DARMPYA TV (@darmpyatv) 's Twitter Profile
DARMPYA TV

@darmpyatv

ID: 829388725

calendar_today17-09-2012 16:34:36

97,97K Tweet

265,265K Takipçi

1,1K Takip Edilen

Mzawa Blog Tz (@mzawablog) 's Twitter Profile Photo

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Chama cha Demokrasia na Maendeleo Tundu Antiphas Lissu amefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam kwa ajili ya kuanza kusikiliza kesi zinazomkabili Mei 19,2025. Lissu anakabiliwa na mashtaka ya uhaini na kuchapisha taarifa za uongo

Mzawa Blog Tz (@mzawablog) 's Twitter Profile Photo

Serikali imetenga fedha za kununua mitambo mikubwa miwili itakayosaidia kuondoa magugu maji ambayo yamekithiri katika Ziwa Victoria kwa lengo la kuokoa shughuli katika ziwa hilo. Ameyasema hayo , Mei 19, 2025 Waziri Mkuu wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa wakati

Mzawa Blog Tz (@mzawablog) 's Twitter Profile Photo

Shauri la kesi ya uhaini dhidi ya Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu limeahirishwa hadi juni 2,2025 shauri hilo limetajwa Mei 19,2025 katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ambapo Jamhuri imeeleza kuwa upelelezi bado haujakamilika na kuomba kuongezewa siku 14. Ombi

Shauri la kesi ya uhaini dhidi ya Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu limeahirishwa hadi juni 2,2025 shauri hilo limetajwa Mei 19,2025 katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ambapo Jamhuri imeeleza kuwa upelelezi bado haujakamilika na kuomba kuongezewa siku 14.

Ombi
Mzawa Blog Tz (@mzawablog) 's Twitter Profile Photo

Mkuu wa wilaya ya Lushoto Zephania Sumaye amekabidhi refrector 1000 kwa vijana wa bodaboda ambapo 200 kati yao wamejiandikisha kwa kupiga kura ikiwa ni hamasa kwa uandikishaji wa wapiga kura awamu ya pili wilayani Lushoto mkoani Tanga. Hafla hiyo imefanyika 18 May 2025 katika

Mkuu wa wilaya ya Lushoto Zephania Sumaye amekabidhi refrector 1000 kwa vijana wa bodaboda ambapo 200 kati yao wamejiandikisha kwa kupiga kura ikiwa ni hamasa kwa uandikishaji wa wapiga kura awamu ya pili wilayani Lushoto mkoani Tanga.

Hafla hiyo imefanyika 18 May 2025 katika
Mzawa Blog Tz (@mzawablog) 's Twitter Profile Photo

Dkt. Blandina Kilama ameteuliwa na Rais Samia kuwa Naibu Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango, akishughulikia biashara na ubunifu. Dkt. Kilama anachukua nafasi ya Dkt. Lorah Madete ambaye uteuzi wake umetenguliwa. Kabla ya uteuzi huu, Dkt. Kilama alikuwa Mchumi Mkuu katika Wizara

Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Prof. Tumaini Nagu kuwa Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) anayeshughulikia masuala ya afya. Kabla ya uteuzi huu, Prof. Nagu alikuwa Naibu Waziri wa Afya. Taarifa hiyo imetolewa na Katibu Mkuu

Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Prof. Tumaini Nagu kuwa Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) anayeshughulikia masuala ya afya. Kabla ya uteuzi huu, Prof. Nagu alikuwa Naibu Waziri wa Afya.

Taarifa hiyo imetolewa na Katibu Mkuu
Mzawa Blog Tz (@mzawablog) 's Twitter Profile Photo

Rais wa zamani wa Marekani, Joe Biden, 82, amegundulika kuwa na saratani ya tezi dume ambayo imesambaa hadi kwenye mifupa yake, kwa mujibu wa taarifa kutoka ofisi yake iliyotolewa Mei 18,2025. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na shirika la habari BBC Mei 19,2025 imeeleza kuwa

Rais wa zamani wa Marekani, Joe Biden, 82, amegundulika kuwa na saratani ya tezi dume ambayo imesambaa hadi kwenye mifupa yake, kwa mujibu wa taarifa kutoka ofisi yake iliyotolewa Mei 18,2025.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na shirika la habari BBC Mei 19,2025 imeeleza kuwa
Mzawa Blog Tz (@mzawablog) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Jamhuri ya Namibia, Dkt. Netumbo Nandi-Ndaitwah, anatarajiwa kuwasili nchini kwa ziara ya siku mbili ya Kiserikali kuanzia tarehe 20 hadi 21 Mei 2025. Ziara hiyo inafanyika kwa mwaliko wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan. Taarifa hiyo

Rais wa Jamhuri ya Namibia, Dkt. Netumbo Nandi-Ndaitwah, anatarajiwa kuwasili nchini kwa ziara ya siku mbili ya Kiserikali kuanzia tarehe 20 hadi 21 Mei 2025. Ziara hiyo inafanyika kwa mwaliko wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Taarifa hiyo
Mzawa Blog Tz (@mzawablog) 's Twitter Profile Photo

Wananchi wa Mkoa wa Singida watanufaika na huduma za bure za ushauri wa kisheria kupitia Kliniki ya Sheria iliyoanzishwa rasmi tarehe 19 Mei 2025, katika viwanja vya Stendi ya zamani, Manispaa ya Singida. Akizungumza wakati wa uzinduzi huo Mwanasheria Mkuu wa Serikali Hamza S.

