chuma chakavu (@chuma__1) 's Twitter Profile
chuma chakavu

@chuma__1

#Sina content #OldMan #IhateMadrid #yanga #C.E.O of My Life tunaishi mara moja be kind to people

ID: 1300331703253245954

calendar_today31-08-2020 07:17:09

8,8K Tweet

5,5K Takipรงi

2,2K Takip Edilen

Muhaluro Jr (@muhaluro1) 's Twitter Profile Photo

Bado siku 14! Tukiwa na umoja na matumaini, tunakwenda kumchagua Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa safari ya miaka mingine mitano ya maendeleo, amani, na ustawi wa taifa letu. Hii ni fursa yetu kuendelea kujenga taifa lenye nguvu, miongozo thabiti, na kiongozi mwenye maono.

Bado siku 14! 

Tukiwa na umoja na matumaini, tunakwenda kumchagua Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa safari ya miaka mingine mitano ya maendeleo, amani, na ustawi wa taifa letu. Hii ni fursa yetu kuendelea kujenga taifa lenye nguvu, miongozo thabiti, na kiongozi mwenye maono.
Wiseman ๐Ÿ˜Ž (@bizydan) 's Twitter Profile Photo

BADO SIKU 14 Chagua CCM โœ…๏ธ Chagua Dkt.Samia Suluhu Hassan โœ…๏ธ Oktoba tunatiki โœ…๏ธ #kazinautu #tunasongambele

BADO SIKU 14

Chagua CCM โœ…๏ธ 
Chagua Dkt.Samia Suluhu Hassan โœ…๏ธ
Oktoba tunatiki โœ…๏ธ 
#kazinautu 
#tunasongambele
Headboy wa mtaa (@sirajitz1) 's Twitter Profile Photo

Chagua CCM Chagua Dkt. Samia Suluhu Hassan Leo Dkt. Samia SUluhu Hassan ataendelea kuinadi ilani ya CCM Mkoani kagera, karibu sana mama Kagera.

HER (@heroinelincoln) 's Twitter Profile Photo

Kagera Yasherehekea Uongozi wa Mama Samia: Upendo, Amani na Maendeleo" Leo, Kagera imemlaki Dkt. Samia Suluhu Hassan, kiongozi wa kweli anayegusa maisha ya Watanzania kwa upendo na utu.

BABA AIKAโœ๏ธ (@baba_aika1) 's Twitter Profile Photo

๐—ž๐—”๐—š๐—˜๐—ฅ๐—” IMESHAANZA KUWAKA Kumekucha Kagera, Mama wa Taifa, kipenzi cha Watanzania amewasili tayari. Historia inaandikwa sasa, wananchi wakijiandaa kumlaki na kumpa ridhaa yao. Oktoba 29 ni siku ya kutiki kwa Samia na CCM. #Oktoba29TunatikiSamia

Wiseman ๐Ÿ˜Ž (@bizydan) 's Twitter Profile Photo

Chagua CCM โœ…๏ธ Chagua Dkt Samia Suluhu Hassan โœ…๏ธ Oktoba tunatiki โœ…๏ธ #Oktoba29TunatikiSamia

Ulimwengu๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ท (@hamisuniversal) 's Twitter Profile Photo

Zikiwa zimebaki siku 14 kuelekea uchaguzi mkuu utakao fanyika tarehe 29 Oktoba 2025, TEC yabariki uchaguzi huo na kukemea uvunjifu wa Amani. #Oktoba29TunatikiSamia

Ulimwengu๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ท (@hamisuniversal) 's Twitter Profile Photo

Mama Samia Amegusa maisha ya kila Mwanakagera. Tumemuona, tumemuamini, na sasa tunamchagua kwa imani ileile Oktoba 29. #Oktoba29TunatikiSamia

Ulimwengu๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ท (@hamisuniversal) 's Twitter Profile Photo

Mama Samia ndie chaguo la watanzania, huu ni zaidi ya upendo ulio onyeshwa na wanakagera. daima tunaenda na Mama Samia. #Oktoba29TunatikiSamia