Brain Mpogole (@brainmpogole) 's Twitter Profile
Brain Mpogole

@brainmpogole

𝐄𝐀 𝐑𝐚𝐝𝐢𝐨 & 𝐄𝐀𝐓𝐕, 𝐀𝐧𝐜𝐡𝐨𝐫, Pundit/Analyst, Football Commentator: "𝐀𝐦 𝐝𝐫𝐞𝐚𝐦 𝐥𝐢𝐯𝐞𝐬 𝐨𝐧" 🪦🕊MHSRIEP Mam Felista Ngavenga💔😭🙏🏼

ID: 3006302093

linkhttp://www.facebook.com/Brainmpogole calendar_today30-01-2015 19:57:27

10,10K Tweet

836 Followers

17 Following

Brain Mpogole (@brainmpogole) 's Twitter Profile Photo

…Rasmi Lyon haitashuka daraja kwenda Ligue 2 baada ya Tume ya rufaa ya DNCG kubatilisha uamuzi wa awali wa kuwashusha daraja mabingwa hao wa zamani wa Ufaransa. Kwa maamuzi hayo yanatoa nafasi kwa Lyon kushiriki Ligue 1 na kucheza michuano ya UEFA Europa League msimu ujao.🤝

Brain Mpogole (@brainmpogole) 's Twitter Profile Photo

“Malengo yetu msimu ujao kwenye CAF Champions League ni makundi ila nataka niwahakikishie mashabiki na wanachama wa Yanga, tukiingia makundi tu kitakachobaki itakuwa ni historia, ila pia tufanya usajili bora ambao utakidhi vigezo vya sisi kuingia makundi.”- Eng. Hersi Said

Brain Mpogole (@brainmpogole) 's Twitter Profile Photo

… Haijalishi napitia mateso makubwa kiasi kumaliza KAPA msimu huu but Manchester United itasalia kuwa ndio Timu bora duniani tangu miaka kenda❤️🤍 … hawa VIBONDE wetu Chelsea ni upepo tu Mataji wamepita nao lakini haitoi maana ya wao kuwa VIBONDE.😂😂😂 #GGMU👿😈

… Haijalishi napitia mateso makubwa kiasi kumaliza KAPA msimu huu but Manchester United itasalia kuwa ndio Timu bora duniani tangu miaka kenda❤️🤍 … hawa VIBONDE wetu Chelsea ni upepo tu Mataji wamepita nao lakini haitoi maana ya wao kuwa VIBONDE.😂😂😂
#GGMU👿😈
Brain Mpogole (@brainmpogole) 's Twitter Profile Photo

“Hadi sasa ndani ya Simba SC nimetumia Bilioni 45 kwa ajili ya mishahara, usajili na gharama za uendeshaji, nimewekeza Bilioni 20 na nimetoa Bilioni 22 fedha ambazo hazipo kwenye mfumo rasmo hivyo nimetoa jumla ya Bilioni 87.”-MO Dewji Simba SC

Brain Mpogole (@brainmpogole) 's Twitter Profile Photo

“Tshabalala mini nampenda sana nitakwambieni ukweli, naweza kusema ni beki bora wa kushoto hapa nchini. Anakipaji kikubwa, ana nidhamu kubwa na niseme tu kama kuna mchezaji ambae nampenda anacheza beki wa kushoto nchi hii basi ni Tshabalala.”- Eng. Hersi Said, Rais Yanga SC

Brain Mpogole (@brainmpogole) 's Twitter Profile Photo

🗣“Mimi ni mtumishi wenu na nataka niwaambie ndugu zangu. Siku moja mtanikumbuka, najua mtanikumbuka kwa mazuri si kwa mabaya, kwa sababu nime 'SACRIFICE' MAISHA YANGU kwa ajili ya Watanzania maskini”-Hayati, Dr. John Pombe Magufuli MHSRIEP 💔🕊🕊

Brain Mpogole (@brainmpogole) 's Twitter Profile Photo

…Kama mwanao ana kipaji cha kucheza football… mwambie unalipa sana… usizuie ndoto za mwanao… Rais Samia ametoa ahadi kwa Taifa Stars CHAN2024 kununua kila goli mil. 10Tsh group stage, hatua za mtoano hadi final stage itapanda hadi mil. 20 ingali kubeba Ubingwa ni bil.1Tsh.

Brain Mpogole (@brainmpogole) 's Twitter Profile Photo

… Hakuna shabiki wa Azama Fc ambaye hafahamu kuwa next season hatutakuwa na Feisal Salum… licha ya kuwekwa siri na viongozi but Fei Toto ataitumikia Simba SC… mie sitoi ahadi yoyote but kwa siasa za football nchini… wamemsajili ili kufunga midomo ya mashabiki wao.😎

Brain Mpogole (@brainmpogole) 's Twitter Profile Photo

…Simba SC wamekamilisha usajili wa Beki wa kati, Rushine De Reuck (29) kutoka Mamelodi Sundowns kwa mkataba wa mwaka mmoja. Rushine raia wa South Africa 🇿🇦 amewahi kufanya kazi na kocha Fadlu Davids kwenye kikosi cha Maritzburg United. Via Micky Jnr

Brain Mpogole (@brainmpogole) 's Twitter Profile Photo

…Simba SC itaweka kambi ya kujiandaa na msimu mpya wa mashindano 2025/26 nchini Misri. Wachezaji wataanza kuwasili weekend hii kisha safari ya kuondoka Tanzania 🇹🇿 itakuwa siku ya Jumatano next week kwenda kukita kambi katika mji wa Ismailia kwa muda wa wiki 3.

EastAfricaRadio (@earadiofm) 's Twitter Profile Photo

#Kipenga: Muda huu #Kipenga ipo hewani #EastAfricaRadio na Mubashara katika YouTube Channel yetu ya #EastAfricaRadio. Tuambie unasikiliza uchambuzi bora wa Michezo ukiwa mtaa gani? Hosts: @Brainmpogole #Kipenga #HainaKuchoka #EastAfricaRadio

#Kipenga: Muda huu #Kipenga ipo hewani #EastAfricaRadio na Mubashara katika  YouTube Channel yetu ya #EastAfricaRadio. Tuambie unasikiliza uchambuzi bora wa Michezo ukiwa mtaa gani?

Hosts: @Brainmpogole

#Kipenga #HainaKuchoka #EastAfricaRadio