Kwenye hii dunia ni kweli haina huruma na mwanaume tena aliye maskini,na makaburi ni yetu mateso ni yetu fedhea ni zetu sisi na mizigo pia hata isiyo tuhusu ni ya kwetu …kama mwanaume sali sana hasa ukiwa hauna connection na pa kupambania pia.💔💔
Nirud tu sumbawanga hii heka heka ya usafiri dar nimeshindwa yan mim wakutoka mnazimmoja kwamiguu mpaka gold star ili nikapate gari nirud nalo mpaka mnazi mmoja🤠🤠🤠🤠
Sabuni zetu bado zipo za kutosha bosses, naomben mnipe hizo order
Price: 12000 (12k) 5 Ltrs
Location📍:Ubungo Mawasiliano
Contact☎️: 0786700273
Delivery 🚚: Tunafanya kwa gharama za mteja
Kibdly Repost🙏🏾