unaweza kufanya miamala ya msingi kama kuangalia salio, kutuma na kupokea fedha, kulipa bili, au kuhamisha pesa kwenda mtandao mingine.
DCB Commercial Bank plc (@dcbbanktz) 's Twitter Profile Photo

Hii siyo tu Kadi Ni Ufunguo wa Maisha Rahisi ya Kifedha DCB Benki inakupa kadi za kisasa zinazokuwezesha kufanya malipo haraka, salama, na bila usumbufu popote ulipo, muda wowote. Iwe ni kufanya manunuzi, kutoa pesa kwenye ATM, au kufanya miamala ya mtandaoni.

Hii siyo tu Kadi  Ni Ufunguo wa Maisha Rahisi ya Kifedha

DCB Benki inakupa kadi za kisasa zinazokuwezesha kufanya malipo haraka, salama, na bila usumbufu popote ulipo, muda wowote. Iwe ni kufanya manunuzi, kutoa pesa kwenye ATM, au kufanya miamala ya mtandaoni.
DCB Commercial Bank plc (@dcbbanktz) 's Twitter Profile Photo

Jana, tarehe 16 Mei 2025, Benki yetu ya DCB ilipata fursa ya kushiriki katika maadhimisho ya Siku ya Wauguzi Duniani yaliyofanyika katika Hospitali ya Aga Khan, Dar es Salaam. Tulihudhuria kama Mdhamini Mkuu wa hafla hiyo, ikiwa ni sehemu ya ushirikiano wetu na hospitali hiyo.

Jana, tarehe 16 Mei 2025, Benki yetu ya DCB ilipata fursa ya kushiriki katika maadhimisho ya Siku ya Wauguzi Duniani yaliyofanyika katika Hospitali ya Aga Khan, Dar es Salaam. Tulihudhuria kama Mdhamini Mkuu wa hafla hiyo, ikiwa ni sehemu ya ushirikiano wetu na hospitali hiyo.
DCB Commercial Bank plc (@dcbbanktz) 's Twitter Profile Photo

Faida kubwa kwa akiba yako. Akaunti ya Lamba Mkwanja ni suluhisho bora kwa mipango yako ya kifedha kwani inakupa riba ya hadi 13.5% Tembelea tawi la DCB karibu nawe kufungua akaunti sasa. #LambaMkwanja #DcbBankTzplc #AkibaYenyeFaida

Faida kubwa kwa akiba yako.

Akaunti ya Lamba Mkwanja ni suluhisho bora kwa mipango yako ya kifedha kwani inakupa riba ya hadi 13.5%
Tembelea tawi la DCB karibu nawe kufungua akaunti sasa.

#LambaMkwanja
 #DcbBankTzplc
 #AkibaYenyeFaida
DCB Commercial Bank plc (@dcbbanktz) 's Twitter Profile Photo

Weekend wapi? Enjoy mahali popote ukiwa na uhakika wa malipo kupitia DCB Visa Card,Ni rahisi na salama zaidi. #DCBVisaCard #dcbbanktzplc #MiamalaPopote

Weekend wapi?
Enjoy mahali popote ukiwa na uhakika wa malipo kupitia DCB Visa Card,Ni rahisi na salama zaidi.

#DCBVisaCard
#dcbbanktzplc
#MiamalaPopote
DCB Commercial Bank plc (@dcbbanktz) 's Twitter Profile Photo

Baki nyumbani na DCB Pesa Plus. Lipia king’amuzi chako kwa urahisi kupitia DCB Pesa Plus na ufurahie mechi ya fainali leo kati ya RS Berkane na Simba SC. Pakua app yetu au piga *150*85# sasa. #DCBPesaPlus #DCBBanktzplc #CAFCCFinal2025 #BakiNyumbani

Baki nyumbani na DCB Pesa Plus.

Lipia king’amuzi chako kwa urahisi kupitia DCB Pesa Plus na ufurahie mechi ya fainali leo kati ya RS Berkane na Simba SC.

Pakua app yetu au piga *150*85# sasa.

#DCBPesaPlus
#DCBBanktzplc
#CAFCCFinal2025
 #BakiNyumbani
DCB Commercial Bank plc (@dcbbanktz) 's Twitter Profile Photo

Mtumishi wa Umma, mahitaji yako ya kifedha ni jukumu letu. Benki ya Biashara DCB ipo tayari kukuhudumia kwa mikopo nafuu kupitia huduma ya ESS. Karibu tawi lililo karibu nawe au wasiliana nasi kwa namba 0659077000 kwa msaada zaidi. #dcbbanktzplc #watumishiwaumma #ESS

Mtumishi wa Umma, mahitaji yako ya kifedha ni jukumu letu. Benki ya Biashara DCB ipo tayari kukuhudumia kwa mikopo nafuu kupitia huduma ya ESS. Karibu tawi lililo karibu nawe au wasiliana nasi kwa namba 0659077000 kwa msaada zaidi.

#dcbbanktzplc
#watumishiwaumma
#ESS
DCB Commercial Bank plc (@dcbbanktz) 's Twitter Profile Photo

📢 TAARIFA MUHIMU Ndugu Mteja tunapenda kukujulisha kwamba matawi yetu yote yatakuwa yamefungwa Jumamosi, tarehe 07 Juni 2025 kwa ajili ya Kusheherekea Sikukuu ya Eid al-Adha. 📞 Kituo chetu cha huduma kwa wateja kitakuwa wazi kuanzia saa 2:00 asubuhi hadi saa 7:00 mchana.

📢 TAARIFA MUHIMU
Ndugu Mteja tunapenda kukujulisha kwamba matawi yetu yote yatakuwa yamefungwa Jumamosi, tarehe 07 Juni 2025 kwa ajili ya Kusheherekea Sikukuu ya Eid al-Adha.

📞 Kituo chetu cha huduma kwa wateja kitakuwa wazi kuanzia saa 2:00 asubuhi hadi saa 7:00 mchana.
DCB Commercial Bank plc (@dcbbanktz) 's Twitter Profile Photo

🎉🕌 Bodi ya Wakurugenzi, Menejimenti na Wafanyakazi wa Benki ya Biashara DCB Tunawatakia Waislamu wote na Watanzania kwa ujumla Eid Mubarak yenye baraka, amani na furaha. Tuwe na mioyo ya shukrani, kujitoa na kushirikiana katika kuenzi maana halisi ya sikukuu hii tukufu. 🕌🎉

🎉🕌
Bodi ya Wakurugenzi, Menejimenti na Wafanyakazi wa Benki ya Biashara DCB Tunawatakia Waislamu wote na Watanzania kwa ujumla Eid Mubarak yenye baraka, amani na furaha.
Tuwe na mioyo ya shukrani, kujitoa na kushirikiana katika kuenzi maana halisi ya sikukuu hii tukufu.

🕌🎉