MasterBlade(@blackagara) 's Twitter Profileg
MasterBlade

@blackagara

MasterBlade
Arsenal the Gunners

ID:1625039635385573377

calendar_today13-02-2023 07:51:10

9,9K Tweets

3,2K Followers

3,6K Following

Young Africans SC(@YoungAfricansSC) 's Twitter Profile Photo

Je Master Gamondi aliongea nini na Kiungo Chuma Mudathir kabla hajaingia uwanjani na kufunga goli?

Mudathir amefunguka mengi zaidi ndani ya Yanga TV | YouTube


account_circle
Dj Blast tz.(@MwadumaJ) 's Twitter Profile Photo

Anazungumza mtu ambaye amekuta kila kitu mezani na mazingira safi ya kutengeneza pesa, Watu wanaishi kwa mshahara wa laki tatu na nusu na wanafamilia kwanini wasikope??

account_circle
Bob kipara(@_yourBoyli4) 's Twitter Profile Photo

Kwenye kila aliyefanikiwa ama kufika stage fulani nzuri tofauti na maisha apo awali, ana historia na magumu,changamoto amepitia...

Tuwekeze kwenye ku-WORK SMART na sio tu working hard...
Vijana tuna la kujifunza kwenye hii picha ya millardayo

Kwenye kila aliyefanikiwa ama kufika stage fulani nzuri tofauti na maisha apo awali, ana historia na magumu,changamoto amepitia... Tuwekeze kwenye ku-WORK SMART na sio tu working hard... Vijana tuna la kujifunza kwenye hii picha ya @millardayo ✊ #mapambanoYaendelee
account_circle
Young Africans SC(@YoungAfricansSC) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Young Africans SC Hersi Ally Said akimkabidhi Jezi za Klabu yetu Waziri wa Michezo Aurore Mimosa Munyangaju kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Rwanda Paul Kagame.

'Tunaishukuru Serikali ya Rwanda kwa mapokezi na ukarimu mkubwa tuliopata toka tumefika hapa na tunajiskia tuko nyumbani'

account_circle