Chloride Exide Tanzania (@chlorideexidetz) 's Twitter Profile
Chloride Exide Tanzania

@chlorideexidetz

Energy Solutions for All.
๐Ÿ’ก Automotive Batteries | Energy Storage | Solar Power | Water Heating
๐Ÿ“ž Dial-A-Battery Service: +255 715755555

ID: 1569694779935715332

calendar_today13-09-2022 14:30:40

172 Tweet

39 Takipรงi

3 Takip Edilen

Chloride Exide Tanzania (@chlorideexidetz) 's Twitter Profile Photo

๐Ÿ˜Ž ๐˜๐š๐š๐ง๐ข, ๐ฐ๐š๐ค๐ข๐ณ๐ข๐ฆ๐š ๐ฌ๐ข๐ฌ๐ข ๐ญ๐ฎ๐ง๐š๐ฐ๐š๐ฌ๐ก๐š โ€“ kuanzia Zoom zako, Netflix (na pengine kidogo cha chill ๐Ÿ˜) hadi vifaa vyote vya nyumbani, ๐Ÿ๐ฎ๐ซ๐š๐ข๐š ๐ก๐š๐๐ข ๐Ÿ—๐Ÿ—% ๐ฒ๐š ๐ฏ๐ข๐Ÿ๐š๐š ๐ฏ๐ฒ๐š ๐ง๐ฒ๐ฎ๐ฆ๐›๐š ๐ฏ๐ข๐ค๐ข๐Ÿ๐š๐ง๐ฒ๐š ๐ค๐š๐ณ๐ข ๐ฐ๐š๐ค๐š๐ญ๐ข ๐ฐ๐š ๐ ๐ž๐ณ๐ข

๐Ÿ˜Ž ๐˜๐š๐š๐ง๐ข, ๐ฐ๐š๐ค๐ข๐ณ๐ข๐ฆ๐š ๐ฌ๐ข๐ฌ๐ข ๐ญ๐ฎ๐ง๐š๐ฐ๐š๐ฌ๐ก๐š โ€“ kuanzia Zoom zako, Netflix (na pengine kidogo cha chill ๐Ÿ˜) hadi vifaa vyote vya nyumbani, ๐Ÿ๐ฎ๐ซ๐š๐ข๐š ๐ก๐š๐๐ข ๐Ÿ—๐Ÿ—% ๐ฒ๐š ๐ฏ๐ข๐Ÿ๐š๐š ๐ฏ๐ฒ๐š ๐ง๐ฒ๐ฎ๐ฆ๐›๐š ๐ฏ๐ข๐ค๐ข๐Ÿ๐š๐ง๐ฒ๐š ๐ค๐š๐ณ๐ข ๐ฐ๐š๐ค๐š๐ญ๐ข ๐ฐ๐š ๐ ๐ž๐ณ๐ข
Chloride Exide Tanzania (@chlorideexidetz) 's Twitter Profile Photo

Chloride Exide Tanzania tunathamini maoni yako ๐Ÿค Ikiwa una swali, pongezi au malalamiko, timu yetu ya huduma kwa wateja ipo tayari kukusikiliza na kukuhudumia kwa haraka na kwa ufanisi. ๐Ÿ“ž Piga simu: +255 715 755 555 ๐Ÿ’ฌ WhatsApp: +255 715 755 555 ๐Ÿ“ง Barua pepe:

Chloride Exide Tanzania tunathamini maoni yako ๐Ÿค

Ikiwa una swali, pongezi au malalamiko, timu yetu ya huduma kwa wateja ipo tayari kukusikiliza na kukuhudumia kwa haraka na kwa ufanisi.

๐Ÿ“ž Piga simu: +255 715 755 555
๐Ÿ’ฌ WhatsApp: +255 715 755 555
๐Ÿ“ง Barua pepe:
Chloride Exide Tanzania (@chlorideexidetz) 's Twitter Profile Photo

๐Ÿš— Msaada barabarani bila kusubiri! Pata huduma ya Kuwasilishiwa Betri ya Kwanza kwa Ubora Tanzania, kupitia Dial A Battery. Piga simu au tuma WhatsApp kwa +255 715755555 leo na ufurahie USAFIRISHAJI NA UFUNGAJI BURE NDANI YA SAA 1 ๐Ÿ‘๐Ÿพ #ChlorideExide #AutomotiveBatteries

