chababaii (@chababaii) 's Twitter Profile
chababaii

@chababaii

#Photographer
|Wedding |Portait|Corporates
|Adverts |High profile|Landscape|Sports

ID: 2991067427

calendar_today22-01-2015 01:30:26

111 Tweet

77 Followers

397 Following

chababaii (@chababaii) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Uganda amempandisha cheo Mtoto wake Muhoozi Kainerugaba kuwa Jenerali, cheo kikubwa zaidi cha kijeshi Uganda, kabla ya kupandishwa cheo, Muhoozi alikuwa Luteni Jenerali, Muhoozi amezua mijadala Twitter tangu jana baada ya kusema ataiteka Nairobi.

Tanzania Consulate General | Guangzhou (@tzcgguangzhou) 's Twitter Profile Photo

Abiria wanaokwenda China kutokea Tanzania watatakiwa kufuata utaratibu uliiopo hivi sasa wa 1) Kuomba Visa kupitia Ubalozi wa China nchini Tanzania 2) Kupima UVIKO19 masaa 48 kabla ya safari 3) Kujaza "Customs Health Declaration Form".

Taarifa iliyotolewa kuhusu kufutwa kipimo cha PCR na badala yake kutumia vipimo vya Antigen & Self Test Kit utekelezaji wake utaanza baadaye. Hivyo abiria wote wanaokwenda China waendelee kufanya kipimo cha PCR cha UVIKO-19.