Black Dady (@blacdaady) 's Twitter Profile
Black Dady

@blacdaady

Med💉 | Football | Graphics designer |Crypto

ID: 902171662434664449

calendar_today28-08-2017 14:11:00

192,192K Tweet

29,29K Takipçi

4,4K Takip Edilen

OfisaHovyo (@wahovyo_hq) 's Twitter Profile Photo

Mkumbushe mwanao kwamba ni kweli hii dunia ina mambo mengi, ila mwambie aangalie yanayo mfaa hayo mengine aachane nayo 📌

CARGO⭐🌍 (@cargo_1911) 's Twitter Profile Photo

Kuna kesi iliyojulikana kutoka Kenya, inayohusiana na mtu aliyejiita mchungaji aitwaye Paul Mackenzie, ambaye aliwashawishi waumini wake wafunge kwa siku nyingi hadi kufa, kwa madai kwamba wangeenda kumuona Yesu. Tukio hili lilijulikana kama Shakahola Massacre, lililotokea mwaka

Kuna kesi iliyojulikana kutoka Kenya, inayohusiana na mtu aliyejiita mchungaji aitwaye Paul Mackenzie, ambaye aliwashawishi waumini wake wafunge kwa siku nyingi hadi kufa, kwa madai kwamba wangeenda kumuona Yesu. Tukio hili lilijulikana kama Shakahola Massacre, lililotokea mwaka
Black Dady (@blacdaady) 's Twitter Profile Photo

YAS WAMEKUJA NA BALAA!!. Kwa shilingi 250k tu utapatiwa Router ya 5G na kifurushi bure cha unlimited mwezi mzima. Mwezi unaofuata utakuwa unalipia 70k tu. ➤Router yako utaletewa popote ulipo📍 WhatsApp or call 0676028686

YAS WAMEKUJA NA BALAA!!.

Kwa shilingi 250k tu utapatiwa Router ya 5G na kifurushi bure cha unlimited mwezi mzima. Mwezi unaofuata utakuwa unalipia 70k tu.

 ➤Router yako utaletewa popote ulipo📍

WhatsApp or call 0676028686
HIMEZI (@deadbodiie) 's Twitter Profile Photo

Tungejua Kuna miti inakomaa kwa ajili ya majeneza yetu tusingekua na kiburi na haya màisha ya duniani. Good morning God's People

m.s.a.k.i+ (@raphyrodrick) 's Twitter Profile Photo

Waowaji wote mjini wanapendeza na suti kali kutoka suit_mseleleko chimbo la uhakika la ya suti kali na original kwa 180,000 tu (three pieces suit) Location: Msimbazi kariakoo , Mtaa wa Mchikichi na Manyema (Nyuma ya jengo la club ya simba) 📞0762617089 Delivery uhakika popote

Waowaji wote mjini wanapendeza na suti kali kutoka <a href="/suitmseleleko/">suit_mseleleko</a> chimbo la uhakika la ya suti kali na original kwa 180,000 tu (three pieces suit)

Location: Msimbazi kariakoo , Mtaa wa Mchikichi na Manyema (Nyuma ya jengo la club ya simba)

📞0762617089 

Delivery uhakika popote
Black Dady (@blacdaady) 's Twitter Profile Photo

At this point sijali kuhusu mchezaji yoyote kuwa treated well or bad, nahitaji kuiona Manchester United ikifanikiwa. Nimechoka kuona matapeli kwenye team yangu.

Black Dady (@blacdaady) 's Twitter Profile Photo

Unapokua mchezaji laizma ujue mtu wa 1 anatamani ufanikiwe ni kocha wako. Usifanye kosa kufikiria kocha akiongea kitu negative about you hakutakii mema. Messi na Ronaldo wamefika walipofika kwasababu walijahidi kuonyesha discipline isiyoyumbishika. I feel sorry for Garnacho