Chloride Exide Tanzania (@chlorideexidetz) 's Twitter Profile Photo

๐Ÿค” Je, unajua kwamba betri yako hupata joto la kawaida wakati wa kuchaji, kutoa chaji au matumizi ya kawaida? ๐Ÿ’ก Ikiwa joto hilo halidhibitiwi vizuri, linaweza kusababisha hatari kubwa kwa betri, kifaa chako na hata kwa usalama wako. Katika video hii, tunafafanua: ๐Ÿ‘‰ Maana ya

Chloride Exide Tanzania (@chlorideexidetz) 's Twitter Profile Photo

Miaka 10 ya nguvu isiyolinganishwa, miaka 10 ya kutegemewa kila siku, miaka 10 ya kuendesha safari za Watanzania zaidi ya betri nyingine yoyote isiyo na matunzo ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ Nenda umbali zaidi na betri ya kipekee inayodumu muda mrefu โ€“ Chloride Exide PowerLast! ๐Ÿ“ž ๐๐ข๐ ๐š

Miaka 10 ya nguvu isiyolinganishwa, miaka 10 ya kutegemewa kila siku, miaka 10 ya kuendesha safari za Watanzania zaidi ya betri nyingine yoyote isiyo na matunzo ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ

Nenda umbali zaidi na betri ya kipekee inayodumu muda mrefu โ€“ Chloride Exide PowerLast!

๐Ÿ“ž ๐๐ข๐ ๐š
Chloride Exide Tanzania (@chlorideexidetz) 's Twitter Profile Photo

Boresha kizazi chako cha uhifadhi wa nishati ya jua kwa kutumia Chloride Exide Solar Platinum Lithium Battery. Kwa nini? โšก Ufanisi wa Hali ya Juu: Hifadhi nishati zaidi kwa ufanisi wa hadi 95%. โšก Maisha Marefu: Faidika na mizunguko ya chaji 2,000โ€“3,000, ikidumu hadi mara 3

Boresha kizazi chako cha uhifadhi wa nishati ya jua kwa kutumia Chloride Exide Solar Platinum Lithium Battery.

Kwa nini?
โšก Ufanisi wa Hali ya Juu: Hifadhi nishati zaidi kwa ufanisi wa hadi 95%.
โšก Maisha Marefu: Faidika na mizunguko ya chaji 2,000โ€“3,000, ikidumu hadi mara 3
Chloride Exide Tanzania (@chlorideexidetz) 's Twitter Profile Photo

Pata Nguvu ya Kesho na Chloride Exide Solar Platinum Lithium Battery Kwa nini uchague Platinum Lithium? โ˜€๏ธ Ufanisi wa Juu โ€“ Hifadhi hadi 95% ya umeme wa jua unaozalisha. โ˜€๏ธ Hudumu Zaidi โ€“ Ina mizunguko ya kuchaji 2,000โ€“3,000, ikidumu hadi mara 3 zaidi ya betri za kawaida za

Pata Nguvu ya Kesho na Chloride Exide Solar Platinum Lithium Battery

Kwa nini uchague Platinum Lithium?
โ˜€๏ธ Ufanisi wa Juu โ€“ Hifadhi hadi 95% ya umeme wa jua unaozalisha.
โ˜€๏ธ Hudumu Zaidi โ€“ Ina mizunguko ya kuchaji 2,000โ€“3,000, ikidumu hadi mara 3 zaidi ya betri za kawaida za
Chloride Exide Tanzania (@chlorideexidetz) 's Twitter Profile Photo

Badilisha namna unavyotumia nishati ya jua kwa kutumia Chloride Lithium Solar Battery โ€“ suluhisho bora, la kisasa na lenye ufanisi mkubwa wa kuokoa nishati! Iwe ni kwa matumizi ya nyumbani au biashara yako, betri hii ya lithium inakupa: โšก Kasi kubwa ya kuchaji โšก Ufanisi wa

Badilisha namna unavyotumia nishati ya jua kwa kutumia Chloride Lithium Solar Battery โ€“ suluhisho bora, la kisasa na lenye ufanisi mkubwa wa kuokoa nishati!

