Manka 🌹 (@btrcernest) 's Twitter Profile
Manka 🌹

@btrcernest

Be brave be strong be happy be positive be true be you 💞

ID: 1615663387781783553

calendar_today18-01-2023 10:53:08

9,9K Tweet

5,5K Followers

4,4K Following

Alexander (@alesandrojr) 's Twitter Profile Photo

SALA YA ASUBUHI +Kwa jina la Baba na la Mwana na la Roho Mtakatifu. Amina. Tuusifu Utatu Mtakatifu wa Mungu mmoja, sasa na siku zote na milele amina. Ee utatu Mtakatifu wa Mwenyezi Mungu; +Baba, +Mwana na +Roho Mtakatifu. Ninasadiki kuwa upo hapa na mahali pote. Ee Mungu

SALA YA ASUBUHI

+Kwa jina la Baba na la Mwana na la Roho Mtakatifu. Amina.

Tuusifu Utatu Mtakatifu wa Mungu mmoja, sasa na siku zote na milele amina. Ee utatu Mtakatifu wa Mwenyezi Mungu; +Baba, +Mwana na +Roho Mtakatifu. Ninasadiki kuwa upo hapa na mahali pote. 

Ee Mungu
Alexander (@alesandrojr) 's Twitter Profile Photo

Baba Yetu uliye mbinguni. Jina lako litukuzwe. Ufalme wako ufike. Utakalo lifanyike duniani kama mbinguni. Utupe leo Mkate wetu wa kila siku. Utusamehe makosa yetu. Kama nasi tunavyowasamehe na sisi waliotukosea. Usitutie katika kishawishi. Lakini utuopoe maovuni, Amina🙏

Baba Yetu uliye mbinguni. Jina lako litukuzwe. Ufalme wako ufike. Utakalo lifanyike duniani kama mbinguni.

Utupe leo Mkate wetu wa kila siku. Utusamehe makosa yetu. Kama nasi tunavyowasamehe na sisi waliotukosea. Usitutie katika kishawishi. Lakini utuopoe maovuni, Amina🙏
Alexander (@alesandrojr) 's Twitter Profile Photo

Salamu Maria umejaa neema. Bwana yu nawe. Umebarikiwa kuliko wanawake wote. Naye Yesu mzao wa tumbo lako amebarikiwa. Maria Mtakatifu, Mama wa Mungu. Utuombee sisi wakosefu. Sasa, na saa ya kufa kwetu, Amina🙏

Salamu Maria umejaa neema. Bwana yu nawe. Umebarikiwa kuliko wanawake wote. Naye Yesu mzao wa tumbo lako amebarikiwa.

Maria Mtakatifu, Mama wa Mungu. Utuombee sisi wakosefu. Sasa, na saa ya kufa kwetu, Amina🙏
Alexander (@alesandrojr) 's Twitter Profile Photo

Ee Baba yetu Mungu Mkuu, Umenilinda usiku huu. Nakushukuru kwa moyo, Ee Baba Mwana na Roho. Nilinde tena siku hii, Niache dhambi nikutii. Naomba sana Baba wee, Baraka zako nipokee. Bikira safi, Ee Maria Nisipotee nisimamie. Mlinzi Mkuu Malaika wee, Kwa Mungu wetu niombee,

Ee Baba yetu Mungu Mkuu,
Umenilinda usiku huu.
Nakushukuru kwa moyo,
Ee Baba Mwana na Roho.
Nilinde tena siku hii,
Niache dhambi nikutii.

Naomba sana Baba wee,
Baraka zako nipokee.
Bikira safi, Ee Maria
Nisipotee nisimamie.

Mlinzi Mkuu Malaika wee,
Kwa Mungu wetu niombee,
Alexander (@alesandrojr) 's Twitter Profile Photo

NIA NJEMA. Kumheshimu Mungu wangu Namtolea roho yangu, Nifanye kazi nipumzike Amri zake tu nishike Wazo, neno, tendo lote Namtolea Mungu pote Roho, mwili chote changu, Pendo na uzima wangu Mungu wangu nitampenda, Wala dhambi sitatenda. Jina lako nasifia Utakalo hutimia Kwa utii

NIA NJEMA.

Kumheshimu Mungu wangu
Namtolea roho yangu,
Nifanye kazi nipumzike
Amri zake tu nishike
Wazo, neno, tendo lote
Namtolea Mungu pote
Roho, mwili chote changu,
Pendo na uzima wangu
Mungu wangu nitampenda,
Wala dhambi sitatenda.
Jina lako nasifia
Utakalo hutimia
Kwa utii
Manka 🌹 (@btrcernest) 's Twitter Profile Photo

Usimwache usigombane nae mpe anachotaka mzingatie mwanao kama kweli ana akili atarudi kwenye mstari kaa kimya itakusaidia

Manka 🌹 (@btrcernest) 's Twitter Profile Photo

Crown Athlete 2009, ⛽️Petrol cc 2490 Winker✔️ sport Rims ✔️ Push Start ✔️ 58,000km Price: 27.5M ( PLUS USAJILI)

Crown Athlete 2009, ⛽️Petrol cc 2490
Winker✔️ sport Rims ✔️ Push Start ✔️
58,000km

Price: 27.5M ( PLUS USAJILI)
Manka 🌹 (@btrcernest) 's Twitter Profile Photo

Ukitaka kuoa mke wa kweli kweli no drama ndani ya nyumba full maendeleo ndoa tamu njoo uchagani pisi ni zimetulia uamue wewe tu 🙌

Ukitaka kuoa  mke  wa kweli kweli no  drama ndani ya nyumba full maendeleo ndoa tamu njoo uchagani pisi ni zimetulia uamue wewe tu 🙌