i Care_health_point🍀 (@blmalxi) 's Twitter Profile
i Care_health_point🍀

@blmalxi

What'sApp Number 0620173396

ID: 1391340325961150464

calendar_today09-05-2021 10:33:00

487 Tweet

338 Followers

711 Following

Kabigwa_Afya💊 (@kabigwa_78) 's Twitter Profile Photo

UKIAMKA...! 1. Kunywa Glass 1-2 za Maji Asubuhi hii, Fanya hivyo Kwa Ajili ya Vital organs zako 🫀! 2. Pata Angalau dk 15-30 za Mazoezi ya Asubuhi, KEGEL ni MUHIMU zaidi Kwa Mwanaume! 3. Oga Maji Baridi (Zingatia mazingira na sehemu iliyopo). 4. "Kaa Mbalii" na Sukari Nyingi.

i Care_health_point🍀 (@blmalxi) 's Twitter Profile Photo

*HATUA MUHIMU ZA KUPIGA MSWAKI* Piga mswaki angalau mara mbili kwa siku baada ya chai na baada ya chakula cha usiku Tumia dawa ya meno yenye madini ya fluoride, Badili mswaki kila baada ya miezi mitatu.

*HATUA MUHIMU ZA KUPIGA MSWAKI* 

Piga mswaki angalau mara mbili kwa siku baada ya chai na baada ya chakula cha usiku
Tumia dawa ya meno yenye madini ya fluoride, Badili mswaki kila baada ya miezi mitatu.
OLOWO  (@olowo_master) 's Twitter Profile Photo

"Maisha ni shule tosha...!! Yatakupa mafunzo...yatakupa mifano...yatakulazimu kufanya kwa vitendo... kisha yatakup mitihani...!! Ugumu ama wepesi wake, ni namna ambavyo wanafunzi wataenda sawa na mfumo wake.!".🙏

"Maisha ni shule tosha...!!

Yatakupa mafunzo...yatakupa mifano...yatakulazimu kufanya kwa vitendo...

kisha yatakup mitihani...!! Ugumu ama wepesi wake, ni namna ambavyo wanafunzi wataenda sawa na mfumo wake.!".🙏