Iwe ni kwa matumizi ya nyumbani au biashara yako, betri hii ya lithium inakupa:
โšก Kasi kubwa ya kuchaji
โšก Ufanisi wa
Chloride Exide Tanzania (@chlorideexidetz) 's Twitter Profile Photo

๐‚๐ก๐ฅ๐จ๐ซ๐ข๐๐ž ๐„๐ฑ๐ข๐๐ž ๐›๐š๐๐จ ๐ง๐ข ๐‚๐ก๐ฅ๐จ๐ซ๐ข๐๐ž ๐„๐ฑ๐ข๐๐ž โ€“ ๐’๐€๐’๐€ ๐ˆ๐Š๐ˆ๐–๐€ ๐๐€ ๐Œ๐”๐Ž๐๐„๐Š๐€๐๐Ž ๐Œ๐๐˜๐€ ๐–๐€ ๐Š๐ˆ๐’๐€๐’๐€ Hapa Chloride Exide, hatubuni tu kwa ajili ya leo โ€“ tunatengeneza kwa ajili ya kesho. Kadri sekta ya nishati inavyoendelea kubadilika

Chloride Exide Tanzania (@chlorideexidetz) 's Twitter Profile Photo

๐ŸŽ‰ ๐๐ข ๐–๐ข๐ค๐ข ๐ฒ๐š ๐‡๐ฎ๐๐ฎ๐ฆ๐š ๐ค๐ฐ๐š ๐–๐š๐ญ๐ž๐ฃ๐š ๐ŸŽ‰ Na kuna njia gani bora zaidi ya kusema โ€œTunakuthaminiโ€ kuliko kwa OFYA KUBWA YA MAUZO ๐Ÿ˜€ Kwa kuwa wewe ndiye moyo wa huduma zetu, tunakuletea SHUKRANI KUBWA YENYE NGUVU TELE kwa wateja wetu wapendwa: ๐Ÿ”‹๐๐”๐๐†๐”๐™๐Ž

๐ŸŽ‰ ๐๐ข ๐–๐ข๐ค๐ข ๐ฒ๐š ๐‡๐ฎ๐๐ฎ๐ฆ๐š ๐ค๐ฐ๐š ๐–๐š๐ญ๐ž๐ฃ๐š  ๐ŸŽ‰

Na kuna njia gani bora zaidi ya kusema โ€œTunakuthaminiโ€ kuliko kwa OFYA KUBWA YA MAUZO ๐Ÿ˜€

Kwa kuwa wewe ndiye moyo wa huduma zetu, tunakuletea SHUKRANI KUBWA YENYE NGUVU TELE  kwa wateja wetu wapendwa:

๐Ÿ”‹๐๐”๐๐†๐”๐™๐Ž
Chloride Exide Tanzania (@chlorideexidetz) 's Twitter Profile Photo

Je, umeshanufaika na OFA yetu ya Wiki ya Huduma kwa Wateja ๐Ÿ‘€ Wiki ya Huduma kwa Wateja ni yako, na OFA bado ipo ๐Ÿ˜€ Pata hadi 30% PUNGUZO kwenye betri na suluhisho zetu za nishati ๐Ÿคณ๐Ÿพ Agiza kupitia ๐Ÿฌ๐Ÿณ๐Ÿญ๐Ÿฑ ๐Ÿณ๐Ÿฑ๐Ÿฑ ๐Ÿฑ๐Ÿฑ๐Ÿฑ au tembelea tawi lililo karibu nawe. #ChlorideExide

Je, umeshanufaika na OFA yetu ya Wiki ya Huduma kwa Wateja ๐Ÿ‘€

Wiki ya Huduma kwa Wateja ni yako, na OFA bado ipo ๐Ÿ˜€
Pata hadi 30% PUNGUZO kwenye betri na suluhisho zetu za nishati

๐Ÿคณ๐Ÿพ Agiza kupitia ๐Ÿฌ๐Ÿณ๐Ÿญ๐Ÿฑ ๐Ÿณ๐Ÿฑ๐Ÿฑ ๐Ÿฑ๐Ÿฑ๐Ÿฑ au tembelea tawi lililo karibu nawe.

#ChlorideExide
Chloride Exide Tanzania (@chlorideexidetz) 's Twitter Profile Photo

Maisha bora huanza na Chloride Exide ๐Ÿ˜€ Jiunge nasi kwenye maonyesho ya nishati ya jua katika Diamond Jubilee Expo Centre, Dar es Salaam. ๐Ÿ“… 8 - 10 Oktoba, 2025 Usikose!!! #ChlorideExide #SolarEnergy #SmartLiving

Maisha bora huanza na Chloride Exide ๐Ÿ˜€

Jiunge nasi kwenye maonyesho ya nishati ya jua katika Diamond Jubilee Expo Centre, Dar es Salaam.

๐Ÿ“… 8 - 10 Oktoba, 2025

Usikose!!!

