Mwanganikani E Everest (@chief_mwanga) 's Twitter Profile
Mwanganikani E Everest

@chief_mwanga

🌟 Clinical Officer | Health Management Student at St. John
📚 Former General Secretary at Kyela Secondary (2014-2015)
🎓 Minister of Education at St. Aggrey CH

ID: 1371773093673381888

calendar_today16-03-2021 10:40:05

894 Tweet

633 Followers

564 Following

Mwanganikani E Everest (@chief_mwanga) 's Twitter Profile Photo

Matatizo yote ya mwanaume yanatokana na ukosefu wa Pesa.. hakuna tatizo la mwanaume lisilotokana na pesa... Fikiri uone 🍀"Mwanga E.E"

Maviatu 👞👟🥾🛍️🛒 (@barakamaviatu) 's Twitter Profile Photo

Iwe LAZIMA kisheria BABA kumuona mtoto wake siku kadhaa kwa Wiki/Mwezi/Mwaka. Isipokua kwa wale tishio kwa usalama wa mtoto. Hili tobo la kuwaachia wamama watoto kwa kisingizio hamuelewani/mkorofi inatumika vibaya kukwepa majukumu. Sheria iwe kali kwa ustawi wa jamii.

KIRIKUU✏️ (@kirikuu20) 's Twitter Profile Photo

Leo kitu tunafanya ni kufollow wote walioweka hendo na kuretweet ,ni kubariki kila akaunti ili kila mmoja aone ufalme wa twitter. Yulee ndio kirikuu anaongoza maombi😂 Watu 100 wa mwanzo tuanze nao chap chap.

Leo kitu tunafanya ni kufollow wote walioweka hendo na kuretweet ,ni kubariki kila akaunti ili kila mmoja aone ufalme wa twitter.
Yulee ndio kirikuu anaongoza maombi😂

Watu 100 wa mwanzo tuanze nao chap chap.
Mwanganikani E Everest (@chief_mwanga) 's Twitter Profile Photo

Huwezi ukapata kila unachotamani. SIKUVUNJI MOYO. Jifunze kuthibiti tamaa yako.. Jifunze kukubali matokeo, mana kuna kupata na kukosa. "Mwanga"

𝐋𝐢𝐣𝐮𝐞 𝐍𝐞𝐧𝐨 𝐥𝐚 𝐌𝐮𝐧𝐠𝐮 (@lijuem) 's Twitter Profile Photo

*Kumbukumbu la Torati 28: 7-8* Bwana atawafanya adui zako wainukao juu yako kupigwa mbele yako; watakutokea kwa njia moja, lakini watakimbia mbele yako kwa njia saba. Bwana ataiamuru baraka ije juu yako katika ghala zako, na mambo yote utakayotia mkono wako

Bughaliza (@bughalizah) 's Twitter Profile Photo

Sema bongo bhana saizi wanazi wanakimbikia kwamba kura hazipo mtandaoni Kumbe mko sahihi Sasa huku mtandaoni manakujaga kuuza sera zenu kwa nini? Sa si Bora mngekua mnamalizana tu huko huko kwenye vikao vyemu sisi wa mutandaoni msituletee mambo yenu?

Mwanganikani E Everest (@chief_mwanga) 's Twitter Profile Photo

Mpinzani ni nani? Mpinzani ni adui? Nyumbani kwetu ukipata tu akili au ukawa na akili kuwazidi wanakuona mpinzani.. Ila hapa home bhana