DAWASA (@dawasatz) 's Twitter Profile
DAWASA

@dawasatz

We are Committed to Providing Quality, Reliable and Affordable Water, and Sanitation Services!

ID: 889826399414091776

linkhttp://www.dawasa.go.tz calendar_today25-07-2017 12:35:20

3,3K Tweet

5,5K Followers

194 Following

DAWASA (@dawasatz) 's Twitter Profile Photo

Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar (DAWASA), Ipo hatua za ukamilishaji wa matengenezo ya umeme katika kituo cha kusukuma maji Wazo, kata ya Wazo Wilaya Kinondoni. Matengenezo haya yalitokana na hitilafu ya umeme katika kituo cha kusukuma maji yatakamilika leo, Mei 20

Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar (DAWASA), Ipo hatua za ukamilishaji wa matengenezo ya umeme katika kituo cha kusukuma maji Wazo, kata ya Wazo Wilaya Kinondoni. 

Matengenezo haya yalitokana na hitilafu ya umeme katika kituo cha kusukuma maji yatakamilika leo, Mei 20
DAWASA (@dawasatz) 's Twitter Profile Photo

Mamlaka ya Maji na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) inaendelea na zoezi la uboreshaji wa miundombinu ya mabomba ya maji ili kuimarisha huduma na kudhibiti upotevu wa maji katika maeneo mbalimbali ya Mtaa wa Bangulo, Kata ya Pugu Stesheni, Wilaya ya Ilala.

DAWASA (@dawasatz) 's Twitter Profile Photo

Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam(DAWASA) imefanya mazungumzo na Wawakilishi wa Shirika la Maendeleo la Kimataifa la Japan (JICA) na kubainisha maeneo za mashirikiano ili kuongeza fursa za uboreshaji huduma za Maji katika Mikoa ya Dar es Salaam na Pwani.

Karibu usome gazeti mtandao Wiki hii Mwenye wa Uhuru 2025 umetembelea miradi minne ya majisafi yenye thamani ya Shilingi Bilioni 38.1 inayotekelezwa na Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) katika jiji la Dar es Salaam. #tuelimike_pamoja

Karibu usome gazeti mtandao

Wiki hii Mwenye wa Uhuru 2025 umetembelea miradi minne ya majisafi yenye thamani ya Shilingi Bilioni 38.1 inayotekelezwa na Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) katika jiji la Dar es Salaam.

#tuelimike_pamoja
DAWASA (@dawasatz) 's Twitter Profile Photo

Kaya 47 kutoka maneno mbalimbali katika kata nne za Kunduchi, Wazo, Bunju na Mbweni wamenufaika na zoezi la maunganisho mapya ya huduma ya Majisafi yanayoendelea katika mkoa wa kihuduma DAWASA - Tegeta.