#ChlorideExide #SolarEnergy #SmartLiving
Chloride Exide Tanzania (@chlorideexidetz) 's Twitter Profile Photo

Ni Wiki ya Huduma kwa Wateja ๐Ÿ˜€ Na tunasema ASANTE kwa njia bora zaidi - ๐Š๐”๐๐ˆ๐“๐ˆ๐€ ๐Ž๐…๐€ ๐Š๐”๐๐–๐€ ๐˜๐€ ๐Œ๐€๐”๐™๐Ž ๐ŸŽ‰ Kwa sababu wewe ndiye unayetuongoza kila siku, tunakuletea: ๐Ÿ‘‰ ๐๐”๐๐†๐”๐™๐Ž ๐‹๐€ ๐‡๐€๐ƒ๐ˆ ๐€๐’๐ˆ๐‹๐ˆ๐Œ๐ˆ๐€ ๐Ÿ‘๐ŸŽ% kwenye bidhaa zilizochaguliwa.

Ni Wiki ya Huduma kwa Wateja ๐Ÿ˜€ 

Na tunasema ASANTE kwa njia bora zaidi - ๐Š๐”๐๐ˆ๐“๐ˆ๐€ ๐Ž๐…๐€ ๐Š๐”๐๐–๐€ ๐˜๐€ ๐Œ๐€๐”๐™๐Ž ๐ŸŽ‰

Kwa sababu wewe ndiye unayetuongoza kila siku, tunakuletea: 
๐Ÿ‘‰ ๐๐”๐๐†๐”๐™๐Ž ๐‹๐€ ๐‡๐€๐ƒ๐ˆ ๐€๐’๐ˆ๐‹๐ˆ๐Œ๐ˆ๐€ ๐Ÿ‘๐ŸŽ% kwenye bidhaa zilizochaguliwa.
Chloride Exide Tanzania (@chlorideexidetz) 's Twitter Profile Photo

Kutambulisha Familia ya ๐๐ž๐ญ๐ซ๐ข ๐ณ๐š ๐„๐ฑ๐ข๐๐ž ๐๐ซ๐ž๐ฆ๐ข๐ฎ๐ฆ - safu ya betri zinazotoa utendaji wa hali ya juu kwa magari ya kisasa yenye mifumo ya stop-start na magari ya kifahari. Zinapatikana katika aina za Superior Maintenance Free (SMF), EFB, na AGM - hizi ndizo sababu

Kutambulisha Familia ya ๐๐ž๐ญ๐ซ๐ข ๐ณ๐š ๐„๐ฑ๐ข๐๐ž ๐๐ซ๐ž๐ฆ๐ข๐ฎ๐ฆ - safu ya betri zinazotoa utendaji wa hali ya juu kwa magari ya kisasa yenye mifumo ya stop-start na magari ya kifahari.

Zinapatikana katika aina za Superior Maintenance Free (SMF), EFB, na AGM - hizi ndizo sababu
Chloride Exide Tanzania (@chlorideexidetz) 's Twitter Profile Photo

Hakika ya kuwashwa kila unapogeuza ufunguo, utendaji bora kila kilomita, na uimara wa hali ya juu, yote haya yanapatikana kwenye betri inayokupa amani ya moyo: ๐„๐ฑ๐ข๐๐ž ๐Œ๐š๐ญ๐ซ๐ข๐ฑ ๐๐Ÿ—๐ŸŽ ๐Œ๐… Pata yako leo kwa bei isiyoshindika katika tawi lolote la Chloride Exide au kwa

Hakika ya kuwashwa kila unapogeuza ufunguo, utendaji bora kila kilomita, na uimara wa hali ya juu, yote haya yanapatikana kwenye betri inayokupa amani ya moyo: ๐„๐ฑ๐ข๐๐ž ๐Œ๐š๐ญ๐ซ๐ข๐ฑ ๐๐Ÿ—๐ŸŽ ๐Œ๐…

Pata yako leo kwa bei isiyoshindika katika tawi lolote la Chloride Exide au kwa
Chloride Exide Tanzania (@chlorideexidetz) 's Twitter Profile Photo

Battery yako inachoka kila mara ๐Ÿ˜ฉ Kila siku jumpstart imekuwa kawaida? Tulia โ€“ kuna suluhisho ๐ŸŒŸ Exide Matrix N90 โ€“ battery ya nguvu na uhakika, recommended kwa Toyota Corolla, Honda Civic, Suzuki Swift, Mazda Demio & Nissan Tiida. โœ… No more jumpstarts โœ… No more stress โœ… Ni

Battery yako inachoka kila mara ๐Ÿ˜ฉ
Kila siku jumpstart imekuwa kawaida?
Tulia โ€“ kuna suluhisho

๐ŸŒŸ Exide Matrix N90 โ€“ battery ya nguvu na uhakika, recommended kwa Toyota Corolla, Honda Civic, Suzuki Swift, Mazda Demio & Nissan Tiida.

