Mwanaume akilalamika ujue anajali ,akikukuuliza jambo ujue anataka kujua ukweli,akinyamaza na kuyaacha mambo yaenda ujue amekata tamaa alafu kama hafanyi Chochote Kati ya hayo!tambua umempoteza mwanaume wa maana katika maisha yako
Muheshimu sana mtu anaekusindikiza kwenye njia ambayo wengine wamekukimbia. Kwasababu huyo ndie mtu alieona thamani yako na heshima yako hata kama atakuwa dhaifu kiasi gani muheshimu.
Hata muokotaji huokota akiwa anatembea nasi akiwa amekaa huwezi kufanikiwa kwenye jambo lolote lile kwa kukaa tu sehemu moja bila kuinuka hapo ulipo. Inuka ukatafute utaona mlango unavyofunguka kwako.
Abdulrazaki issa.