JAK (@blogccm) 's Twitter Profile
JAK

@blogccm

ID: 1647392509

linkhttp://ccmdijitali.blogspot.com calendar_today05-08-2013 09:16:14

19,19K Tweet

5,5K Takipçi

1,1K Takip Edilen

JAK (@blogccm) 's Twitter Profile Photo

Matukio mbalimbali kwenye mazishi ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Waziri Mkuu Mstaafu Hayati Mzee Cleopa David Msuya katika Kijiji cha Chomvu, Usangi Wilayani Mwanga mkoani Kilimanjaro tarehe13 Mei, 2025

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Finland Mhe. Alexander Stubb mara baada ya kuwasili katika viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 14 Mei, 2025.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa amesimama na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Finland Mhe. Alexander Stubb wakati wimbo wa Taifa wa Tanzania na ule wa Finland ukiimbwa katika viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 14 Mei, 2025.

Rais wa Jamhuri ya Finland Mhe. Alexander Stubb akikagua Gwaride la heshima lililoandaliwa na Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) katika viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 14 Mei, 2025.

Rais wa Jamhuri ya Finland Mhe. Alexander Stubb akisaini kitabu cha Wageni Maalum mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 14 Mei, 2025.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Rais wa Jamhuri ya Finland Mhe. Alexander Stubb, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 14 Mei, 2025.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Finland Mhe. Alexander Stubb, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 14 Mei, 2025.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza ujumbe wa Tanzania kwenye mazungumzo rasmi na ujumbe wa Finland ulioongozwa na Rais wa Nchi hiyo Mhe. Alexander Stubb, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 14 Mei, 2025.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Finland Mhe. Alexander Stubb wakati wakizungumza na Waandishi wa Habari Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 14 Mei, 2025.