Clouds Media (@cloudsmedialive) 's Twitter Profile
Clouds Media

@cloudsmedialive

A multi-national company that is one of East & Central Africa’s most respected media houses and has been recognized as one of the country's premier.

ID: 3305347245

linkhttps://www.cloudsmedia.co/ calendar_today01-06-2015 07:17:34

80,80K Tweet

1,9M Followers

43 Following

Clouds Media (@cloudsmedialive) 's Twitter Profile Photo

Mshindi wa Malkia wa nguvu sekta ya Kilimo ni Happy Lupolelo Mhagama ambaye yeye akiwa na umri wa miaka 17 alifukuzwa na hapo ndipo alipoanza kupambania ndoto zake. Kwa sasa analima zaidi ya hekta 300 na kuingiza sokoni tani 200 za mchele huku akiwa na wafanyakazi zaidi ya 400

Mshindi wa Malkia wa nguvu sekta ya Kilimo ni Happy Lupolelo Mhagama ambaye yeye akiwa na umri wa miaka 17 alifukuzwa na hapo ndipo alipoanza kupambania ndoto zake.

Kwa sasa analima zaidi ya hekta 300 na kuingiza sokoni tani 200 za mchele huku akiwa na wafanyakazi zaidi ya 400
Clouds Media (@cloudsmedialive) 's Twitter Profile Photo

Msajili wa Jumuiya za Kiraia Emmanuel R. M. Kihampa ametoa taarifa ya kufungwa kwa shughuli za kanisa la Glory of Christ Tanzania Church maarufu kama Kanisa la Ufufuo na Uzima linaloongozwa na Askofu Josephat Gwajima. Katika taarifa yake Bw. Kihampa ameandika; “katika siku za

Msajili wa Jumuiya za Kiraia Emmanuel R. M. Kihampa ametoa taarifa ya kufungwa kwa shughuli za kanisa la Glory of Christ Tanzania Church maarufu kama Kanisa la Ufufuo na Uzima linaloongozwa na Askofu Josephat Gwajima.

Katika taarifa yake Bw. Kihampa ameandika; “katika siku za
Clouds Media (@cloudsmedialive) 's Twitter Profile Photo

“Kwa mujibu wa kanuni Yanga ndio anaandaa mchezo, na tunaamini anaendelea na Maandalizi” sehemu ya maneno ya Afisa Habari wa Bodi ya Ligi kuu Tanzania Bara @karim_boimanda wakati akielezea maandalizi ya mchezo wa Kariakoo Derby ambapo amesema mambo yanakwenda vizuri na kwa mujibu

Clouds Media (@cloudsmedialive) 's Twitter Profile Photo

Mama Peter anaturudisha nyumba kidogo kuelezea namna ambavyo alipotezana na mtoto wake mwaka 1995 mwezi wa kwanza wakati Peter akiwa na miezi sita na mpaka kujikuta akija kwenye #LeoTena kumtafuta mtoto wake mwaka 2023 na mwaka huu Ijumaa Mtoto wake kuja na kuonana na Mama yake

Clouds Media (@cloudsmedialive) 's Twitter Profile Photo

Akiwa amerudi na Ngoma yake Mpya Msanii Toxic amefunguka kupitia changamoto ya msongo wa Mawazo kisa Mapenzi, ndio sababu iliyomfanya ajipe break kwenye Muziki Kwa muda kidogo. #Whatspoppin

Clouds Media (@cloudsmedialive) 's Twitter Profile Photo

Msanii Lulu Diva amevunja ukimya kufuatia tetesi zakuhusishwa kutoka kimapenzi na Kevin, msikie zaidi hapa kwenye #Whatspoppin

Clouds Media (@cloudsmedialive) 's Twitter Profile Photo

Msanii kutoka South African Scotts Maphuma amedaiwa kukamatwa na polisi nchini Mozambique kisa kula pesa bila kufanya show, Taarifa ambayo Scott amedai kuwa ni kufanyiwa vitendo vyakudhalilishwa na ataongea ukweli wote ilivyokuwa. #Whatspoppin

Clouds Media (@cloudsmedialive) 's Twitter Profile Photo

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa leo Juni 3, 2025. amehani msiba wa Mzee  Silvin Ibengwe Mongella ambaye ni mume wa Mama Getrude Mongella, nyumbani kwa marehemu Makongo Juu jijini Dar es salaam. #CloudsDigitalUpdates

Priscilla ametusanua kuwa harusi yao na Jux imetumia Bilioni 1, kupitia kwenye video yake ya TikTok imedhibitisha hilo. #Whatspoppin

Clouds Media (@cloudsmedialive) 's Twitter Profile Photo

Mtaalamu wa Saikolojia Eve ametoa Elimu kufuatia andiko la aliyewahi kuwa Ex wa Jux, Karen ambaye alifunguka kilichotokea baada yakuachana. #Whatspoppin

Clouds Media (@cloudsmedialive) 's Twitter Profile Photo

Barbie Boss msanii mpya kwenye record label @iam_music_co ambayo ipo chini ya IAM Music amefunguka namna ilivyotokea mpaka kuwa signed kwenye lebo hiyo. #XXLyaCloudsFm

Clouds Media (@cloudsmedialive) 's Twitter Profile Photo

Huko nyuma maisha yaliwahi kumpiga Barbie Boss na kufikia stage ya kunywa sumu, ila anahisi ilikuwa ni utoto tu, Je! Maisha yalishawahi kukupiga? ulifanya nini?

Clouds Media (@cloudsmedialive) 's Twitter Profile Photo

Akiulizwa kwenye DoubleXL kuhusu Uchaguzi Mkuu wa Mwaka huu Barbie Boss amesema hapendi wala hajui mambo ya siasa yeye yuko tayari kufata kila anachoambiwa #XXLyaCloudsFm

Clouds Media (@cloudsmedialive) 's Twitter Profile Photo

Kufuatia ujumbe aliouandika Msanii BillNass kuhusu vijana wenye ndoto yakuingia kwenye Sanaa, Moni Centrozone amekuwa na mtazamo tofauti juu ya andiko hilo, Msikie hapa #Whatspoppin

Clouds Media (@cloudsmedialive) 's Twitter Profile Photo

Unaambiwa huko Nigeria Burna Boy na Davido wanatambiana kwakununua magari ya pesa nyingi, Mtaalamu wa Magari @moruoking_ ametusanua zaidi. #Whatspoppin

Clouds Media (@cloudsmedialive) 's Twitter Profile Photo

Waandaaji wa BET wamekosolewa kwakitendo chakutompa Ayra starr nafasi yakutangazwa mshindi mbele ya steji kama wasanii wengine, je? Wamemchukulia poa? Sky ametusanua hapa #Whatspoppin

Clouds Media (@cloudsmedialive) 's Twitter Profile Photo

Namna ambavyo Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu, alivyowasili Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam, chini ya ulinzi mkali ambapo leo Juni 16, 2025 shauri la jinai namba 8606/2025 na namba 8607/2025 kati ya Jamhuri dhidi ya Mwenyekiti huyo yanatarajiwa kusikilizwa.