💨 Wamekuja watu kama wanne (4) Dm, wakinilalamikia kuwa Pc zao au Computer zao zinachelewa kuwaka.
Yani ukiiwasha Pc, inaload kwa muda mrefu saana mpaka kuwa stable tayari kwa kutumika!
Leo,
Nitawaelezea nini cha kufanya ili kupunguza "Start-up time"
KLABU ya Chelsea inayoshiriki Ligi Kuu ya England ipo tayari kuchukua nafasi kubwa katika kukuza utalii Zanzibar ambapo Mabingwa hao mara mbili wa ligi ya Mabingwa Ulaya wanatarajiwa kuanzisha shule ya kukuza vipaji vya soka visiwani humo.
Hayo yamebainishwa kufuatia kikao kati