IamMartinez_ (@boazmartinez_) 's Twitter Profile
IamMartinez_

@boazmartinez_

Journalist ||Photographer ||Voice over
Simba Sc & Manchester City Fan

ID: 1685389044409085953

linkhttps://youtube.com/@BoasMartinez?feature=share7 calendar_today29-07-2023 20:37:52

1,1K Tweet

649 Takipçi

666 Takip Edilen

IamMartinez_ (@boazmartinez_) 's Twitter Profile Photo

Jana ndo nimeelewa sababu iliyofanya coach Robertinho Oliveira na aliyekuwa coach msaidizi wake ankari Juma Mgunda kushindwa kuelewana kiufundi kutokana mfumo wa kiuchezaji unaofundishwa na Robertinho kutoeleweka❗❗

Jana ndo nimeelewa sababu iliyofanya coach Robertinho Oliveira na aliyekuwa coach msaidizi wake ankari Juma Mgunda kushindwa kuelewana kiufundi kutokana mfumo wa kiuchezaji unaofundishwa na Robertinho kutoeleweka❗❗
IamMartinez_ (@boazmartinez_) 's Twitter Profile Photo

Journalist :How did you manage to win the game against Tanzania Prison in this tough pitch Mr. objectivity? Coach :We play objective football and sambaloketo that’s why we managed to score 3 goals which made us to win the game and return to the top of NBC premier league.

Journalist :How did you manage to win the game against Tanzania Prison in this tough pitch Mr. objectivity?

Coach :We play objective football and sambaloketo that’s why we managed to score 3 goals which made us to win the game and return to the top of NBC premier league.
IamMartinez_ (@boazmartinez_) 's Twitter Profile Photo

“Tunapozungumzia kwenye ajira, Serikali nayo inawaangalia sana wanawake, pale ambapo kunakuwa na ushindani wa mwanamke na mwanaume, basi nafasi ya kwanza anapewa mwanamke. Hayo ni malengo ya Serikali ya kufikia 50/50.” – Kassim Majaliwa, Waziri Mkuu Cc: Swahili Times

“Tunapozungumzia kwenye ajira, Serikali nayo inawaangalia sana wanawake, pale ambapo kunakuwa na ushindani wa mwanamke na mwanaume, basi nafasi ya kwanza anapewa mwanamke. Hayo ni malengo ya Serikali ya kufikia 50/50.” – Kassim Majaliwa, Waziri Mkuu

Cc: <a href="/swahilitimes/">Swahili Times</a>
IamMartinez_ (@boazmartinez_) 's Twitter Profile Photo

Kupitia Documentary ya BBC ya Blood Parliament imeonyesha askari aliyewaua vijana 3 katika nje ya Bunge la Kenya ambao ni David Chege, Erikson Mtisia na Erick Chien. Pia imeonyesha Afisa alietoa amri ya kuua Gen Z waliokuwa kwenye maandamano ambaye anaitwa John Kaboi

Kupitia Documentary ya BBC ya Blood Parliament imeonyesha askari aliyewaua vijana 3 katika nje ya Bunge la Kenya ambao ni David Chege, Erikson Mtisia na Erick Chien.

Pia imeonyesha Afisa alietoa amri ya kuua Gen Z waliokuwa kwenye maandamano ambaye anaitwa John Kaboi