π”‡π”žπ”³π”Ά β„­π”₯π”žπ”²π”©π”ž (@davidchaula) 's Twitter Profile
π”‡π”žπ”³π”Ά β„­π”₯π”žπ”²π”©π”ž

@davidchaula

Proudly Tanzanian, heavy weight Born again. Arsenal βšͺπŸ”΄ & YangaπŸ”°πŸ”° fan.
Optimism, Focus, Love and Respect.

ID: 1009058608192028673

calendar_today19-06-2018 13:01:34

53,53K Tweet

15,15K Followers

7,7K Following

Dividends Growth Hustler (@dividendincome_) 's Twitter Profile Photo

Never confuse wages with wealth. You can earn six figures and still be broke. True wealth isn’t about incomeβ€”it’s about ownership, assets, and freedom.

π”‡π”žπ”³π”Ά β„­π”₯π”žπ”²π”©π”ž (@davidchaula) 's Twitter Profile Photo

Hizi kauli tulikuwaga tunazisikia tukiwa wadogo, hazina tofauti na zile za kipimo cha mwanaume ni wingi wa makovu kwenye mwili wako, sasa hivi S.I Unit ya uanaume ni kuvalishwa pingu. Standards za humu so ridiculous. Hizi si hadi wanawake wanavalishwa tu?🀣🀣🀣

π”‡π”žπ”³π”Ά β„­π”₯π”žπ”²π”©π”ž (@davidchaula) 's Twitter Profile Photo

80K kwa wiki ni wastani wa 10K kwa siku, hapo kama kila kitu kipo ndani kama unga, mchele, mafuta ya kula, dagaa, maharage, gesi e.t.c means hiyo ni ya kubadilishia mboga tu. Unless kuwe kuna tatizo jingine, kama halipo basi kwenye mzingira hayo wewe ndio tatizo kuu.

π”‡π”žπ”³π”Ά β„­π”₯π”žπ”²π”©π”ž (@davidchaula) 's Twitter Profile Photo

The Airlines Derby - Fly Emirates na Qatar Airways, waarabu kwa mara nyingine wanaenda kupata airtime ya millions of viewers kwa wakati mmoja dunia nzima, baada ya Fly Emirates derby kati ya Madrid na Arsenal na Arsenal ku fly better sasa ni Arsenal na PSG, nani atakamata anga?

π”‡π”žπ”³π”Ά β„­π”₯π”žπ”²π”©π”ž (@davidchaula) 's Twitter Profile Photo

You can say that louder please. Back benchers hawajasikia. Siku hizi wanaume wanaangalia sana how financially cautious and disciplined a lady is, hapa ndipo tunapima is this an asset or another liability? Men have a tendency of cutting off liabilities with time.

π”‡π”žπ”³π”Ά β„­π”₯π”žπ”²π”©π”ž (@davidchaula) 's Twitter Profile Photo

Pesa ya mwanamke huja na masimango in the future hata akikupa in the name of mapenzi, siku ukimkorofisha anatoa file lote, utakumbishwa hadi buku la vocha ulilopewa, women are not providers by nature and when they do it there's a price to be paid.

π”‡π”žπ”³π”Ά β„­π”₯π”žπ”²π”©π”ž (@davidchaula) 's Twitter Profile Photo

Wanangu wa Yanga Africa tujiandaeni tu kisaikolojia, tutasimangwa kwa wiki nzima, mtaani, kwenye mitandao na kwenye maradio. Hii wiki hakuna rangi tutaacha kuona. Free Ticket pundits watafanya ndio topic ya wiki nzima. Washandaa mapambio ya sifa tayari. Tutakoma🀣🀣

Wanangu wa Yanga Africa tujiandaeni tu kisaikolojia, tutasimangwa kwa wiki nzima, mtaani, kwenye mitandao na kwenye maradio.
Hii wiki hakuna rangi tutaacha kuona. Free Ticket pundits watafanya ndio topic ya wiki nzima. Washandaa mapambio ya sifa tayari.
Tutakoma🀣🀣
π”‡π”žπ”³π”Ά β„­π”₯π”žπ”²π”©π”ž (@davidchaula) 's Twitter Profile Photo

Not only ligi kuu but ligi nyingi Africa, Yanga kufika finals na kukosa kombe imekuwa chachu ya Simba kupambana kufika finals, kuitwa mwakarobo was the worst name they could bare with wakaamua kubadili jina. Now Yanga has a homework to do to regain the bragging rights again.

π”‡π”žπ”³π”Ά β„­π”₯π”žπ”²π”©π”ž (@davidchaula) 's Twitter Profile Photo

Leo ukienda kwenye search ukaandika "Yanga" kila post inayokuja iko associated na matokeo ya jana, yaani it has nothing to do with Yanga at all. Wanangu wa Yanga Africa i warned you. Na ndio kwanzaaaa Jumatatu Kazi tunayo🀣🀣 Tasa kajifungua mapacha🀣🀣

Leo ukienda kwenye search ukaandika "Yanga" kila post inayokuja iko associated na matokeo ya jana, yaani it has nothing to do with Yanga at all.
Wanangu wa Yanga Africa i warned you. Na ndio kwanzaaaa Jumatatu
Kazi tunayo🀣🀣
Tasa kajifungua mapacha🀣🀣
π”‡π”žπ”³π”Ά β„­π”₯π”žπ”²π”©π”ž (@davidchaula) 's Twitter Profile Photo

Kwenye NDOA, Kukiwa na furaha kifuatacho ni UTULIVU then zinazaliwa BARAKA, baraka zinazaa KIBALI then kibali kinazaa MAFANIKIO then mafanikio yanazaa FURAHA zaidi and the cycle goes on.

π”‡π”žπ”³π”Ά β„­π”₯π”žπ”²π”©π”ž (@davidchaula) 's Twitter Profile Photo

Club 2 za Tanzania ndani ya miaka mitatu zimefanikiwa kufika Finals za CAFCC, nadiriki kuanza kuamini hili dimbwi limeanza kuwa dogo kwao, Standards ziliwekwa na Young Africans SC kama pioneers, Simba Sports Club nao wamefikia standard, sasa standards zihamie CAFCL. Good start.

Club 2 za Tanzania ndani ya miaka mitatu zimefanikiwa kufika Finals za CAFCC, nadiriki kuanza kuamini hili dimbwi limeanza kuwa dogo kwao, Standards ziliwekwa na <a href="/YoungAfricansSC/">Young Africans SC</a> kama pioneers, <a href="/SimbaSCTanzania/">Simba Sports Club</a>  nao wamefikia standard, sasa standards zihamie CAFCL.
Good start.
π”‡π”žπ”³π”Ά β„­π”₯π”žπ”²π”©π”ž (@davidchaula) 's Twitter Profile Photo

Msimu 2023/24, Man City alitangaza Ubingwa baada ya kuifunga Spurs na kuwa juu ya Arsenal kwa point 2 zaidi. Msimu 2024/25 Liverpool ametangazia ubingwa kwa Spurs. Itoshe kusema Tottenham Spurs ni kifungashio cha ubingwa EPL.🀣🀣

Msimu 2023/24, Man City alitangaza Ubingwa baada ya kuifunga Spurs na kuwa juu ya Arsenal kwa point 2 zaidi.
Msimu 2024/25 Liverpool ametangazia ubingwa kwa Spurs.
Itoshe kusema Tottenham Spurs ni kifungashio cha ubingwa EPL.🀣🀣