Usije Ukawaza Wala Kudhani Kwamba Kikubwa Chako Ndio Kinaweza Kumpa Mwingine Furaha, Hata Hicho Kidogo Kinaweza kuwa Faraja Mno.π
Good morning X Familia βπΎ
Ukiona Maisha yako ni magumu sana kuliko ndugu zako wote, basi tambua Mungu alikuchagua wewe uwe mkombozi wa familia ila shetani anajaribu kukukatisha tamaa. Ukitaka kuamini hili kasome habari za Yusuph.
Kuna watu waliamua tu kutushika mkono..
Sio ndugu zetu, sio rafiki zetu.
Ni Mungu tu aliwatuma kwetu, kutupa nguvu ya kuzikomboa familia zetu..
TUTAWAHESHIMU MILELE, πβ€οΈ
Kuna umri ukifika au ukishakua na watoto, kuna mambo lazima uachane nayo..
Ishu kama ugomvi, lazima ujitahidi kuepuka, haipendezi unarudi home watoto wanaona baba amevimba uso.
Na unakuta wanakuaminiaga balaa.
Ni mnyama yupi kati ya hawa ndo ana meno makali zaidi kati ya Fisi na mamba Kwa maana hawa wote wawili huwa wanamtafuna mnyama pamoja na mifupa yake yote hadi inasagika.Hio ni kuonyesha uimara wa meno yao ,Sasa swali linakuja ni yupi kati yao ana meno imara zaidi ?π€