โœ… No more jumpstarts
โœ… No more stress
โœ… Ni
Chloride Exide Tanzania (@chlorideexidetz) 's Twitter Profile Photo

Maisha mazuri huanza na gari zuriโ€ฆ linaloendeshwa na betri sahihi ๐Ÿ˜€๐Ÿ’ฏ Haikusaidii tu kufika unakokwenda, bali inakupa utulivu wa akili โ€” ukijua kwamba gari lako lipo tayari kwa safari yoyote iliyo mbele yako. Pata Betri ya ๐„๐ฑ๐ข๐๐ž ๐„๐…๐ ๐ŸŽ๐Ÿ—๐ŸŽ katika tawi lolote la

Maisha mazuri huanza na gari zuriโ€ฆ linaloendeshwa na betri sahihi ๐Ÿ˜€๐Ÿ’ฏ

Haikusaidii tu kufika unakokwenda, bali inakupa utulivu wa akili โ€” ukijua kwamba gari lako lipo tayari kwa safari yoyote iliyo mbele yako.

Pata Betri ya ๐„๐ฑ๐ข๐๐ž ๐„๐…๐ ๐ŸŽ๐Ÿ—๐ŸŽ katika tawi lolote la
Chloride Exide Tanzania (@chlorideexidetz) 's Twitter Profile Photo

Hakuna Land Cruiser itakayokwama ukiwa nasi ๐Ÿ’ฏ๐Ÿ’ฏ Pata nguvu na uaminifu wa uhakika kwa ๐„๐ฑ๐ข๐๐ž ๐„๐…๐ ๐ŸŽ๐Ÿ—๐ŸŽ โ€“ betri imara iliyoundwa kwa utendaji wa hali ya juu kwenye magari yenye mahitaji makubwa ya umeme. Sasa inapatikana katika matawi na maduka ya Chloride Exide kote

Hakuna Land Cruiser itakayokwama ukiwa nasi ๐Ÿ’ฏ๐Ÿ’ฏ

Pata nguvu na uaminifu wa uhakika kwa ๐„๐ฑ๐ข๐๐ž ๐„๐…๐ ๐ŸŽ๐Ÿ—๐ŸŽ โ€“ betri imara iliyoundwa kwa utendaji wa hali ya juu kwenye magari yenye mahitaji makubwa ya umeme.

Sasa inapatikana katika matawi na maduka ya Chloride Exide kote
Chloride Exide Tanzania (@chlorideexidetz) 's Twitter Profile Photo

๐‡๐š๐ค๐ฎ๐ง๐š ๐ฌ๐š๐Ÿ๐š๐ซ๐ข ๐ง๐ ๐ฎ๐ฆ๐ฎ ๐ฎ๐ค๐ข๐ฐ๐š ๐ง๐š ๐„๐ฑ๐ข๐๐ž ๐„๐…๐ ๐ŸŽ๐Ÿ—๐ŸŽ ๐Ÿ’ช Betri yenye nguvu, uimara, na ufanisi wa hali ya juu - iliyotengenezwa mahsusi kwa magari ya kisasa yenye mifumo ya umeme yenye mahitaji makubwa. Pata yako leo kutoka Chloride Exide, mtoa suluhisho

๐‡๐š๐ค๐ฎ๐ง๐š ๐ฌ๐š๐Ÿ๐š๐ซ๐ข ๐ง๐ ๐ฎ๐ฆ๐ฎ ๐ฎ๐ค๐ข๐ฐ๐š ๐ง๐š ๐„๐ฑ๐ข๐๐ž ๐„๐…๐ ๐ŸŽ๐Ÿ—๐ŸŽ ๐Ÿ’ช

Betri yenye nguvu, uimara, na ufanisi wa hali ya juu - iliyotengenezwa mahsusi kwa magari ya kisasa yenye mifumo ya umeme yenye mahitaji makubwa.

Pata yako leo kutoka Chloride Exide, mtoa suluhisho