Batuli Actress (@batuli_actress) 's Twitter Profile
Batuli Actress

@batuli_actress

Actress & CEO At BTL COLLECTIONS Instagram @batuliactresstz Facebook @batuliactress Snapchat @actress_batuli

ID: 1098875552

linkhttps://www.bongocinema.com/casts/view/nesh-adan calendar_today17-01-2013 18:02:55

11,11K Tweet

45,45K Takipçi

1,1K Takip Edilen

Batuli Actress (@batuli_actress) 's Twitter Profile Photo

Wasakata Kabumbu Ambao Mmeajiriwa Na Vilabu Mbalimbali Hasa Nchi Za Nje Zenye Maendeleo Zaidi Ya Mpira Wa Miguu, Mngewekeza Hapa TZ Mkafungua Academy Moja Matata Sana Ya Kuibua Vipaji Na Kuwasogeza Kimataifa Watoto Wetu Wa Kitanzania Wenye Vipaji Vikubwa Ila Hawana Njia Za Kutoka

Batuli Actress (@batuli_actress) 's Twitter Profile Photo

Tukiamka Salama Asubuhi Tuage Familia Zetu Vizuri Na Tukirudi Salama Jioni/Usiku Tusameheane Kabla Ya Kulala, Tuishi Vyema Pia Na Watu Wote Bila Kuweka Matabaka, Maisha Yamekuwa Kama Upepo Muda Wowote Jina Linabadilika Kutoka Kuitwa Fulani Bin Fulani Na Kuitwa Marehemu…….✍🏽

Batuli Actress (@batuli_actress) 's Twitter Profile Photo

Ukienda Kwenye Nyumba Ya Mtu Hata Kama Umemzoea Kiasi Gani Usivamie Jikoni Bila Ruksa Yake Na Usifungue Fridge Bila Ruksa Yake…….✍🏽

Batuli Actress (@batuli_actress) 's Twitter Profile Photo

Siku Muhimu Ambazo Zinahusisha Kujumuika Na Familia Huwa Ni Furaha Sana Kwa Wenye Familia Ila Kwa Tuliyozika Wazazi Wetu Huwa Hatuzitamani Hizo Siku Kabisa, Zinaamsha Uchungu Na Upweke Wa Hali Ya Juu, Wapendeni Wazazi Wenu Tumieni Muda Wenu Kuwa Karibu Nao Wakati Hauridi Nyuma

Batuli Actress (@batuli_actress) 's Twitter Profile Photo

Baadhi Ya Ndugu Na Marafiki Zetu Wasio Waaminifu Wananunuliwa Na Maadui Zetu, Wanahamisha Siri Zetu Kwa Wanaofurahia Anguko Letu, Kisha Hao Hao Wanakuja Kutupa Pole……✍🏽

Batuli Actress (@batuli_actress) 's Twitter Profile Photo

Kama Unataka Kujua Marafiki Zako Au Watu Wako Wa Karibu Ni Wa Aina Gani Anzisha Biashara Au Jambo Ambalo Linahitaji Msaada Au Nguvu Yao……✍🏽

Batuli Actress (@batuli_actress) 's Twitter Profile Photo

Mliyowaambia Watutupe, Watuache Na Kututelekeza Ndio Waliyotushika Mkono Kimya Kimya Tena Gizani Bila Nyie Mashetani Watu Kujua……✍🏽

Batuli Actress (@batuli_actress) 's Twitter Profile Photo

Hakuna Mtu Ambae Yupo Busy Kupita Kiasi Inategemea Tu Amekuweka Namba Ngapi Katika Orodha Ya Watu Wake Wa Muhimu Anaowapa Vipaumbele…….✍🏽

Batuli Actress (@batuli_actress) 's Twitter Profile Photo

Hakikisha Una Mtu Ambae Anasikia Sauti Ambayo Ipo Ndani Yako Na Kuielewa, Awe Karibu Yako Au Mbali Lazima Asikie Sauti Yako Ndani Yake, MUNGU Bariki Watu Sahihi Kwenye Maisha Yetu……..✍🏽

Hakikisha Una Mtu Ambae Anasikia Sauti Ambayo Ipo Ndani Yako Na Kuielewa, Awe Karibu Yako Au Mbali Lazima Asikie Sauti Yako Ndani Yake, MUNGU Bariki Watu Sahihi Kwenye Maisha Yetu……..✍🏽