Wananchi wa Mkoa wa Singida watanufaika na huduma za bure za ushauri wa kisheria kupitia Kliniki ya Sheria iliyoanzishwa rasmi tarehe 19 Mei 2025, katika viwanja vya Stendi ya zamani, Manispaa ya Singida.

Akizungumza wakati wa uzinduzi huo Mwanasheria Mkuu wa Serikali Hamza S.
Mzawa Blog Tz (@mzawablog) 's Twitter Profile Photo

Waziri wa Viwanda na Biashara, Dkt. Selemani Jafo, ameeleza kuwa kupitia Maonesho ya Dunia ya Expo 2025, kitaifa tarehe 25 Tanzania itapata fursa adhimu ya kuonesha nchi ilivyo na rasilimali katika sekta mbalimbali zikiwemo utalii, kilimo, viwanda, biashara pamoja na fursa kubwa

Mzawa Blog Tz (@mzawablog) 's Twitter Profile Photo

Wananchi wa wilaya ya Handeni mkoani Tanga waipongeza REA kwa usambazaji wa mitungi ya gesi ya kilo sita kwa bei ya ruzuku. Mitungi hiyo inasambazwa kila wilaya kwa bei ya ruzuku ya shillingi 17,500 na kila wilaya idadi ya mitungi 3,255 kusambazwa. Usambazaji wa mitungi hiyo,

Wananchi wa wilaya ya Handeni mkoani Tanga waipongeza REA kwa usambazaji wa mitungi ya gesi ya kilo sita kwa bei ya ruzuku. 

Mitungi hiyo inasambazwa kila wilaya kwa bei ya ruzuku ya shillingi 17,500 na kila wilaya  idadi ya mitungi 3,255 kusambazwa.

Usambazaji wa mitungi hiyo,
Mzawa Blog Tz (@mzawablog) 's Twitter Profile Photo

Moja ya Mchimbaji mdogo wa madini Mkoani Geita Musese Magesa ameipongeza Serikali ya awamu ya sita chini ya Mwana Mama Shupavu Dkt Samia Suhulu Hassani kwa kazi Kubwa ya kuwaboreshea miundo Mbinu ya Umeme chini ya Mhe,Naibu Waziri Mkuu Dotto Mashaka Biteko ambae ndiye Mwenye

Bidhaa kutoka Tanzania zimeendelea kuvutia soko la Japan, ambapo wananchi wa taifa hilo hupendelea bidhaa za kilimo kama chai, kahawa, ufuta, tumbaku, karafuu, pamoja na kazi za mikono kama vinyago na tingatinga. Bidhaa nyingine kama katani na madini mbalimbali zimeendelea kuwa

Bidhaa kutoka Tanzania zimeendelea kuvutia soko la Japan, ambapo wananchi wa taifa hilo hupendelea bidhaa za kilimo kama chai, kahawa, ufuta, tumbaku, karafuu, pamoja na kazi za mikono kama vinyago na tingatinga. 

Bidhaa nyingine kama katani na madini mbalimbali zimeendelea kuwa
Mzawa Blog Tz (@mzawablog) 's Twitter Profile Photo

Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga, amebainisha kuwa kati ya mitaa 18 isiyokuwa na umeme katika Halmashauri ya Mji wa Tarime, mitaa 13 imepangiwa kuunganishwa kupitia Mradi wa HEP2A unaotekelezwa na mkandarasi Dyname Construction Engineering, huku mitaa 5 iliyobaki

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa, amesema kuwa hadi sasa jumla ya magereza 66 kati ya 129 nchini yameanza kutumia huduma ya Mahakama Mtandao, huku magereza yaliyosalia 63 yakitarajiwa kukamilika ifikapo mwaka wa fedha 2028/2029. Bashungwa ameyasema hayo Mei

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa, amesema kuwa hadi sasa jumla ya magereza 66 kati ya 129 nchini yameanza kutumia huduma ya Mahakama Mtandao, huku magereza yaliyosalia 63 yakitarajiwa kukamilika ifikapo mwaka wa fedha 2028/2029.

Bashungwa ameyasema hayo Mei
Mzawa Blog Tz (@mzawablog) 's Twitter Profile Photo

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa, amesema Serikali haitawavumilia wageni wanaoingia nchini kwa nia ya kuhatarisha amani na usalama wa Taifa. Akiwasilisha bungeni bajeti ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kwa mwaka wa fedha 2025/2026, Waziri Bashungwa amesema

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa, amesema Serikali haitawavumilia wageni wanaoingia nchini kwa nia ya kuhatarisha amani na usalama wa Taifa.

Akiwasilisha bungeni bajeti ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kwa mwaka wa fedha 2025/2026, Waziri Bashungwa amesema