Benix Matrix (@benixmatrix) 's Twitter Profile
Benix Matrix

@benixmatrix

I talk about copywriting, content marketing, and self-learning. | Panorama Authentik

ID: 3096788393

calendar_today19-03-2015 13:32:31

22,22K Tweet

6,6K Followers

1,1K Following

Shreubui Binoh (@everyythangsb) 's Twitter Profile Photo

You know why ppl say winners always win!? they speaking to the mindset & experience that comes with actually winning , cuz even a small win can teach … what it takes & how the game is being played and once your mind accepts that you can win , everything changes!!

Benix Matrix (@benixmatrix) 's Twitter Profile Photo

Sikia rafiki yangu, hata kama sio fani yako... Jifunze: - Graphics Design - Digital Marketing - Copywriting - Web Development - Videography/Photography - Content Creation Nakuhakikishia 100% kuwa na additional skill itakusaidia katika harakati za kutafuta mkate.

Benix Matrix (@benixmatrix) 's Twitter Profile Photo

KOZI 60 ZA BURE MTANDAONI 2025. Unapata cheti unapomaliza kozi. Orodha ya kozi 60 za bure zinazoweza kuboresha matarajio yako ya elimu na kazi. guru99.com/free-online-co…

Benix Matrix (@benixmatrix) 's Twitter Profile Photo

Unataka watu wasome tangazo lako? Tumia maneno haya 6 kwenye maandishi yako: 1) Wewe 2) Yako 3) Bure 4) Mpya 5) Haraka 6) Uhakika Maneno haya yanagusa hisia za mteja haraka zaidi!

Benix Matrix (@benixmatrix) 's Twitter Profile Photo

Mpendwa Kijana wa Tanzania, Ukweli ni kwamba, hakuna mtu mwingine aliye na nguvu ya kutengeneza maisha yako isipokuwa wewe mwenyewe.

Benix Matrix (@benixmatrix) 's Twitter Profile Photo

Kujifunza vitu mbalimbali mtandaoni ni silaha kwenye ukuaji wako. Lakini CONSISTENCY ni muhimu zaidi kuliko idadi ya kozi unazosoma. 1) Anza na dakika 30 tu kwa siku 2) Chukua notes 3) Tafuta mtu wa kujadili naye. Tumia kile ulichojifunza kwenye maisha halisi!

Benix Matrix (@benixmatrix) 's Twitter Profile Photo

Unapoandika tangazo la biashara yako kumbuka: Headline kali hufanya mtu asome sentensi ya kwanza. Sentensi ya kwanza hufanya mtu asome ya pili…

Benix Matrix (@benixmatrix) 's Twitter Profile Photo

- Soma vitabu - Angalia video Youtube - Sikiliza Podcast - Jiunge na kozi za mtandaoni - Soma makala kuhusu kile unachojifunza Lakini kumbuka kuwa njia bora ya kujifunza kitu chochote ni kufanyia kazi kile unachojifunza.

Benix Matrix (@benixmatrix) 's Twitter Profile Photo

Website 5 Unazoweza Kujifunza Copywriting Bure: 1) Copyblogger 2) HubSpot Academy 3) Neil Patel Blog 4) MarketingExamples 5) Copyhackers

Benix Matrix (@benixmatrix) 's Twitter Profile Photo

Maujanja ya Copywriting: Fanya yafuatayo kwenye contact page kuongeza mwitikio wa walengwa: - Weka picha yako (au timu ya usaidizi) - Eleza kinachotokea baada ya kuwasiliana nawe - Eleza inachukua muda gani kujibu - Weka fomu na barua pepe. - Weka namba ya simu na anwani

Benix Matrix (@benixmatrix) 's Twitter Profile Photo

Unataka kuuza zaidi? Tumia hii kanuni unapoandika tangazo lako. Inaitwa "Application Proof"... Thibitisha faida za kutumia  bidhaa au huduma yako kwa kuonyesha mifano halisi au ushuhuda kutoka kwa mteja. Inaongeza kuaminika kwa biashara yako na kumshawishi mteja kununua.

Benix Matrix (@benixmatrix) 's Twitter Profile Photo

Ikiwa Unataka Kuongeza Bidii Katika Kila Jambo Unalofanya Lakini… …mara nyingi unakuwa na uvivu. Basi tafuta kitabu cha Mel Robbins kinaitwa—THE 5 SECOND RULE! Kitabadilisha maisha yako. Utaongeza hamasa ya kufanya vitu na kuacha tabia ya kuhairisha mambo.

Benix Matrix (@benixmatrix) 's Twitter Profile Photo

Kwenye Content Strategy ya biashara yako hakikisha una content hizi: 1) Content kwa ajili ya kujenga uelewa. 2) Content kwa ajili ya watu wanaotafuta suluhisho 3) Ushuhuda wa watumiaji wa bidhaa yako

Benix Matrix (@benixmatrix) 's Twitter Profile Photo

Mwaka 1946, Lajos Egri aliandika kitabu kinachoitwa "The Art of Dramatic Writing." Egri ana kanuni moja muhimu: "Know your characters and you’ll know your story." Kanuni hii inafanyakazi kwenye kuandika Copy...kuandaa tangazo linalomvutia msomaji ni lazima umfahamu kwa undani.

Benix Matrix (@benixmatrix) 's Twitter Profile Photo

Badala ya kuandika "Tanzanian artist" au Tanzanian record producer" tu kwenye digital streaming platform BIO, andika historia/safari yako na sanaa unayofanya. Inafanya mashabiki kujisikia sehemu ya safari yako, kwani wanajifunze zaidi kuhusu wewe.

Benix Matrix (@benixmatrix) 's Twitter Profile Photo

Kama unafanya sanaa na unaamini unastahili kuwa na Wikipedia Page au Google Knowledge Graph nicheki twende hewani. Hii ni kwa mwezi huu tu na nitafanya bure kwa yeyote anayestahili.

Benix Matrix (@benixmatrix) 's Twitter Profile Photo

Wape mashabiki sababu ya kufatilia zaidi muziki wako. Share: studio sessions, rehearsals, show footage, behind the scenes etc. Inaongeza umakini wa mashabiki kufatilia sanaa yako na inafanya wajisikie ni sehemu ya safari yako, kwani wanajifunza zaidi kuhusu wewe.

Benix Matrix (@benixmatrix) 's Twitter Profile Photo

Kuna article moja brother Dizasta Vina aliandika ina views 2000+ na comments 150+... ...Nadhani ni muda sasa wa kuchapisha articles nyingi zaidi ⏳📝 #DZSTVN