Chama Cha Mapinduzi (@ccm_tanzania) 's Twitter Profile
Chama Cha Mapinduzi

@ccm_tanzania

Chama Cha Mapinduzi (CCM) - #Tanzania's governing party, founded on 5th February 1977. Membership: 15 million | youtu.be/PtB_uVgA9v8

ID: 266127553

linkhttp://www.ccm.or.tz calendar_today14-03-2011 18:18:09

19,19K Tweet

889,889K Followers

9 Following

Chama Cha Mapinduzi (@ccm_tanzania) 's Twitter Profile Photo

Fuatilia Matangazo ya Moja Kwa Moja Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Dkt. Samia Suluhu Hassan ataongoza Maelfu ya Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Taifa leo Mei 29, Jijini Dodoma. #kazinaututunasongambele #SafariyaUshindi2025

Fuatilia Matangazo ya Moja Kwa Moja

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Dkt. Samia Suluhu Hassan ataongoza Maelfu ya Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Taifa leo Mei 29, Jijini Dodoma. 

#kazinaututunasongambele
#SafariyaUshindi2025
Chama Cha Mapinduzi (@ccm_tanzania) 's Twitter Profile Photo

Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Taifa Wakiwasili katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Centre , Leo Tarehe 29, Mei 2025 #kazinaututunasongambele

Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Taifa Wakiwasili katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Centre , Leo Tarehe 29, Mei 2025 

DODOMA IMETARADADI KWA KIJANI NA NJANO Katika mkutano mkuu wa CCM Taifa tarehe 29-30 Mei 2025, mambo yote ni Dodoma #KaziNaUtuTunasongaMbele #safariyaushindi2025 #rangizinaongea

Chama Cha Mapinduzi (@ccm_tanzania) 's Twitter Profile Photo

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wajumbe akifungua rasmi Mkutano mkuu wa CCM Taifa Leo Tarehe 29 Mei 2025. #kazinaututunasongambele

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wajumbe akifungua rasmi Mkutano mkuu wa CCM Taifa Leo Tarehe 29 Mei 2025.

#kazinaututunasongambele
Chama Cha Mapinduzi (@ccm_tanzania) 's Twitter Profile Photo

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na kufurahia jambo na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dkt. Hussein Mwinyi katika Mkutano mkuu wa CCM Taifa Leo Tarehe 29 Mei 2025 #kazinaututunasongambele

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na kufurahia jambo na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dkt. Hussein Mwinyi katika  Mkutano mkuu wa CCM Taifa Leo Tarehe 29 Mei 2025

#kazinaututunasongambele
Chama Cha Mapinduzi (@ccm_tanzania) 's Twitter Profile Photo

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) Dkt. Emmanuel Nchimbi akitoa neno fupi la ukaribisho katika Mkutano mkuu wa CCM Taifa Leo Tarehe 29 Mei 2025. #kazinaututunasongambele #kazinaututunasongambele

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) Dkt. Emmanuel Nchimbi akitoa neno fupi la ukaribisho katika  Mkutano mkuu wa CCM Taifa Leo Tarehe 29 Mei 2025.

#kazinaututunasongambele
#kazinaututunasongambele
Chama Cha Mapinduzi (@ccm_tanzania) 's Twitter Profile Photo

Wajumbe na waalikwa wa Mkutano Mkuu wa CCM Taifa wakishiriki na kufuatilia Mkutano Mkuu wa CCM Taifa leo Tarehe 29 Mei 2025 katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Center Jijini Dodoma.

Nukuu za Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akizungumza katika mkutano mkuu maalum wa CCM Taifa #KaziNaUtuTunasongaMbele #safariyaushindi2025

Nukuu za Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akizungumza katika mkutano mkuu maalum wa CCM Taifa 

#KaziNaUtuTunasongaMbele
#safariyaushindi2025
Chama Cha Mapinduzi (@ccm_tanzania) 's Twitter Profile Photo

CCM NDIO CHAMA KIKUBWA NA CHENYE USHAWISHI ZAIDI BARANI AFRIKA UBAO UNASOMA 13,000,670 Kufikia tarehe 29 Mei 2025, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kilikuwa kimesajili jumla ya wanachama 13,000,670 kupitia mfumo wa kielektroniki, na hivyo kuendelea kuwa miongoni mwa vyama vya siasa

Chama Cha Mapinduzi (@ccm_tanzania) 's Twitter Profile Photo

SHANGWE LA WAJUMBE Wajumbe wa mkutano mkuu wa CCM Taifa wakifurahia burudani zinazoendelea kutolewa na wasanii mbalimbali ; katika Ukumbi wa JK Convention Centre #Kazinaututunasongambele

SHANGWE LA WAJUMBE 

Wajumbe wa mkutano mkuu  wa CCM Taifa wakifurahia burudani zinazoendelea kutolewa na wasanii mbalimbali ; katika Ukumbi wa JK Convention Centre 

#Kazinaututunasongambele
Chama Cha Mapinduzi (@ccm_tanzania) 's Twitter Profile Photo

Waalikwa mbalimbali,kutoka vyama rafiki wa CCM wakishiriki na kufuatilia mkutano mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) leo tarehe 30 Mei 2025 #kazinaututunasongambele

Waalikwa mbalimbali,kutoka vyama rafiki wa CCM wakishiriki na kufuatilia mkutano mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) leo tarehe 30 Mei 2025 

#kazinaututunasongambele
Chama Cha Mapinduzi (@ccm_tanzania) 's Twitter Profile Photo

MKUTANO MKUU CCM TAIFA KAZI NA DAWA Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan, akifurahia burudani ya muziki pamoja na Wajumbe wa Mkutano Mkuu Maalum wa CCM Taifa, wakati vikundi mbalimbali vya sanaa ya vilipokuwa

MKUTANO MKUU CCM TAIFA KAZI NA DAWA

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan, akifurahia burudani ya muziki pamoja na Wajumbe wa Mkutano Mkuu Maalum wa CCM Taifa, wakati vikundi mbalimbali vya sanaa ya vilipokuwa