@bartoo_ian
ID: 1559890616661819392
calendar_today17-08-2022 13:11:38
66 Tweet
13 Followers
83 Following
3 years ago
Leo karibu nigogwe na gari nikienda kuambia morio wangu ati nimeona dem wake na mtu mwingine,,heshima idumu 😂😂😂
Are you bored Do you want to smile or probably smile ? Now imagine your kienyeji girlfriend twerking
Methali gani yafaa hii situation wakuu😂😂😂
Nobody absolutely ,,BUC freshers being taken to sigor for a nature walk
Never let them know your next step😁😁😁
Hawa freshers,,,hatuwezi endelea hivi tena,,mnavaa crocks wote na socks ,nani aliwapea that idea
Spotted at BUC ,,pale MPH ,,masaa ndo machache mambo ndio mingi
Simping inaanza pale unamtext wa kwanza kila siku as if yeye hana namba yako,,i do repeat again i dont simp
Simping🤨🤨 inaanza pale unamtext kila siku as if yeye hana namba yako,,,😂😂😂today i am enjoying my day peacefully no chats at all maybe one or two🤗🤗
Ukiona nakubamba🥰🥰itisha friendly 🤗🤗
Leo nayo nimeconfirm niko single🙃🙃hata bestie hajapost picha yangu😂😂
😂😂😂kubreak up na mimi ni kujistress bure,,sai nimetoka kuona memes zingine motomoto walai naisha😂😂mnipee maji nikunywe ,,
Hii ni course gani 😂😂
Unaeza niita mbolea juu kuna vile nadai kukupanda😹😹😹👀
😂😂hamtaki tutumie hii wi- fi ama😒
Wanaume mtupee reason kwa nini mkiombwa hiyo kitu hamwezi kataa ata siku moja?😂
Kuna dem wa kupea pesa na kuna wa kumpea explanation👀😂